Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Asili ya vitu , upeo wangu ni kwamba kuna " unmoved mover " hiyo nguvu haijulikani iko wapi ila ni kuendelea kujifunza na kuvielewa vinavyoonekana . Vipo vingi na hutavimalizi ,ukifa utawaachia wengine .Babu zetu akina Socrates Plato na Aristotle hawakupata jibu , tusipoteze mda wa kujua chanzo cha vyote . Plato alihangaika na "ideas" kwamba unavyoviona ni photocopy tu ya reality
 
You are so fucking late slopoke.

Better luck next time.
There's no such known thing as a slopoke, you moron!

Karanga brain that you have, you keep on repeating it...

Useless kabisa...

Halafu unakataa uwepo wa Mungu.. when you go to the toilet, you waste so much of your time, tell the inventors of the world to do away with this simple yet very crucial part of your daily lousy routine... and lets see how long your peanut (karanga) brain survives...
 
Anaekataa uwepo wa Mungu ni mawazo yake na wewe toa yako kwa busara kukinzana nae .Ukimuona mjinga umekosea !! Hivi anaeamini kitu kisichoonejana na anaeamini kwa kitu kinachoonekana nani zaidi ?? Sayansi inapamba moto kwa kuamini vinavyoonekana ( through data )
 
Japo sijakuelewa sana lakini ningependa unijibu maswali haya machache
. Je sayansi bila nishati inaweza kufanya kazi?
. Je data za kisayansi zinapatikanaje?
. hivi kitu kinachoonekana ndio proof ya imani?
. Je ninini tofauti ya kukinzana na kutofautiana?
. Je ninini kipimo cha busara!? Je busara ina umbo!? Unaweza kuishika kwa mikono na kuiona kwa macho?
 
Mambo ya Dini yanaendeshwa kwa Imani , hakuna dini pasipo kuwa na imani , pia imani ni kuamini kitu ambacho huna hakika kutokea mfano , ukisema nina imani furani atakuja kesho , maana yake haukumpa taarifa na yeye hajakuambia kama atakuja lakini una amini , science wao wanafuata fact yaani uhakika lakini tukumbuke kutokua na fact haimaanishi kwamba jambo halipo , sometimes mambo mengine huwa ni mapana zaidi ni another dimension , hivyo kwa science yetu tuliyonayo haiwezi kutosha ku prove maswala ya imani kwasababu imani ni another dimension
 
Science haitupi jibu la kueleweka kuhusu chanzo Cha mwanadamu lakini dini ambayo ni imani inatupa jibu ambalo linamashiko zaidi
 
Nia yangu sio kupinga uwepo wa Mungu ila metaphisical issues achana nazo kwani jibu halipo . Angalia " g " gravitional force iligunduliwa na wanasayansi lakini wakashindwa kueleza imetoka wapi ! Nani kaiweka sayari yetu kuelea angani ? Huenda majibu utayapata wakati roho itakapotengana na mwili .
 
Asante nimekuelewa Sasa na ndio maana kwenye reply yangu nilianza kwa kusema sijakuelewa vema
 
Ukweli juu ya uwepo wa Mungu bado wengi wanaamini hakuna Mungu ila ukwl ni Mungu yupo sirini hachunguziki
 
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakiponje ya dhana.

Kwa msingi huu, polisi wakisema kwamba nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao wanaosema kuna madawa , ku sachi nyumba mpaka wapate hayo madawa.

Kamwe hawakupi kazi ya kuthibitisha wewe unayejitetea kwamba nyumba yako haina madawa eti uthibitishe nyumba yako haina madawa, kwa sababu hata ukifagia vipi kuonesha nyumba yako haina madawa, kuna uwezekano unaweza kuwa umeyaficha pasipofikika.

Kwa hiyo, mzigo wa kuthibitisha ni wa yule anayesema kitu kipo,si anayekanusha. Anayekanusha anauliza tu kuthibitishiwa.

Nimeongelea "nje ya dhana".

Ukija kwenye dhana, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa "proof by contradiction".

Mungu huyo angekuwepo, asingetaka mabaya yaweze kutokea duniani kwa viumbe wake.

Mabaya yanatokea dunianikwa viumbe wake.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
Hapo tu mkuu unanikosha kweli kwa point zajo zisizojibika
 
Back
Top Bottom