Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Mungu yupi unayemzungumzia?! Wawakristu, wa waislamu, wa wabudha, wa wapagani au yupi huyo?
Mimi watu sijui wanaopinga uwepo wa Mungu ,huwa hata wakiongea wanatapika dhahabu naishiaga kuwadharau tuuu.

Niivi " Kwa Mungu kila goti litapigwa ,uwe mwanga ,nabii fek. Mchawi, Msali nusu, ajuaye Mungu yupo lkn haishi kujitanabaisha kwa jamii kua hayupo Mungu , Muhun,mwizi , kahaba. Malaya, Atheist sijui uwe nani ukoo , KWA MUNGU KILA GOTI LITAPIGWA TUU , watu tutaruka ruka weeeeee lkn Kwa Mungu kila Goti litapigwa !!
 
Basi kama mjinga anaweza kuwa yoyote basi wewe ni mjinga sana
Unaweza ukawa sahihi au usiwe sahihi,kama umeona nina sifa za ujinga utakuwa sahihi ila kama sina hizo sifa basi haupo sahihi maana utakuwa umenipa cheo ambacho mwenyewe mwenye hicho cheo cha ujinga yupo humu hata wewe ulimpa heshima yake.
 
Mtaje,huyo mjinga nimjuwe na mimi
 
Jahannam haipo wala haitakuwepo na kama ipo we ndio inakungoja
Endelea kuwa hivyo hivyo katika watu watakao juta na we utakuwepo ukiendeza akili hizo. We letaa kibri unatambia pumzi wewe ngoja ikutokee tuone nani mkweli. Yaani kweli moto unastahili,
 
NAOMBA NIWE JAJI WA MJADALA HUU USIJE ENDA MIAKA KUMI
NA MSHINDI NI Kiranga
Mimi ni mkristo ila kwa hoja bosi wangu mshana humfikii hata robo bado mkuu ni mweupe sana ,samahani kama nitakukwaza.
Unamsifia mpotevu. Siku ukisombwa naee motoni usilalamike. Angalia ulipotokea na mwisho unakoelekea. Kuwa makini
 
Wanamsifia kiranga, hawajui kuwa ndiyo wanazidi kumpoteza,,,na yeye anapotezeka kirahisi sana [emoji3][emoji3][emoji3] anatia huruma kwakweli
Unafikiri hajui kama mungu yupo bassiiiiiiiiii tuu kibri majivuno ukichanganya na mibichwa anayopata hapa. Ngoja tuone mwisho wake mi naona aendeleee kuwa hivyo hivyo.
 
Unamsifia mpotevu. Siku ukisombwa naee motoni usilalamike. Angalia ulipotokea na mwisho unakoelekea. Kuwa makini
Mimi sijali nani kashinda mashindano.

Najali kutafuta na kuupata ukweli.

Ukisema mimi mpotevu, kuhusu jambo la kuwepi Mungu, wakati wewe mwenyewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo, unapotea kwa kukubali kitu uschoweza kuthibitisha, na pia unapotea katika kuniona mimi mpotevu.
 
Unafikiri hajui kama mungu yupo bassiiiiiiiiii tuu kibri majivuno ukichanganya na mibichwa anayopata hapa. Ngoja tuone mwisho wake mi naona aendeleee kuwa hivyo hivyo.
Thibitisha Mungu yupo.
 
Upooo sahihi achana na porojo zaoo hao wakosefu. Nafikiria jinsi Allah alivyokuwa mkubwa yaaani anapenyezaaa maandiko yakee hadi humu. Kiyama utakataa aje kwamba habarihazikufikia?.
Habari za Allah kuwa Mungu ni uongo.

Ndiyo maana nimeweka contradictions zaidi ya mia za kutoka katika Quran, hapa JF, na hakuna aliyezijibu.

Na wewe huwezi kuzijibu.
 
Mimi sijali nani kashinda mashindano.

Najali kutafuta na kuupata ukweli.

Ukisema mimi mpotevu, kuhusu jambo la kuwepi Mungu, wakati wewe mwenyewe huwezi kuthibitisha Mungu yupo, unapotea kwa kukubali kitu uschoweza kuthibitisha, na pia unapotea katika kuniona mimi mpotevu.
Yaaani endelea hivyo hivyo kuutafuta ukweli. Ila angalia wakati usikupite. Yaani nakuhakikishia ipo siku utayakana maneno yako na siku hiyoo nitasimama nikiwa shuhuda.
 
Yaaani endelea hivyo hivyo kuutafuta ukweli. Ila angalia wakati usikupite. Yaani nakuhakikishia ipo siku utayakana maneno yako na siku hiyoo nitasimama nikiwa shuhuda.
Siku gani?

Unaweza kuitaja tarehe ili kama JF ipo turudi hapa kuhakikisha?
 
Back
Top Bottom