Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Naomba nikuulize swali rahisi lakini lililomshinda unayemsifia... UNA AKILI AMA HUNA AKILI...
BTW usipende kuishi maisha ya kufikirika na kuhukumu weka hizo mada ulizokuwa unanifuatilia tuone hicho unachokisema usahihi wake
Niko fiti ...neno akili ndo nimelisikia Leo naomba uniambie maana yake kisha niendelee? Jamaa tumemuelewaaaa

Namimi nakuuliza je umewahi ku-excumbence jambo mahali?
 
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini sana wewe unavifungo vya kufikiri vya jamii inatakann kiwe sahihi? Dini inasema nini? Wazazi walikwambia nini? So unaingia kwenye mjadala wa ni rangi gani nzuri ukiwa umejiandaa jibu liwe ni nyekundu,so umekuwa unatumia programed question kufikia lengo,ila kiranga anafikiri bila mipaka na hakimbii mitego Kama we,Ntakupa mfano ukiwaambia watanzania mashoga kwenye katiba yenu wanna haki zao basi umryatibua utashambuliwa vikali ,wakati ni kweli Ila utaonekana wewe ni shoga na unawatetea kwa kuwa huna marinda au unawatumia ,hii ni level ya ujinga itaisha watoto wakielimika

Mnazidi kumpoteza huyu ndugu kiranga,,,
Akili ni pesa

😂😂
 
Niko fiti ...neno akili ndo nimelisikia Leo naomba uniambie maana yake kisha niendelee? Jamaa tumemuelewaaaa

Namimi nakuuliza je umewahi ku-excumbence jambo mahali?
Baada ya reply hii imebidi niingie profile yako... Nimepata jibu.... Kwahiyo ni haki yako (yenu? [emoji848]) kumuelewa.... Kama level ya GT ni kama hizi madaView attachment 934011View attachment 934012
Screenshot_20181114-205606.jpeg
 
Baada ya reply hii imebidi niingie profile yako... Nimepata jibu.... Kwahiyo ni haki yako (yenu? [emoji848]) kumuelewa.... Kama level ya GT ni kama hizi madaView attachment 934011View attachment 934012View attachment 934013
Yaani navyokuonaga genious Leo ndo nimekuona kiazi hebu kazame usome content na jukwaa ,kwanza humu JF wewe ni celebrity kwa michango makini ulowahi kutoa sikudhani uko weak kiasi hiki ,too weak.

Hii naifananisha na ile ya kumdeal lowassa kwa kusanua kuwa anamtoto wa nje ni udhaifu sana

Topic ya jicho ni joke na tizama jukwaa husika ni la nini,naukisoma si utaishia kucheka tu

Zingine ni mambo ya mahisiano ambayo ni personal na wewe kama bro nilitaraji umepevuka kiasi cha kuheshimu mambo hayo. Tafuta mada zangu majukwaa serious utanijua ,najua hii ni hasira ya kuchezea kichapo cha hoja za Kiranga huyu jamaa sio level yako we endelea na kuchambua uchawi huko we na sheikh yahya nko fit
 
Naona una defensive mechanism ya kitoto sana, kwanza lazima utambue mimi sina hasira kama unavyodhani, only amateurs can be tempered easily....
Mjadala nimeweka mimi, ulipofika hapa ulipofikia ukaomba kuwa jaji ([emoji2][emoji2][emoji2]) self proclaimed judge [emoji23][emoji23][emoji23]kisha ukatoa alama... Lakini ukashindwa kujibu kama una akili ama huna... Well nikaona isiwe tabu hebu huyu jaji msomi ana nini cha ziada?
Nilichokutana nacho kwa asilimia 95 ni mada za kawaida mno, mostly za kujadili watu, na mahusiano... Sorry kama nitakuwa nakukwaza lakini nyingi ni mada za kitoto, sijaona mada fikirishi hata moja...
Nimerejea tena kuona hizo topic zingine serious, nimekutana na hizi hapa... Zote ni za mapenzi na hadithi za kusadikika... Yani kama mkeo kapitia yote unayoandika kumhusu basi jitafakari
Najua dhima ya majukwaa mbalimbali lakini kama kila siku uko chitchat na MMU... basi kazi ipo
Mada zako hizo zinajiweka wazi kiumri, kimtazamo na hata uelewa... Basi hiki ndio nilichokutana nacho... Kwahiyo nimejiridhisha kuwa una haki ya kuandika ulichoandika hata sasa View attachment 935083
Screenshot_20181115-124555.jpeg
View attachment 935085View attachment 935087
Screenshot_20181115-124346.jpeg
 
Kama kuna zingine umeficha niletee tafadhali View attachment 935102View attachment 935103

Mshana unazidi kupotea na huo ndio utofauti wako na kiranga naamini kama angekuwa Kiranga yeye angemkata The only katika hoja na sio kuenda kumpekenyua mpaka The only angekimbia
Kitendo cha ww kumpekenyua The only inaonyesha huna hoja ndio sana tunakuambia Kiranga humuwezi kwa hoja sasa sisi hizo habari ulizozibandika zinatusaidia nini? Sisi tunataka hoja bado hujafika Level ya Kiranga kubali ukatae
 
Huo ndio utofauti wa Mshana na Kiranga naamini kama angekuwa Kiranga asingeenda kumpekenyua The only,angempeleka The only kwa hoja mpaka angemkata na the only angekimbia mjadala.
Lakini Mshana anataka kushindana kwa hoja na Kiranga wakati hoja hana angalia hapo juu Mshana anavyofanya sasa sisi tunajifunza nini inaonyesha wazi kaishiwa hoja.Mshana kwa hizo bandiko hapo juu unatudhihirishia humuwezi Kiranga naomba ubaki kwenye majini huko sawa ila Kiranga humuwezi
 
Back
Top Bottom