Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
Akili ni dhana pana sana.Muulizaji aeleze analenga ipi.Au na yeye anamaanisha nywele?Mshana Jr sio tu kwamba hasemi akili ni nini? Hata ukiwapanga maprofesa wa vyuo unavyovifaham vinavyoheshimika watakupa jibu moja linalofanana la hilo swali kwamba akili ni nini.
Wengi tunachokiona ni matokeo au vitu ambavyo vinatufanya tuone akili inavyofanya kazi. Lakini ukisema akili kwenye jamii.
Msiwabeze waliosema akili ni nywele kila mtu ana zake.