Kiranga ni delusional follower wa philosophers marehemu kina Socrates, Plato na wengineo.. Alisoma doctrines zao na zikam brainwash kwa kiwango cha juu mno... Ndio maana nje wa ubishi wake ukimbana mahali vizuri atatafuta pa kutokea kwa kuwa quote hao marehemu ambao maandishi yao bado yanaishi
Yani hakuna tofauti ya mtu anaye quote Bible na anaye quote mabandiko ya binadamu wengine
Nilipotea kidogo tulikuwa kwenye ibada site ya ma atheist katika uhalisia, hawajui kabisa Mungu ni kitu gani na hawana tatizo hata chembe kwa wewe unayemwabudu Mungu
View attachment 784179View attachment 784180