chafya ngumu
Senior Member
- Mar 29, 2026
- 113
- 426
Rosti nguruweRost ya main au
Rosti nguruweRost ya main au
Hii wamekausha sana 😂View attachment 3568982hapa harafu kuwe na bia kreti moja pembeni
Mbuzi katorikiHii wamekausha sana 😂
Sili uchafuVipi nyama pendwa mnayokula kwa kificho?
Utamu wa kitimoto bana, mzigo usikaushwe sana alafu ile kachumbari tia mafuta/povu moto toka jikoni yaliokuwa yanakaangia mzigoMbuzi katoriki
Vitambi na mna hii haviiishiView attachment 3568982hapa harafu kuwe na bia kreti moja pembeni
UkorofiiiVipi nyama pendwa mnayokula kwa kificho?
Ukitoa wali na maharage hiko kingine ni kitu gani?
Vitambi haviishi nasemaRosti nguruwe
YeaHNyoka?
SahihiWali nyama ya kuku pembenj mboga za majanj pamoja na avokado, ndizi na maembe
Chakula pendwa africa
Bora tambi kuliko madonda ya tumboVitambi haviishi nasema
Kula kujigalagazaUgali samaki aina ya Sato tena ugali Dona uwe na udaga au muhogo hivi Kisha kuwe na mtindi wa maana walau lita1 hivi nakuambia hakuna mfano