Hakikisha unafanya kwa ukubwa Biashara yako wakati unaanza

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,959
Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate.

Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila hajui aianze anze vipi, Kuwa na idea ya biashara sio issue sasa hivi issue ni namna ya kuingiza hiyo idea yako kwenye vitendo hapo ndio patamu.

Iko hivi hizi idea sio kwamba ni perfect 100 percent ila napenda kuwapa mbinu na njia nilizotumia na kuona mafanikio yake (kuna baadhi ya wana JF they know me nnje ya JF) kuwa katika hii njia hakuna biashara nitaifungua popote kwasasa iniangushe (nikishasema YES kwenye biashara flani) hii ndio njia yangu pendwa ya namna huwa naanza biashara yoyote ile.

Kwenye biashara hakunaga mtaji unaotosha hata kama biashara iwe ina mtaji mdogo kiasi gani nakuhakikishia hakuna biashara utaingia ikajikamilisha, Kwanini? kwasababu biashara si yako ni ya wateja

Je, unajua wateja wote hii dunia wanataka nini kwenye hiyo biashara yako? jibu ni NO hivyo basi itoshe kuweka akilini kwamba huwezi kuwa namtaji ukatosheleza mahtaji ya mteja.

Ukishajua hilo sasa unaanzaje?

Yawezekana upo mahali umeshawaza biashara unayotaka kufungua ni Kuuza Genge Ndio kuuza genge ni biashara nzuri sana,genge maana yake ni kuuza vitu kama nyanya,karot, na vikorombwezo vingine kibao...

Mkononi una 100k yani LAKI 1, umeshaandaa kibanda chako umebaki mkononi na laki kamili Unajiuliza kesho sokoni ukanunue nini uache nni! huelewi

Acha nikwambie, nimesema "hakikisha unaianza biashara yako kwa Ukubwa bila kujalisha ni biashara gani" Mkononi una Laki moja, badala ya kwenda kununua nyanya tenga, vitunguu vya 10k,hoho za 20k, kabichi za 10k,nk nk yani unagusa gusa kila mahali kidogo kidogo (makosa makubwa hayo) Kubali kuanzia chini.

Nenda sokoni,umeshajua Hamna mboga itapikwa bila nynya,HAKUNA maana yake ni kwamba kwenye mboga nyanya ni kama beki anaecheza kulia na kushoto Nyanya ndio kila kitu kwenye biashara ya GENGE, nani anauza genge hauzi nyanya, HAKUNA.

Umeshalijua hilo na mkononi una Laki,ingia sokoni Tenga 1 ni 15k (mfano) chukua matenga yako manne kwa 60k changanya za kuiva tenga 1 mbichi tenga 3, = 60k unabaki na 40k usafiri weka 10k unabaki na 30k hii 30k nunua visado vyakupimia nyanya zako ujazo tofauti, beba mzigo wako hadi kibandani kwako.

Mwaga mezani nyanya zako zipange zipangike,una nyanya nyingi maana yake bei yako itakua chini kuliko wenzio wenye vitenga vimoja vimoja,Anza genge lako na NYANYA tu uza nyanya wateja wa wenzako watakua wanakuja nunua nyanya kwako, hamnaga mteja asiependa sehemu yenye mzigo wa kutosha na nyongeza,utauza sana nyanya zako, baadae mtaji ukikua utaongeza Vitunguuu Utaratbu ni ule ule Una ki 50,000 yote kanunulie vitunguuuu Leta gengeni kwako anza endelea na kazi...Tukutane december uone hilo genge litakavyokua.

Yawezekana ni MAMA NTILIE unataka kuanza biashara ya Chakula

Mkononi umefanya kila kitu umebaki na 50,000 usipasuke kichwa eti nipike ugali nusu,wali kilo,pilau nusu,nk nk Acha kugusa gusa

Hakuna msosi unaolika kwa mama ntilie kama UGALI sasa una 50,000 chakufanya Tupia 50,000 yote kwenye Ugali nenda fata unga kilo zako 4 mboga weka za kutosha dagaa,kachumbari,mboga za majani,marage,mlenda kidogo Kisha Pika kila kitu in a professional way kuanzia ugali wako,mboga zako, mpka katika upakuaji sahani zako ziwe safi...

mteja akija akiulizia wali mwambie Umeisha,ulipika kidogo ila kuna UGALI MBOGA SABA anakwambia nipakulie ugali (kanasa huyo) hakikisha hukosei mpakulie vizuri panga mboga kama unampakulia mumeo home,peleka mezani mnawishe mteja, Biashara haina uchawi umemaliza hiyo Akila akimaliza asipoongeza niite CONTROLA nimekaa pale.

Ugali utaisha wote,kusanya wateja kwa bidhaa yako moja wakishakolea waulize jamani Kesho nataka wapikia Wali au Pilau vipiiii nipikee,Pokea maoni Acha kukurupuka kujipikia tu chakula huli wewe wanakula wateja Kusanya data kabla hujaingia Jikoni. Tukutane december tuone kama utakua unauza ugali tu.

Kuna mwingine anatamani kufanya biashara ya UWAKALA anahangaikaa anapata laini zote kuu 3 tigo voda airtel, mtaji wake 500k Acha nikwambie angalia mkoa au eneo ulilopo wateja wengi wapo mtandao upi,kama ni TIGO

Weka Voda na Airtel pembeni Float yote jaza na Tigo cheza na tigo toa weka na tigo kamisheni ukipokea ongeza mtaji na TIGO usikubali kuwakosa wateja wa TIGO brand ofisi yako na mabango yamtandao unaopga nao kazi tuuu usiweke tangazo la mtandao mwingine (nina maana yangu nikisema hivi) Anza kwa ukubwa huo huo na mtandao wako mmoja ukiwa na float ya kutosha,Mtaji ukiongezeka ONGEZA mtandao mwingine,hvyo hvyo Mpaka december tutambiana habari ilivyo.

Biashara ya Gas

Kampuni ni nyingi mitaji ni midogo jitahidi uanze kwa ukubwa tunaousemea hapa angalia una kiasi gani badala yakuanza na gas kampuni zote anza na 1 baada ya nyingine taratbu taratbu hadi utafikia lengo lako la kuuza gas aina zote kampuni zote.

Mifano ni Mingi lakini nimetolea hiyo michache,Hakikisha hugusi gusi kila kitu kuna faida nyingi kuanza kwa ukubwa na kutogusa gusa.

Unapoanza biashara hakikisha hutilii huruma na fanya kitu watu wajue uko serious na unachokifanya sio kufanya kwa kujjaribu jaribu maana wanaofanya kwa kugusa gusa ni wanaojaribu incase hiki hakijanunuliwa kinunuliwe hiki,sasa biashara haitaki majaribio biashara inataka ufanye, IFE uinuke Ufanye tena hamna kujaribu jaribu.

Eti unaanza mama ntilie leo unapika wali nusu ugali kilo wateja wa 5 tu washamaliza msosi woteee,Anza na kitu kimoja kwa ukubwa. Kila biashara ianzwe kwa ukubwa na itakulipa kwa ukubwa huo huo ulio amua kuanzza nao.

Watakwambia weka na hiki na kile pokea ushauri wao lakini mimi nakuambia Anza na Kimoja Kwa ukubwa kisha vingine vitafata.

CONTROLA 2023
 
Shukrani kaka mawazo mazuri ntayafanyia kazi. Nna biashara yangu hapa nimefungua kila kimoja kipo nusu nusu ila bidhaa inayotoka sana ndo nimeiweka kwa wingi.Na nilikua naweka biashaa kulingana na maombi ya wateja kumbe ningeacha ni subiri niwe na mtaji mkubwa?
 
Siti ya mbele kabisa mkuu, naelewaga sana madini yako. nakazia tu uzi mbali na quantity ambayo imezungumzwa vyema bila chenga, quality pia haikai mbali hapo.
nakumbuka wakati naanza buzness nlikuwa naagiza kitu cha aina moja tu, mteja akihitaji aina nyingine huwa nilikuwa namfatia katika maduka nnayoyaamini kuwa ubora ni mzuri.
nilikuwa nipo radhi kuingia hasara ya usafiri wa boda, hata kama sipati ganji lakini tu mteja aniamini.
but nashukuru Mungu kwa sasa nimeongeza vitu vya aina nyingine ambavyo vina uhitaji na vinapeform kwenye soko.
Asante sana kwa maarifa.
 
Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate.

Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila hajui aianze anze vipi, Kuwa na idea ya biashara sio issue sasa hivi issue ni namna ya kuingiza hiyo idea yako kwenye vitendo hapo ndio patamu...

IKO hivi hizi idea sio kwamba ni perfect 100 percent ila napenda kuwapa mbinu na njia nilizotumia na kuona mafanikio yake (kuna baadhi ya wana JF they know me nnje ya JF) kuwa katika hii njia hakuna biashara nitaifungua popote kwasasa iniangushe (nikishasema YES kwenye biashara flani) hii ndio njia yangu pendwa ya namna huwa naanza biashara yoyote ile.

Kwenye biashara hakunaga mtaji unaotosha hata kama biashara iwe ina mtaji mdogo kiasi gani nakuhakikishia hakuna biashara utaingia ikajikamilisha, Kwanini? kwasababu biashara si yako ni ya wateja

Je unajua wateja wote hii dunia wanataka nini kwenye hiyo biashara yako? jibu ni NO hivyo basi itoshe kuweka akilini kwamba huwezi kuwa namtaji ukatosheleza mahtaji ya mteja...

Ukishajua hilo sasa unaanzaje?

Yawezekana upo mahali umeshawaza biashara unayotaka kufungua ni Kuuza Genge Ndio kuuza genge ni biashara nzuri sana,genge maana yake ni kuuza vitu kama nyanya,karot, na vikorombwezo vingine kibao...

Mkononi una 100k yani LAKI 1,Umeshaandaa kibanda chako umebaki mkononi na laki kamili Unajiuliza kesho sokoni ukanunue nini uache nni! huelewi

Acha nikwambie,Nimesema "hakikisha unaianza biashara yako kwa Ukubwa bila kujalisha ni biashara gani" Mkononi una Laki moja, badala ya kwenda kununua nyanya tenga,vitunguu vya 10k,hoho za 20k,Kabichi za 10k,nk nk yani unagusa gusa kila mahali kidogo kidogo (makosa makubwa hayo) Kubali kuanzia chini...

Nenda sokoni,umeshajua Hamna mboga itapikwa bila nynya,HAKUNA maana yake ni kwamba kwenye mboga nyanya ni kama beki anaecheza kulia na kushoto Nyanya ndio kila kitu kwenye biashara ya GENGE,nani anauza genge hauzi nyanya, HAKUNA.

Umeshalijua hilo na mkononi una Laki,ingia sokoni Tenga 1 ni 15k (mfano) chukua matenga yako manne kwa 60k changanya za kuiva tenga 1 mbichi tenga 3, = 60k unabaki na 40k usafiri weka 10k unabaki na 30k hii 30k nunua visado vyakupimia nyanya zako ujazo tofauti.. beba mzigo wako hadi kibandani kwako.

Mwaga mezani nyanya zako zipange zipangike,una nyanya nyingi maana yake bei yako itakua chini kuliko wenzio wenye vitenga vimoja vimoja,Anza genge lako na NYANYA tu uza nyanya wateja wa wenzako watakua wanakuja nunua nyanya kwako, Hamnaga mteja asiependa sehemu yenye mzigo wa kutosha na nyongeza,utauza sana nyanya zakoo... baadae mtaji ukikua utaongeza Vitunguuu Utaratbu ni ule ule Una ki 50,000 yote kanunulie vitunguuuu Leta gengeni kwako anza endelea na kazi...Tukutane december uone hilo genge litakavyokua.

Yawezekana ni MAMA NTILIE unataka kuanza biashara ya Chakula

Mkononi umefanya kila kitu umebaki na 50,000 usipasuke kichwa eti nipike ugali nusu,wali kilo,pilau nusu,nk nk Acha kugusa gusa

Hakuna msosi unaolika kwa mama ntilie kama UGALI sasa una 50,000 chakufanya Tupia 50,000 yote kwenye Ugali nenda fata unga kilo zako 4 mboga weka za kutosha dagaa,kachumbari,mboga za majani,marage,mlenda kidogo Kisha Pika kila kitu in a professional way kuanzia ugali wako,mboga zako, mpka katika upakuaji sahani zako ziwe safi...

mteja akija akiulizia wali mwambie Umeisha,ulipika kidogo ila kuna UGALI MBOGA SABA anakwambia nipakulie ugali (kanasa huyo) hakikisha hukosei mpakulie vizuri panga mboga kama unampakulia mumeo home,peleka mezani mnawishe mteja, Biashara haina uchawi umemaliza hiyo Akila akimaliza asipoongeza niite CONTROLA nimekaa pale...

Ugali utaisha wote,kusanya wateja kwa bidhaa yako moja wakishakolea waulize jamani Kesho nataka wapikia Wali au Pilau vipiiii nipikee,Pokea maoni Acha kukurupuka kujipikia tu chakula huli wewe wanakula wateja Kusanya data kabla hujaingia Jikoni.... Tukutane december tuone kama utakua unauza ugali tuuu...

Kuna mwingine anatamani kufanya biashara ya UWAKALA anahangaikaa anapata laini zote kuu 3 tigo voda airtel, mtaji wake 500k Acha nikwambie angalia mkoa au eneo ulilopo wateja wengi wapo mtandao upi,kama ni TIGO

weka Voda na Airtel pembeni Float yote jaza na Tigo cheza na tigo toa weka na tigo kamisheni ukipokea ongeza mtaji na TIGO usikubali kuwakosa wateja wa TIGO brand ofisi yako na mabango yamtandao unaopga nao kazi tuuu usiweke tangazo la mtandao mwingine (nina maana yangu nikisema hivi) Anza kwa ukubwa huo huo na mtandao wako mmoja ukiwa na float ya kutosha,Mtaji ukiongezeka ONGEZA mtandao mwingine,hvyo hvyo Mpaka december tutambiana habari ilivyo...

Biashara ya Gas

Kampuni ni nyingi mitaji ni midogo jitahidi uanze kwa ukubwa tunaousemea hapa angalia una kiasi gani badala yakuanza na gas kampuni zote anza na 1 baada ya nyingine taratbu taratbu hadi utafikia lengo lako la kuuza gas aina zote kampuni zote.

Mifano ni Mingi lakini nimetolea hiyo michache,Hakikisha hugusi gusi kila kitu kuna faida nyingi kuanza kwa ukubwa na kutogusa gusa.

Unapoanza biashara hakikisha hutilii huruma na fanya kitu watu wajue uko serious na unachokifanya sio kufanya kwa kujjaribu jaribu maana wanaofanya kwa kugusa gusa ni wanaojaribu incase hiki hakijanunuliwa kinunuliwe hiki,sasa biashara haitaki majaribio biashara inataka ufanye,IFE uinuke Ufanye tena hamna kujaribu jaribu.

eti unaanza mama ntilie leo unapika wali nusu ugali kilo wateja wa 5 tu washamaliza msosi woteee,Anza na kitu kimoja kwa ukubwa..Kila biashara ianzwe kwa ukubwa na itakulipa kwa ukubwa huo huo ulio amua kuanzza nao.

Watakwambia weka na hiki na kile pokea ushauri wao lakini mimi nakuambia Anza na Kimoja Kwa ukubwa kisha vingine vitafata.

CONTROLA 2023
Changamoto inayoweza kujitokeza katika hili ni, mfano kwa biashara ya genge mteja huwa anapenda anunue vitu anavyotaka vyote kwenye genge moja. Akikuta kitunguu huna basi hatonunua chochote anaenda kwenye genge lingine.
 
ni kweli kabisa mkuu, halina ubishi hili, ila naona mtoa mada alimaanisha ile point ya kuanza mara nyingi wengi mitaji inakata, so ni kheri ukashikilia kikubwa kwa usahihi. hata hao wanaopenda kununua vitu ving sehem moja wanaweza kujikuta nyanya wanaacha huko kwingne watakuja kuchukua kwako. coz wanapata za aina mbalimbali na kwa wingi.
but jambo jema pia kwenye buzness kuconaider matakwa ya mteja.
 
Changamoto inayoweza kujitokeza katika hili ni, mfano kwa biashara ya genge mteja huwa anapenda anunue vitu anavyotaka vyote kwenye genge moja. Akikuta kitunguu huna basi hatonunua chochote anaenda kwenye genge lingine.
NA akikuta nynya za 500 kule kwenye vitunguu anawekewa 5 wakati wewe mwenye nyanya Tu unamuekea 10 Hatonunua kule nyanya atarudi kwako Tu.
 
Shukrani kaka mawazo mazuri ntayafanyia kazi. Nna biashara yangu hapa nimefungua kila kimoja kipo nusu nusu ila bidhaa inayotoka sana ndo nimeiweka kwa wingi.Na nilikua naweka biashaa kulingana na maombi ya wateja kumbe ningeacha ni subiri niwe na mtaji mkubwa?
Kuna kubadilishia gia HEWANI kwenye biashara ukiona kitu hakitoki unachotakiwa kufanya

ni kukitoa,unakitoaje? Ulikinunua kwa 500 mteja akija muuzie 500 "huko ndio kubadilishia gia hewani"

watanunua yote vitaisha maana hakuna mahali popote ataenda atauziwa 500 hicho kitu,Ukifanikiwa

kukiondoa Hela utayopata Jazia kwenye biashara inayotoka,endelea na mapambano.
 
Asante ndugu.
 
Ni kwel kabisa mentor wangu kwenye biashara ninayofanya alikuwa anishaur nitumie mbinu kama hiyo kwa maana unapoleta mzigo mkubwa kwa bidhaa fulani basi maumivu ni mara moja tu, Kidogo dogo kwa baadae utaongeza bidhaa nyingine kwa wingi. Mwisho wa siku utakuta duka limejaa.
Hongera kaka kwa maarifa aina hii!....
 
Hakuna jambo gumu katika biashara kama mwanzo, biashara nyingi hufa mwanzoni si kwasababu hamna wateja ila ni kutokana na ufinyu wa mtaji na na kwa wenye mitaji kutojua nini cha kuuza na kipi kianze kipi kifate.

Leo nataka nimsaidie mawazo mtu mwenye mtaji anaetaka kuanza kufanya biashara ila hajui aianze anze vipi, Kuwa na idea ya biashara sio issue sasa hivi issue ni namna ya kuingiza hiyo idea yako kwenye vitendo hapo ndio patamu...

IKO hivi hizi idea sio kwamba ni perfect 100 percent ila napenda kuwapa mbinu na njia nilizotumia na kuona mafanikio yake (kuna baadhi ya wana JF they know me nnje ya JF) kuwa katika hii njia hakuna biashara nitaifungua popote kwasasa iniangushe (nikishasema YES kwenye biashara flani) hii ndio njia yangu pendwa ya namna huwa naanza biashara yoyote ile.

Kwenye biashara hakunaga mtaji unaotosha hata kama biashara iwe ina mtaji mdogo kiasi gani nakuhakikishia hakuna biashara utaingia ikajikamilisha, Kwanini? kwasababu biashara si yako ni ya wateja

Je unajua wateja wote hii dunia wanataka nini kwenye hiyo biashara yako? jibu ni NO hivyo basi itoshe kuweka akilini kwamba huwezi kuwa namtaji ukatosheleza mahtaji ya mteja...

Ukishajua hilo sasa unaanzaje?

Yawezekana upo mahali umeshawaza biashara unayotaka kufungua ni Kuuza Genge Ndio kuuza genge ni biashara nzuri sana,genge maana yake ni kuuza vitu kama nyanya,karot, na vikorombwezo vingine kibao...

Mkononi una 100k yani LAKI 1,Umeshaandaa kibanda chako umebaki mkononi na laki kamili Unajiuliza kesho sokoni ukanunue nini uache nni! huelewi

Acha nikwambie,Nimesema "hakikisha unaianza biashara yako kwa Ukubwa bila kujalisha ni biashara gani" Mkononi una Laki moja, badala ya kwenda kununua nyanya tenga,vitunguu vya 10k,hoho za 20k,Kabichi za 10k,nk nk yani unagusa gusa kila mahali kidogo kidogo (makosa makubwa hayo) Kubali kuanzia chini...

Nenda sokoni,umeshajua Hamna mboga itapikwa bila nynya,HAKUNA maana yake ni kwamba kwenye mboga nyanya ni kama beki anaecheza kulia na kushoto Nyanya ndio kila kitu kwenye biashara ya GENGE,nani anauza genge hauzi nyanya, HAKUNA.

Umeshalijua hilo na mkononi una Laki,ingia sokoni Tenga 1 ni 15k (mfano) chukua matenga yako manne kwa 60k changanya za kuiva tenga 1 mbichi tenga 3, = 60k unabaki na 40k usafiri weka 10k unabaki na 30k hii 30k nunua visado vyakupimia nyanya zako ujazo tofauti.. beba mzigo wako hadi kibandani kwako.

Mwaga mezani nyanya zako zipange zipangike,una nyanya nyingi maana yake bei yako itakua chini kuliko wenzio wenye vitenga vimoja vimoja,Anza genge lako na NYANYA tu uza nyanya wateja wa wenzako watakua wanakuja nunua nyanya kwako, Hamnaga mteja asiependa sehemu yenye mzigo wa kutosha na nyongeza,utauza sana nyanya zakoo... baadae mtaji ukikua utaongeza Vitunguuu Utaratbu ni ule ule Una ki 50,000 yote kanunulie vitunguuuu Leta gengeni kwako anza endelea na kazi...Tukutane december uone hilo genge litakavyokua.

Yawezekana ni MAMA NTILIE unataka kuanza biashara ya Chakula

Mkononi umefanya kila kitu umebaki na 50,000 usipasuke kichwa eti nipike ugali nusu,wali kilo,pilau nusu,nk nk Acha kugusa gusa

Hakuna msosi unaolika kwa mama ntilie kama UGALI sasa una 50,000 chakufanya Tupia 50,000 yote kwenye Ugali nenda fata unga kilo zako 4 mboga weka za kutosha dagaa,kachumbari,mboga za majani,marage,mlenda kidogo Kisha Pika kila kitu in a professional way kuanzia ugali wako,mboga zako, mpka katika upakuaji sahani zako ziwe safi...

mteja akija akiulizia wali mwambie Umeisha,ulipika kidogo ila kuna UGALI MBOGA SABA anakwambia nipakulie ugali (kanasa huyo) hakikisha hukosei mpakulie vizuri panga mboga kama unampakulia mumeo home,peleka mezani mnawishe mteja, Biashara haina uchawi umemaliza hiyo Akila akimaliza asipoongeza niite CONTROLA nimekaa pale...

Ugali utaisha wote,kusanya wateja kwa bidhaa yako moja wakishakolea waulize jamani Kesho nataka wapikia Wali au Pilau vipiiii nipikee,Pokea maoni Acha kukurupuka kujipikia tu chakula huli wewe wanakula wateja Kusanya data kabla hujaingia Jikoni.... Tukutane december tuone kama utakua unauza ugali tuuu...

Kuna mwingine anatamani kufanya biashara ya UWAKALA anahangaikaa anapata laini zote kuu 3 tigo voda airtel, mtaji wake 500k Acha nikwambie angalia mkoa au eneo ulilopo wateja wengi wapo mtandao upi,kama ni TIGO

weka Voda na Airtel pembeni Float yote jaza na Tigo cheza na tigo toa weka na tigo kamisheni ukipokea ongeza mtaji na TIGO usikubali kuwakosa wateja wa TIGO brand ofisi yako na mabango yamtandao unaopga nao kazi tuuu usiweke tangazo la mtandao mwingine (nina maana yangu nikisema hivi) Anza kwa ukubwa huo huo na mtandao wako mmoja ukiwa na float ya kutosha,Mtaji ukiongezeka ONGEZA mtandao mwingine,hvyo hvyo Mpaka december tutambiana habari ilivyo...

Biashara ya Gas

Kampuni ni nyingi mitaji ni midogo jitahidi uanze kwa ukubwa tunaousemea hapa angalia una kiasi gani badala yakuanza na gas kampuni zote anza na 1 baada ya nyingine taratbu taratbu hadi utafikia lengo lako la kuuza gas aina zote kampuni zote.

Mifano ni Mingi lakini nimetolea hiyo michache,Hakikisha hugusi gusi kila kitu kuna faida nyingi kuanza kwa ukubwa na kutogusa gusa.

Unapoanza biashara hakikisha hutilii huruma na fanya kitu watu wajue uko serious na unachokifanya sio kufanya kwa kujjaribu jaribu maana wanaofanya kwa kugusa gusa ni wanaojaribu incase hiki hakijanunuliwa kinunuliwe hiki,sasa biashara haitaki majaribio biashara inataka ufanye,IFE uinuke Ufanye tena hamna kujaribu jaribu.

eti unaanza mama ntilie leo unapika wali nusu ugali kilo wateja wa 5 tu washamaliza msosi woteee,Anza na kitu kimoja kwa ukubwa..Kila biashara ianzwe kwa ukubwa na itakulipa kwa ukubwa huo huo ulio amua kuanzza nao.

Watakwambia weka na hiki na kile pokea ushauri wao lakini mimi nakuambia Anza na Kimoja Kwa ukubwa kisha vingine vitafata.

CONTROLA 2023
Weka namba mkuu Nina mdg wangu natak umuimbishe hzi taarifa muhimu naomna namba pm plz

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom