Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,423
Naonaga akina Dinazarde wanapenda kulitumia kwenye mambo yao ya wakubwa kule, nikahisi umechanganya jukwaa.Ni mimi kabisa sijui umelitafsirije?
Naonaga akina Dinazarde wanapenda kulitumia kwenye mambo yao ya wakubwa kule, nikahisi umechanganya jukwaa.Ni mimi kabisa sijui umelitafsirije?
Inawezekana mkuu.Hahaha, inamaana walivyokuwa wanauliza kama nina akili walikuwa wanauliza kuhus akili kama kitu wasichokijua ana vipi?
Kitu kama hakipo huwezi kuuliza kipi!
Mungu tunaesema hayupo ni yule wa biblia na vitabu vingine vya dini.
Mungu huyu anaesujudiwa muumba wa nchi na mbingu.
Huyo ndio nasema wazi hayupo.
Ila ukisema Beyonce ni Mungu, sifa zake ni anaimba mziki, kaolewa na Jay Z, nitakuambia ndio Beyonce ni Mungu. Nitajibu hivyo kwasababu ya sifa ya Mungu alivyoelezwa kwa Beyonce
Uzi ushaenda mbali mno...nadhani nitakuwa nimekosa uondo kwenye page za kati kati kat ya Mshana Jr (ingawa wakati fulani huwa na mtuhumu kuwa uwenda ni mtanzania aliyewahi kuishi Urusi na juzi kati alishutua magwiji wa mnada bongo{purely joke}) vs. Kiranga

Mkuu utakuwa hujafuatilia vizuri, huwa inasemwa bayana kuwa ni Mungu yupi, ni yule mwenye uwezo wote, upendo wote na mwenye kujua yote. OMNIPOTENT, OMNIBENEVOLENT and OMNISCIENT.Inafurahisha sana ukisema Mungu unaambiwa hayupo bila kuulizwa Mungu yupi lakini ukisema akili unatakiwa useme unamaanisha akili ipi.
Aisee..mtihani sana..." haya karibu tena ...Watu wameshazoea mawazo rahisi rahisi ndugu, hawapendi upembuzi wa kina.
mimi siwezi kwa kweli,Unaweza kupaua bila kujenga kuta/mishikio na kenchi?
Akili ni nini?Swali lake lipo vzr sana.
Unapotaka aulize vzr kwa tafsiri yako wewe huko ni kutaka aulize swali jipya tena tofauti na la mwanzo.
Umeona ewwhUzuri ni kwamba anapolala wenzake walishaamka..
Sasa mnaona mambo yanavyojinyumbulisha?Hakika ya mwenye akili ni yule anayetambua uwepo wa Mwenyezi Mungu.
Akili ni nini?Imebid nirud tena kusoma mada nimegundua kiranga a kuchukua neno moja tu akili na kulileta hapa.
Badala ya kujibu kile anachopaswa kujibu.
NAANGALIA HAPA MSHANA ALIPOMALIZIA NA NDIPO KIRANGA ALIPOPATA SILAHA YAKE ISIYO NA UZITO
"/Wote tuna akili. Je, kuna ithibati? Na kama hatuna akili tuna ithibati? Lakini uhalisia unasemaje?"
Haina kwere mkuu, twende kazi..![]()
![]()
kazi na dawa.. Utamu wa nyama choma ni chachandu (acha zile za kuvaliwa kiunoni)
Walimu waliokufundisha walipata taabu sana nadhan maswali yao ilibidi yaanze na tafsiri ya maneno yote ya kwenye swali la msingi halafu ndo swali liulizwe huku likiwa na jibu ndani yake
Ndiyo maana kiranga anauliza maana ya akili.Ili kama ni hii ya kuamini uwepo wa mungu aseme hana,au kama nyngine asema inavyostahiki.Hakika ya mwenye akili ni yule anayetambua uwepo wa Mwenyezi Mungu.