Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Basi Mshana hebu mjibu tu Akili ni nini? Mwisho wa siku tutapambanua tu nani ni nani?
Kama umeshamjibu huko mbele, just ignore hii [emoji4][emoji53]
Nimeshajibu zaidi ya mara kumi ndugu yangu
 
Upofu wa ufahamu
Akili haina Umbo wala taswira ,akili ni uwezo kama ilivyo sauti,tunaisikia ila hatuioni,akili ni uwezo wa kudadavua mazingira ili kuleta suluhu au majibu yakinifu ya kutatua changamoto inayokabili.
 
Ipo na watu wanayo lakini haionekani bali hupimwa kwa matokeo yake
 
kiranga kuna siku aliniuliza thibitisha kama Mungu na shetani wapo kweli?
duuh nilichoka sana nikasema kumbe kuna watu wa namna hii?

akanikumbusha historia ya mwanasayansi mmoja hivi aliyekuwa anamtafuta Mungu ili ajionee kwa macho...alianza safari ya kuzunguka dunia nzima sasa alifika mahari papo kimya sana alafu kuna bahari kubwa ila cha ajabu kulikuwa na mtoto mdogo kachimba kashimo kadogo pembezoni mwa bahari alaf ana kikopo mkononi anachota maji kwenye bahari anakuja kutia kwenye kale kashimo....mwanasayansi huyo alistaajabu sana kuona vile ikabidi amsogelee yule mtoto na maongezi yalikuwa hivi

mwanasayansi:we mtoto huku unaishi na nani mbona sioni watu wengine?

mtoto:niko pekeyangu

mwanasayansi😱oh ok sasa hapo unafanya nini?

mtoto:nataka hayo maji yote ya baharini niyajaze kwenye kashimo haka nilikochimba

mwanasayansi:we kweli hauna akili unafikiri hayo maji yote yatajaa kwenye kashimo hako?

mtoto:na wewe hauna akili unadhani unachokitafuta utakipata?

mwanasayansi alipigwa na butwaa kusikia hivyo mara kufumba na kufumbua yule mtoto alipotea tu kwa mazingira ya utata.....tangu siku hiyo yule mwanasayansi hakufuatilia tena habari za kumtafuta Mungu

ila binafsi napenda sana kiranga anavyotufanya tufikirie sana juu ya uwepo wa Mungu
 
Naomba reference ya hii story yako kwanza. Maana imekaa kitapelitapeli sana!
 
Mshana unazidi kupotea na huo ndio utofauti wako na kiranga naamini kama angekuwa Kiranga yeye angemkata The only katika hoja na sio kuenda kumpekenyua mpaka The only angekimbia
Kitendo cha ww kumpekenyua The only inaonyesha huna hoja ndio sana tunakuambia Kiranga humuwezi kwa hoja sasa sisi hizo habari ulizozibandika zinatusaidia nini? Sisi tunataka hoja bado hujafika Level ya Kiranga kubali ukatae
Mshana mjanja mjanja tu wa mjini. Kama wale waganga wenye mabango ya barabarani. Uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo mno na hata mambo anayoyadvocate yanamuonesha ni mtu wa aina gani.

He lacks exposure and good education. Mvumilie tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] una akili ama huna?
 
Mwisho wa siku watakengeuka imani yao na kujua kwamba yupo muumba wa yote (Mungu) kama alivyofanya R.I.P kingunge kabla ya kifo chake.
Watu kama kingunge wanajikuta wanarudi huko ili wazikwe kwa ule ustaarabu watu wengi duniani tunaona ni heshima.
Sio kwa matakwa yao ila kwa shinikizo la ndugu, marafiki na wao kuamua kufanya hivyo kuwaridhisha. Mioyoni mwao bado wanaendelea kuamini wanachoa amini.
 
Sasa kwa nini asinipe definition ya akili ili anibane vizuri?

Anaogopa nini?
Soma post namba 100.

Neno Mkristo si msamiati mpya, lakini lina tafsiri nyingi.

Vivyo hivyo akili.

Kwanini anaona ugumu kuniambia maana ya akili tuendelee na mjadala?

Anaogopa nini?
Ohoooo, nilipitwa na. Hii ngoma subir nicheze nayo mpaka mwisho
 
Baaa
@kiranga nauliza tena... Kumbuka hili ni swali na ulishakiri kuwa huogopi maswali JE UNA AKILI!?
Una ufahamu fika wa hili neno kwakuwa katika moja ya majibu yako kwangu kwenye mada nyingine uliwahi kuniambia hivi.... Wewe huna AKILI kabisa
as haaaa. Haaaa
 
Back
Top Bottom