Kiranga sio atheist ni non-believer

Kiranga sio atheist ni non-believer

simpli huyo jamaa ni MPUMBAVU

Kuto amini kuwa Mungu yupo ni upuzu imeandikwa Zaburi 14:1 "Mpumbavu asema moyoni hakuna mungu wame haribu matendo yao na kufanya chukizo hakuna atendaye mema."

Mambo ya mungu ni upuzi kwa asiye amini imeandikwa 1Wakorintho 2:14 "Basi wanadamu watabia ya asili haya pokei mambo ya Roho wa Mungu maana kwake huyo niupuzi wala hawezi kufahamu kwa kuwa yatambulika kwa jinsi ya rohoni."

Mpumbavu hana msimamo imeandikwa Medhali 29:11 "Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote bali mwenye hekima huizuia na kuituliza."

Mpumavu huongea bila kipimo imeandikwa Medhali 10:8 "Aliye na akili mwoyoni mwake atapokea agizo; bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka."

Medhali 17:28 "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima akifumba midomo yake huhesabiwa ufahamu."
 
Mshana unazidi kupotea na huo ndio utofauti wako na kiranga naamini kama angekuwa Kiranga yeye angemkata The only katika hoja na sio kuenda kumpekenyua mpaka The only angekimbia
Kitendo cha ww kumpekenyua The only inaonyesha huna hoja ndio sana tunakuambia Kiranga humuwezi kwa hoja sasa sisi hizo habari ulizozibandika zinatusaidia nini? Sisi tunataka hoja bado hujafika Level ya Kiranga kubali ukatae
Naona kuna kitu hujui hapa ama umepotoka na pengine huelewi kufahamu undani wa mtu ni muhimu ili kufikia maamuzi sahihi
Mshana atabaki kuwa Mshana na kiranga atakaki kuwa kiranga usitake kumfanya mmoja hapo awe mwingine, kwa hoja kwa mitazamo na uelewa pia
Unapotofautiana hoja na mtu ndipo mjadala hunoga lakini ni pale tu panapokuwa na hoja jadidi... Kama nikiona hutoshi kwenye hoja husika na unajisifu kujua nitakupekenyua... Nini maana ya ithibati basi kama sio hiyo? Au ulitaka nimwendee pm nikamwekee huko?
Background ya chochote ni muhimu iwe biashara, mahusiano nk
 
Huo ndio utofauti wa Mshana na Kiranga naamini kama angekuwa Kiranga asingeenda kumpekenyua The only,angempeleka The only kwa hoja mpaka angemkata na the only angekimbia mjadala.
Lakini Mshana anataka kushindana kwa hoja na Kiranga wakati hoja hana angalia hapo juu Mshana anavyofanya sasa sisi tunajifunza nini inaonyesha wazi kaishiwa hoja.Mshana kwa hizo bandiko hapo juu unatudhihirishia humuwezi Kiranga naomba ubaki kwenye majini huko sawa ila Kiranga humuwezi
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa ni kweli simuwezi basi msaidie kujibu swali rahisi sana UNA AKILI AU HUNA AKILI? Jibu ndio au hapana
 
simpli huyo jamaa ni MPUMBAVU

Kuto amini kuwa Mungu yupo ni upuzu imeandikwa Zaburi 14:1 "Mpumbavu asema moyoni hakuna mungu wame haribu matendo yao na kufanya chukizo hakuna atendaye mema."

Mambo ya mungu ni upuzi kwa asiye amini imeandikwa 1Wakorintho 2:14 "Basi wanadamu watabia ya asili haya pokei mambo ya Roho wa Mungu maana kwake huyo niupuzi wala hawezi kufahamu kwa kuwa yatambulika kwa jinsi ya rohoni."

Mpumbavu hana msimamo imeandikwa Medhali 29:11 "Mpumbavu hudhihirisha hasira yake yote bali mwenye hekima huizuia na kuituliza."

Mpumavu huongea bila kipimo imeandikwa Medhali 10:8 "Aliye na akili mwoyoni mwake atapokea agizo; bali mpumbavu mwenye maneno mengi ataanguka."

Medhali 17:28 "Hata mpumbavu akinyamaza, huhesabiwa hekima akifumba midomo yake huhesabiwa ufahamu."
Huo ndio utofauti wa Mshana na Kiranga naamini kama angekuwa Kiranga asingeenda kumpekenyua The only,angempeleka The only kwa hoja mpaka angemkata na the only angekimbia mjadala.
Lakini Mshana anataka kushindana kwa hoja na Kiranga wakati hoja hana angalia hapo juu Mshana anavyofanya sasa sisi tunajifunza nini inaonyesha wazi kaishiwa hoja.Mshana kwa hizo bandiko hapo juu unatudhihirishia humuwezi Kiranga naomba ubaki kwenye majini huko sawa ila Kiranga humuwezi
Wako wengi sana
 
Kama kuna zingine umeficha niletee tafadhali View attachment 935102View attachment 935103
Hahahaha mkuu umepanic kunywa maji leo umenipa binge la umaarufu ,Mimi ni ordinary
Person hakuna la aibu hapo ni mfumo wangu wa kuishi tu ambao hata wewe unao mfano unapenda sana konyagi ,plz usiniloge mkuu Ila hata wafalme wa kwanza walijiself claim na mm anasema mkuu kiranga amekutandika vizuri sana that guy is extra mile ukipiga mbwa vizuri hubweka sana ,ngoja nimwite kiranga aongeze kichapo ,Ila mkuu usirudie kupambana na magenious hawa mbona mi low IQ mwenzako naamani kishenzi
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JF is never boring... Naona umekwepa kabisa kunijibu kama UNA AKILI AMA HUNA? Kama yeye alivyoshindwa... Jibu hili tu tufunge mjadala ili uzidi kupata umaarufu na uzidi kumtukuza
 
Na we umekwepa kabisa kunijibu swali langu
Je umeshawahi ku-excumbence ?
Ngoma droo hizi werevu huwa hawajibu huulizwa na viazi wanaolamba miguu dini zimewafunga kufikiri kwa uwazi
Pole sana kiranga nakuooona nakuoooonaaaa,huendi mbinguni
 
Mshana unazidi kupotea na huo ndio utofauti wako na kiranga naamini kama angekuwa Kiranga yeye angemkata The only katika hoja na sio kuenda kumpekenyua mpaka The only angekimbia
Kitendo cha ww kumpekenyua The only inaonyesha huna hoja ndio sana tunakuambia Kiranga humuwezi kwa hoja sasa sisi hizo habari ulizozibandika zinatusaidia nini? Sisi tunataka hoja bado hujafika Level ya Kiranga kubali ukatae

Kiranga amekuwa nani? Nabii au? Maana mnavyomsifia duhh! Mwishoe mtakufuru
 
Huo ndio utofauti wa Mshana na Kiranga naamini kama angekuwa Kiranga asingeenda kumpekenyua The only,angempeleka The only kwa hoja mpaka angemkata na the only angekimbia mjadala.
Lakini Mshana anataka kushindana kwa hoja na Kiranga wakati hoja hana angalia hapo juu Mshana anavyofanya sasa sisi tunajifunza nini inaonyesha wazi kaishiwa hoja.Mshana kwa hizo bandiko hapo juu unatudhihirishia humuwezi Kiranga naomba ubaki kwenye majini huko sawa ila Kiranga humuwezi
Ila niwe wazi nikiulizwa Mimi na mshana nani mwerevu bila hofu ntasema nadhani yeye ni moja ya ma role model wangu kifikra ndo maana Mimi na yeye wakristo,ila ukija kuhusu kiranga ntasema hivi Mimi ni rashid matumla au chiniyake ,mshana ni pankiao ila kiranga ni may weather
 
Naomba nikuulize swali rahisi lakini lililomshinda unayemsifia... UNA AKILI AMA HUNA AKILI...
BTW usipende kuishi maisha ya kufikirika na kuhukumu weka hizo mada ulizokuwa unanifuatilia tuone hicho unachokisema usahihi wake
Nna akil mkuu
 
Wewe utakuwa na matatizo makubwa sana.Na hii ni kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote,upendo wote naujuzi wote unayesema kakuumba,hayupo.

Kiranga ktk maelezo yake yote hakuna aliposema haamini uwepo wa Mungu kwa sababu haonekani.Anasema haamini kwa sababu dhana ya uwepo wake inajipinga yenyewe.Ni sawa na wewe uzaliwe bila kumjua baba yako.Na baada ya kufikisha umri wa miaka let say arobaini anatokea jamaa mwenye umri wa miaka 39 anadai yeye ndiye baba mzazi wako.Hivi kwa mazingira haya unahitaji mpaka mama mzazi wako(aliyefanya tendo na baba yako ukapatikana) awepo ili kujua kwamba kwa umri wako wa miaka 40 haiwezekani baba mzazi wako awe huyu wa miaka 39?

Hatuamini uwepo wa Mungu mjuzi wa yote,upendo wote na uwezo wote si kwa sababu haonekani bali hatuamini kupitia dhana ya uwepo wake ambayo imejipinga yenyewe hata kabla ya kupingwa na Kiranga.

Vipo vitu vingi tu visivyoonekana ila nakiri vipo.Na ni kwa sababu uwepo wake hauna contradictions.Mfano mtu kusema neno "kesho".
Watu wamejitoa ufahamu mkuu sio rahisi wakubali ukweli unaobisha hodi mlangoni mwa fahamu zao
 
Human beings in a mob
What's a mob to a king?
What's a king to a god?
What's a god to a non-believer?
Who don't believe in anything?
We make it out alive
All right, all right
No church in the wild

Sing a song
 
Hii inanikumbusha hadithi ya jamaa wawili kuhusu ni nini kati ya kuku na yai lilitangulia..
 
naona wazee mmewekana kwenye mitego kila mtu kaushtukia mtego wa mwenzake mmebakia kuzungukana tu,,(AKILI)

We jamaa kama uko kichwani mwangu vilee. Unakumbuka tukiwa watoto ili kujionyesha unajua mambo unamtwanga mwenzio swali, sasa na yeye ili asionekane hajui kitu anakutwanga swali la engo yake.. basi mtabishana hapo hapo ilmradi ngoma iwe droo kila mtu akivutia upande wake
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi ndio muuliza swali jibu ninalo... Mjibuji hajui au hana jibu hivyo anataka kupata jibu kwangu kijanja

Basi Mshana hebu mjibu tu Akili ni nini? Mwisho wa siku tutapambanua tu nani ni nani?
Kama umeshamjibu huko mbele, just ignore hii [emoji4][emoji53]
 
Mkuu neno akili ni msamiati mpya?
Mnona tukienda ktk staili hii mijadala humu haita isha?

Mfn: wewe tukianza kuuliza kila neno la hoja zako utoe maana zake sidhan kama mjadala utaisha, kwasababu hata majibu utakayotoa tinaweza uliza maana ya kila neno katika jibu hilo ninini!!

Gen Mangi, hao jamaa wanabishana. Wapo katika ligi, usitegemee atakapojibiwa yeyote kati yao watarudi kwenye hoja.
 
Back
Top Bottom