Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,636
- 2,310
HahahaNashangaa mpaka sasa makampuni ya bia hayampi min mee ubalozi, mdau mkubwa sana huyu
HahahaNashangaa mpaka sasa makampuni ya bia hayampi min mee ubalozi, mdau mkubwa sana huyu
Umesahau parachichiWali nazi na samaki mmbichi pelege asikaangwe wa nazi tupia na mchicha kidogo. Ooohh utaniuwa. Tena nile mchana jua lawaka.
Weeka nanasi au ndizi kisukariUmesahau parachichi
Uwe kiporo na chai ya rangi asubuhi 😊Aliyegundua wali maharage apewe maua yake 🙌
Utaua kabisaWeeka nanasi au ndizi kisukari
Ndizi nyama upike mwenyewe za restaurant hutashibaNdizi nyama,wali maharage.
Mm Libra piaLibra horoscope tupo netral hatunaga kitu tunachagua chochote kikija mbele ni kanyagq twende ila ugali maziwa acha kabisa
Unajisikiaje kwani nimedanganyaMm Libra pia
Upo sawaUnajisikiaje kwani nimedanganya