Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Habari za Allah kuwa Mungu ni uingo.

Ndiyo maana nimeweka contradictions zaidi ya mia za kutoka katika Quran, hapa JF, na hakuna aliyezijibu.

Na wewe huwezi kuzijibu.
Ahahaha dah, sicheki mazuri bali nawaza sanaaa ufundi aliotumia alieumba akili za binadamu.
 
Habari za Allah kuwa Mungu ni uongo.

Ndiyo maana nimeweka contradictions zaidi ya mia za kutoka katika Quran, hapa JF, na hakuna aliyezijibu.

Na wewe huwezi kuzijibu.
mkuu unaweza kunisaidia link ulipotaja hizo contradiction na mie nikapitie?.
 
Siku za Kiranga kuishi hapa Duniani ni chache na zinahesabika.
Mungu wetu ana UFALME, NGUVU NA UTUKUFU HATA MILELE.
Kuna mihili miwili ambayo iko chini ya Mungu.
1. Mwanadamu.
2. Shetani.
Mihimili yote miwili inamwogopa Mungu.
Katika mahusiano Shetani ana nguvu kuliko mwanadamu.
Wanadamu wote wanaomtumikia Shetani hawamtumikii Mungu na wale wanaomtumikia Mungu hawamtumikii shetani.
Kiranga kwa kutokujua ni mojawapo wa watu wanaomtumikia shetani.
 
Asili yangu ni Mbegu ya uzazi(sperm).
Anyway jibu limeeleweka ila kama ungejiongeza ungetaja asili haswa za izo mbegu za uzazi mana kila mtu APA katoka na mbegu ya Uzazi. Lengo haswa ni asli ya mbegu yenyewe mpaka zikawepo hapa kweny mgongo huu Wa ardhi nani kahusika.
 
Siku za Kiranga kuishi hapa Duniani ni chache na zinahesabika.
Mungu wetu ana UFALME, NGUVU NA UTUKUFU HATA MILELE.
Kuna mihili miwili ambayo iko chini ya Mungu.
1. Mwanadamu.
2. Shetani.
Mihimili yote miwili inamwogopa Mungu.
Katika mahusiano Shetani ana nguvu kuliko mwanadamu.
Wanadamu wote wanaomtumikia Shetani hawamtumikii Mungu na wale wanaomtumikia Mungu hawamtumikii shetani.
Kiranga kwa kutokujua ni mojawapo wa watu wanaomtumikia shetani.
Tena kwa nguvu zote.Na Ajui kuwa kama sio muumbaji asingekuwepo kwenye Dunia hii.
 
Mkuu nimepitia kwa harakaharaka but with an open mind,sijaon hizo contradictions zaidi ya kutokuelewa kwa msomaji ama kuelewa tafauti na kilichomaanishwa,unaposoma tafsiri ya Qur an lazima pia usome na maelezo ya tafsiri hyo.nitajaribu kufafanua moja ya hizo so called contradictions kwa sasa kisha nyengine kadri wasaa utakapopatikana.

3.The first Muslim was Muhammad? Abraham? Jacob? Moses?.

Lazma uelewe inaposemwa wa kwanza inamaanisha wa kwanza wapi,hata mimi naweza kuwa Muislamu wa kwanza,kijijini kwetu,ama shuleni,etc.So hao waliotajwa hapo ni waislamu wa kwanza katika zama/jamii zao.
 
Unamsifia mpotevu. Siku ukisombwa naee motoni usilalamike. Angalia ulipotokea na mwisho unakoelekea. Kuwa makini
Acha utoto mkuu,kabla waarabu na wazungu kuleta dini babu zako kwa karne mingi unaamini walienda Moroni? Hakunaga mbinguni
 
Nasoma historia ya Jerusalem. Nimeridhika kuwa dini ni imani yako tu. Kufahamu dini, lazima uielewe historia za dini zilipoanza.

Sisi Afrika dini tumeletewa na wakoloni na wamishionari na wafanyabiashara wa ngarawa wa Kiarabu. Lakini huko nyuma, ilikuwa kasheshe sana. Watu wengi walikufa kupinga au kupigania imani zao, iwe kuabudu masanamu, jua au mtu / Mungu.

Dini ni imani yako. Kuna maswala mingi sina majibu, ila huyu mwaandishi kanifungua macho sana.

Soma uelewe imani yako. Mwandishi kaelezea jinsi vitabu vya dini vilivyotungwa na jinsi viongozi wametumia dini kujinufaisha na kuweza kutawala watu kirahisi.

Nafananisha dini na " political manifesto" ya chama tawala. Rome ikakumbatia dini kuweza kutawala dunis yao. Waarabu wakaikumbatia dini yao kuweza kuitawala dunia yao. Watu wengi waliopinga hizi dini walichinjwa kama kuku.

Nina akili? Ndio. Naweza kusoma, kuandika na kutumia ubongo wangu kuishi.
Nani kautengeneza ubongo? Sijui. Namtafuta bado...

20181125_205115.jpeg
 
Acha utoto mkuu,kabla waarabu na wazungu kuleta dini babu zako kwa karne mingi unaamini walienda Moroni? Hakunaga mbinguni
Kwa hiyo na wewe unataka kuwafuata babu zako eeeh. Wafuate tuuu.. Aadhibiwi mtu kabla ajaletewa ujumbe. We we ujumbe umeletewa na unatumia nguvu nyingu kuupinga. Sasa nakwambia endelea hivyo hivyo mwisho wake utaujua. Uzuri Mimi na we we tutakufa upende usipende hakuna atakae Baki milele.
 
Ujumbe gani ambao ulikuwa hawaletewi wazee we ? Na kwa mini? Au muandika ujumbe alikuwa bado anauandika ? Afu mi namkataba gani naye hadi anipe ujumbe? He na yeye hahitaji ujumbe wangu?
 
Aisee Mkuu unataka nikuandikie kitabu.. Hakuna mapungufu yeyote hapo sana sana nikukanyaga kanyaga aya mungu....

Sana sana nitapoteza mda wangu mwingi hapo na ubishani
Hiyo ni gia ya kuondoka kwa sababu huwezi kuthibitisha unayoandika tu.

Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na uoendo wote hayupo.

Ulimwengu huu tulio nao, kwa kuweza kuwa na mabaya, unakanusha kuwepo kwake huyo Mungu.

Unaelewa hilo?
 
Back
Top Bottom