Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

Ndio swali umelikuta kwenye mtihani hilo, sasa km unanyoosha mkono upewe maana ya hilo swali huko ni kuchokoza kupata majibu ya mtihani.

Una akili?
Akili ni nini?

Jibu la swalihili halinipi jibu kamanina akili ama sina,linanisaidia kujua ninapojibu kamanina akiliau sina, ninajibu kitu gani.

Sasa mnataka nijibu swali ambalohata hamjalifafanua?
 
Mimi sijui, swali lina baki kama lilivyo.

Ww ndio wapaswa kujibu, ndio au hapana au sijui.

Au ukajibu ndio na kuongeza hizo mbwembwe zako kuwa ni zipi unazo na zipi huna.
Kama wewe hujui, basi hujui unachouliza, mimi nimekupa mfano neno "akili"ambavyo ni pana.. unatakiwa useme unauliza akili gani.
 
Back
Top Bottom