Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Yeye kakuuliza una akili?
Wewe wapaswa kumjibu, ndio, hapana au hata sijui.

Usijibu jibu ambalo analotaka yeye, jibu jinsi unavyojua ww.
Siwezi kujibu swalikamayeye mwenyewe anayeuliza akili ni nini hawezi kunieleza akili ni nini.

Hususan kwa sababu tunatofautiana kwa mengi sana na inabidi nielewe anachouliza kabla sijakijibu.
 
Jijibu sasa usiniulize mimi... A very simple question Je una AKILI!?
Mshana unataka huu uzi wako uwe na replies nyingi eh?
ili nijue kama ninayo au sina you must define the word 'akili' unayotaka kujua kama ninayo.
 
Hapana, hiyoni Socratic Methodkuhakikisha tuna kwenda pamoja,tunachambua mambokwakina.

Nimetoamfanowa swalila "Wewe ni Mkristo" hapo juu.

Neno hilo Mkristo lina tafsiri tofauti.

Nneo akili lina tafsiri tofauti.

Naomba anijibu tu anaposema "akili" ana maana gani, kisha na mimi nitamjibu kama nina akiliamasina.

Asiponijibu, swali halijafafanuliwa vya kutosha na kwa hiyo sitaweza kulijibu.
Neno kuwa na tafsiri tofauti hakuondoi maana ya neno.
Ulipaswa umjibu unavyojua wewe, sio anavyojua.
Kama yeye atakuwa na maana tofauti ndio mjadala ujengwe na sie wafuatiliaji wa hii mada tujui mbivu mbichi.

Sasa kuanza kuzungushana kila neno kutaka kujua maana yake, mtapoteza mjadala na kufika kwingine.
 
Neno kuwa na tafsiri tofauti hakuondoi maana ya neno.
Ulipaswa umjibu unavyojua wewe, sio anavyojua.
Kama yeye atakuwa na maana tofauti ndio mjadala ujengwe na sie wafuatiliaji wa hii mada tujui mbivu mbichi.

Sasa kuanza kuzungushana kila neno kutaka kujua maana yake, mtapoteza mjadala na kufika kwingine.
Mkuu General Mangi una akili?
 
hahaaa.... hii hoja huwa unaijibu Mara kibao ten kwa jibu hili hili ""lakini nashangaa huwa tunashindwa kuelewa sijui kwanini"" JAMANI EEEEEHH KWA MUJIBU WA KIRANGA ANASEMA KUWA KITU AMBACHO HAKIPO HUWA HAKIITAJI UTHIBITISHO ILI KIONEKANE KUWA HAKIPO "" ......
Watu ama wagumu wa kuelewa, amawepesiwa kusahau.

Inawezekana piani wagumuwakuelewa kwa sababu ni wepesi wa kusahau.
 
Mpakasasa sijaelewakwa niniMshana anaona ugumu kujibu swali langu.

Kuna watu wanafikiri akijibu swali languanakuwa kashajijibu swali lake mwenyewe kwangu.

Fikra hizi ni potofu.

Swali la Mshana kwangu ni kama nina akili. Swali langu kwake ni akili ninini.

Akinipa maelezo ya akili ni nini, bado nitakuwa na swali la kujibu kama ninayo hiyo akili au sina.

Hata sioni kwa nini anaona ugumu kunijibu.
Kabisa afafanue akili ni nini ili tupate majibu
 
Back
Top Bottom