Hebu itisha miwa hapo ukate stimu 😂Ukaaji wake hapo kwenye sahani sio poa😃
Hebu itisha miwa hapo ukate stimu 😂Ukaaji wake hapo kwenye sahani sio poa😃
Duh ata pilauHahaha wali mimi hapana kabisa , hata nikiuona tu unanikata hamu ya kula
Huo ukaaji wakeMbona mtamu
Sipendelei naokota nyama kuliko kula zaidiDuh ata pilau
Kwa chapati hiyo baado kidogo japo umejitahidi rangi yake haivutii sana ila MashaAllah 😘Kwangu mimi ni chapati sizichoki asee af za mama ntilie hapana nimekuwa affected siwez kula chakula ame pika mwingine na simuamin mtu kwenye swala la kupika ata kama nimechoka kuliko kununua bora nipike
View attachment 3568966
Huo unga wa ppf ni mzuri mnoo
View attachment 3568967
Jiona una kula nini show us
pilao tamu pilao la nyama nyingi shida ipo mambo ya gasPilau
Na ndio samak wa hotel wana pikaHuo ukaaji wake
Duh utaisha sanaSipendelei naokota nyama kuliko kula zaidi
Sawa tu maana masamaki yao sipendi.Utafukuzwa zanzibar wewe
😂😂nimechekaKwa chapati hiyo baado kidogo japo umejitahidi rangi yake haivutii sana ila MashaAllah 😘
Mie napenda nyama choma 😋
Napenda wali upikwe kwa kuchanganya Mchele wa shamba na basmat na samaki wa nazi kando ziwepo njegere😋
Baada ya kula baadae kidogo kahawa
Mda huo sasa naingia JF kupiga doria😎
Ahhaha unga wa ppf mweupe sana si una juaKwa chapati hiyo baado kidogo japo umejitahidi rangi yake haivutii sana ila MashaAllah 😘
Mie napenda nyama choma 😋
Napenda wali upikwe kwa kuchanganya Mchele wa shamba na basmat na samaki wa nazi kando ziwepo njegere😋
Baada ya kula baadae kidogo kahawa
Mda huo sasa naingia JF kupiga doria😎
Na liw na njegere mixer nyanya sipend pilau wengine wan weka iriki magome ya mti asee napatwa na hasirapilao tamu pilao la nyama nyingi shida ipo mambo ya gas
Aweee zanzibar utoboi 😂ila kitimoto kipoSawa tu maana masamaki yao sipendi.
Na mimi imebidi nicheke tu 😂😂😂nimecheka
Madr wamesema haya utashindwa perfom well
wali nazi banah na ndizi nazi za nyama ya kukuu wa kienyeji acha kabisa na chai ya maziwaHahaha wali mimi hapana kabisa , hata nikiuona tu unanikata hamu ya kula
Chakula cha roho vipi?Kwa chapati hiyo baado kidogo japo umejitahidi rangi yake haivutii sana ila MashaAllah 😘
Mie napenda nyama choma 😋
Napenda wali upikwe kwa kuchanganya Mchele wa shamba na basmat na samaki wa nazi kando ziwepo njegere😋
Baada ya kula baadae kidogo kahawa
Mda huo sasa naingia JF kupiga doria😎
Wala shida sio unga kawaida unga hua mweupe lakin kuna namna ya kuandaa na kufanya chapat iwe lainii ichambuke na iwe na rangii ya kuvutiaaAhhaha unga wa ppf mweupe sana si una jua
Mchele wa basmat naupenda kweynye birian sijawai tumia kwa pilau
Ukiwa na maana?Chakula cha roho vipi?
Acha basi sema kweliiNi waongo. 😁