Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,583
- 66,265
- Thread starter
- #201
Kizuri mnoo mm pia hua napendeleaChakula changu pendwa mkuu
Kizuri mnoo mm pia hua napendeleaChakula changu pendwa mkuu
Ahahahh wakusikie wasukumaWali mweupe ni msosi wangu pendwa bila kujali mboga wali kwangu ndo the best.
KabisaChapati na kuku wa mchuzi
Kweliii kitambii hakiishi hapoSpagheti na roasted beef
🙏🙏 na nimechukulia utaniHiyo wala sio hasira,
Mwachiluwi ni mmoja wa member ninao wakubali sana,hiyo nimepiga pressure tu yakutetea hoja yangu.
😀
Wao na mimi hatuna tofaut sana, wao wanapenda ugali usio na faida yoyote mwilini na mm napenda waliAhahahh wakusikie wasukuma
Af wali dagaa sio mbaya wahudumu wana dharau sanaNapenda wali dagaa sana. Bahati mbaya kinaonekana kama chakula duni,wakati mwingine naonekana naagiza kwa sababu nimeishiwa.
Siku moja mgahawani nikaagiza wali dagaa, dada akaniambia dagaa anauza na ugali tu. Nikamwambia naomba nisaidie tu wali dagaa, dada akaniambia kwa sauti kama huna hela anipe wali mchuzi. Daah nikaumia sana
Ukibidi nilinde heshima
Nikamwambia lete ugali dagaa na wali, alipoleta nikamwambia huu ugali kamwage halafu naomba bill ya watu wanaokula muda huu.
Kwelii kabisa janabi akiona ana umia hiiSamaki mbichi wa kupikwa na Kachumbari
Iwe na ugali, wali, chips, ndizi au chochote. Ila iwepo tu samaki na salad hapo hata kila siku
Nilikuwepoo bhna 😂KM ulikwepo vile😜
Kuku wa nazi sioUgali mboga za majani kwa wingii na kuku
hhahaah wanasema wali una leta vitambiWao na mimi hatuna tofaut sana, wao wanapenda ugali usio na faida yoyote mwilini na mm napenda wali
Akichomwa, akikaangawa ni bora zaidi wa mchuzi anawahi kukifu, japo kukubwa nazi nae ni mtamu balaaKuku wa nazi sio
Ana nafas yakeAkichomwa, akikaangawa ni bora zaidi wa mchuzi anawahi kukifu, japo kukubwa nazi nae ni mtamu balaa