Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 12,068
- 35,764
Mkuu umewahi kula mbuzi kitunguu?Makange Mbuzi, karoti nyingi na ugali.
Mkuu umewahi kula mbuzi kitunguu?Makange Mbuzi, karoti nyingi na ugali.
Pilao ni nini baba mchungaji? Au unamuwaza pilato na show yake ya juzi😆pilao tamu pilao la nyama nyingi shida ipo mambo ya gas
Mkuu umewahi kula mbuzi kitunguu?
Mkuu una hasira 😆Sasa ulikuwepo? Ukweli ni upi?
Kwahiyo nikitaka kua mkweli lazima niseme napenda chapati kama wewe?
Unaanzisha uzi halafu unatupangia vyakula vya kutaja?
Uje siku moja utafute mahali wanapika mbuzi kitunguu😋Sijawahi Mkuu, inakuwaje?
Aliwakomesha😃Mwaka Fulani kaka angu alikua anatoka mikoani anaenda dar, Sasa alikua amekata tiketi ya mbele kabisa kwa dereva, Kuna msukuma mwenzangu nae walikua nae pale mbele,
Safari imeanza huyo msukuma akaanzaa akaagiza karanga kala akaagiza mayai kalaa akachukua koka cola kanywa akashushia na ndizi, mkuu akalala zake, unaanbiwa ilitokea tafrani humo Yani mnajijipepea harufu haijaisha jamaa kafyatua kombola jingine, acha ikabidi abiria wamukurupue, dereva akasema wanamuonea asogee pale mbele kwake akae, safari ikaendelea mzee mbele kidogo dereva akaanza kulalamika Hali mbaya jamaa anachia makombora ya Iran balaa,
Uje siku moja utafute mahali wanapika mbuzi kitunguu😋
Mbuzi full vitunguu🙌🏾
Si ajabu wewe tunakutana sana kwenye daladala au wewe ndo wale wanawake siti wanawahi kupitia dirishaniKhaa mimi niko kazini wateja hakuna nimeona nipunguze mawazo na wasimbe wenzangu huku!🤣
Eleza sasa wanapikaje? Nipe mwanga
www.google.com
Hakuna cha ajabu hapo, kupigana na konda sio shida zangu! Kuingilia dirishani kawaida sana!Si ajabu wewe tunakutana sana kwenye daladala au wewe ndo wale wanawake siti wanawahi kupitia dirishani
Jf inatufichia mengi sana
Giant wa kikurya? Au nawe ni mnyantuzuHakuna cha ajabu hapo, kupigana na konda sio shida zangu! Kuingilia dirishani kawaida sana!
Msukuma tu ila ndio ntakushangaza!Giant wa kikurya? Au nawe ni mnyantuzu
Haa ngosha mnalazimisha sana muonekane wanasayansi tulieni ninyi ni vipawatilaMsukuma tu ila ndio ntakushangaza!
Vipawatila ni nini?Haa ngosha mnalazimisha sana muonekane wanasayansi tulieni ninyi ni vipawatila
Kama walowezi mashambani tuVipawatila ni nini?
Duhh usiwadharau kijana jamii kubwa sana hii,Kama walowezi mashambani tu
nimecheka kah 😂😂😂😂😂Pilao ni nini baba mchungaji? Au unamuwaza pilato na show yake ya juzi😆