Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Nishauliza sana bila majibu mkuu.
wanazingua hao ..na Mungu wao muweza wa yote "" ambaye anasema kuwa binaadamu nikiumbe dhaifu halafu hapo hapo pasipo kujali udhaifu walionao binaadamu "" eti ameamua kuwapa " kazi ya kumtangaza yeye"" Ina maana kasahau kuwa binaadamu Hawa ni viumbe dhaifu "" ktokana na nature ya udhaifu wao wanaweza hata kupindua maagizo yake " ndivyo sivyo katika Jamii husika"" KWAKWELI HAWA JAMAA WANATUCHOTA AKILI ZETU TU....."" Janja Janja tu "" wezi wa maarifa "
 
Biblia iko wazi kabisa kuhusu waioamini, kwanza ni dhambi na imetumia neno kali, kuna mahali inasema "mpumbavu amesema moyoni mwake hakuna Mungu".
Hao wapumbavu wameumbwa na nani?
 
wanazingua hao ..na Mungu wao muweza wa yote "" ambaye anasema kuwa binaadamu nikiumbe dhaifu halafu hapo hapo pasipo kujali udhaifu walionao binaadamu "" eti ameamua kuwapa " kazi ya kumtangaza yeye"" Ina maana kasahau kuwa binaadamu Hawa ni viumbe dhaifu "" ktokana na nature ya udhaifu wao wanaweza hata kupindua maagizo yake " ndivyo sivyo katika Jamii husika"" KWAKWELI HAWA JAMAA WANATUCHOTA AKILI ZETU TU....."" Janja Janja tu "" wezi wa maarifa "
Sema walio wengi waaminio wanafuata mkumbo tu kwa wengi, lakni ukituliza bongo yako unaona janja janja nyingi kumhusu mungu muweza yote.
 
Maana Maandiko Matakatifu yasema: "Nitaiharibu hekima yao wenye hekima, na elimu ya wataalamu nitaitupilia mbali." Yu wapi basi, mwenye hekima? Yu wapi basi, mwalimu wa Sheria? Naye bingwa wa mabishano wa nyakati hizi yuko wapi? Mungu ameifanya hekima ya ulimwengu kuwa upumbavu. Maana, kadiri ya hekima ya Mungu, watu hawawezi kumjua Mungu kwa njia ya hekima yao wenyewe. Badala yake, Mungu amependa kuwaokoa wale wanaoamini kwa njia ya kile ambacho wenye hekima wanakiona kuwa ni upumbavu, yaani ujumbe tunaohubiri.
Maandiko matakatifu yalibuniwa na binadamu wenye akili kubwa. Maandiko yenye lugha iliyojaa hekima. watu wa zamani walikuwa na akili sana. Natamani na mimi niandike Biblia yangu walahi..
 
Mtu anauliza swali, akubane, unamtaka afafanue ili umjibu akubane vizuri, anashindwa kufafanua.

Yeye mwenyewe swali lake hawezikulifafanua, sasa wewe unayetakiwa kujibu utajibu vipi swali ambalo halijafafanuliwa?
Mkuu hata mimi juzi kuna mtu kaniuliza kama nina elimu?....ilibidi nimuulize afafanue kwanza anamaanisha elimu ipi kwa sababu mimi nina elimu ya VETA tu na akafafanua kuwa alitaka kujua kama nina elimu ya degree!
 
Kiranga ndio anapaswa kueleza kwanza alivyoielewa akili.
Kwani mpk sasa hajasema hajui maana ya akili.
Kasema ina tafsiri nyingi.

Hajatoa hata mbili tuone kweli zina maana nyingi.

Vinginenvyo tutaona ni kusingizia singizia tu ili kukwepa kujibu swali.

Kama ni neno Pana, atoe huo upana wake tuone na tumweleze tunayomaanisha sisi.

Lzm ujue mwanafunzi wako anapokosea ndipo msahihishe
Kwa nini Kiranga ajichooshe kufafanua maana ya akili wakati mwenye shida ni alieuliza swali??!
 
Hao wapumbavu wameumbwa na nani?

Umeshawahi hata kuandika kajarida tu kuhusu uelewa wako kwamba Mungu hayupo?

Nimeshasema msingi wa Imani yangu ni Biblia,inayosema Mungu ameumba vitu vyote, sifa zake na anavyofanya kazi. Sasa kwamba kaumba wapumbavu werevu walemavu watu wa kaliba zote na kwanini kawaumba sio jukumu langu kueleza. Nilifikiria nimeeleweka.
 
Hiyo biblia umeandika wewe?
 
Hiyo biblia umeandika wewe?

Kupotezeana muda tu, kukuuliza kama una kitu cha ziada umewahi kufanya kuhusu utetezi wa hoja yako unaleta maswali yasiyo na msingi. Unajua fika kwamba sijaandika Biblia, lengo langu ni kutaka kujua huenda kuna kazi umeifanya niipitie kuongeza maarifa.

Kama ningekuwa ni wewe, nisingepoteza muda kubishana kuelewesha watu kitu ambacho najua hakipo.
 
Back
Top Bottom