fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,747
- 7,451
Chapati na kuku wa mchuzi
Ninyi nao mlipaswa kua kama wamasai wazungu wawe wanalipia kuja kuwaona tu hamna kaziDuhh usiwadharau kijana jamii kubwa sana hii,
Hatuna kazi kivipi? Tukilima hamli ugali ninyi? Hebu tuombe radhi kwanza!Ninyi nao mlipaswa kua kama wamasai wazungu wawe wanalipia kuja kuwaona tu hamna kazi
Ah karibuni kwa waasisi wa nchii hiiHatuna kazi kivipi? Tukilima hamli ugali ninyi? Hebu tuombe radhi kwanza!
![]()
LUCIA KANUNU on Instagram: "Airfryer Mbuzi Kitunguu I’ve been seeing this Tanzanian mbuzi kitunguu all over TikTok and I just had to give it a try. Most recipes do it on a grill ama oven but since it was a small portion of meat, I went with the Air
1,266 likes, 54 comments - campusmama on May 13, 2025: "Airfryer Mbuzi Kitunguu I’ve been seeing this Tanzanian mbuzi kitunguu all over TikTok and I just had to give it a try. Most recipes do it on a grill ama oven but since it was a small portion of meat, I went with the Airfryer. * I started...www.google.com
Hiyo wala sio hasira,Mkuu una hasira 😆
Unakumbuka jioni nilikuwa nakwambia kuhusu kuattack ukasema mtu atakavyokuja ndio unarudi naye?
Wee kuna mwanadada umempelekea moto mpaka kaomba po!Hiyo wala sio hasira,
Mwachiluwi ni mmoja wa member ninao wakubali sana,hiyo nimepiga pressure tu yakutetea hoja yangu.
😀
Nani huyo?Wee kuna mwanadada umempelekea moto mpaka kaomba po!
Napenda wali dagaa sana. Bahati mbaya kinaonekana kama chakula duni,wakati mwingine naonekana naagiza kwa sababu nimeishiwa.Kipenzi Changu unaitwa huku. 🤪
🤣🤣Vipi kuhusu Bangi ?
Dagaa la aina ganiNapenda wali dagaa sana. Bahati mbaya kinaonekana kama chakula duni,wakati mwingine naonekana naagiza kwa sababu nimeishiwa.
Siku moja mgahawani nikaagiza wali dagaa, dada akaniambia dagaa anauza na ugali tu. Nikamwambia naomba nisaidie tu wali dagaa, dada akaniambia kwa sauti kama huna hela anipe wali mchuzi. Daah nikaumia sana
Ukibidi nilinde heshima
Nikamwambia lete ugali dagaa na wali, alipoleta nikamwambia huu ugali kamwage halafu naomba bill ya watu wanaokula muda huu.
Hahahaaa. Kweli uliilinda heshima. Hongera.Napenda wali dagaa sana. Bahati mbaya kinaonekana kama chakula duni,wakati mwingine naonekana naagiza kwa sababu nimeishiwa.
Siku moja mgahawani nikaagiza wali dagaa, dada akaniambia dagaa anauza na ugali tu. Nikamwambia naomba nisaidie tu wali dagaa, dada akaniambia kwa sauti kama huna hela anipe wali mchuzi. Daah nikaumia sana
Ukibidi nilinde heshima
Nikamwambia lete ugali dagaa na wali, alipoleta nikamwambia huu ugali kamwage halafu naomba bill ya watu wanaokula muda huu.
Mwisho wa mwezi naja, nikuletee kiasi gani roho yako isuuzikeHahahaaa. Kweli uliilinda heshima. Hongera.
Mie kuna muda natamani kula Ubwabwa na dagaa wale wa Mwanza japo sasa hao dagaa napenda nikipika mwenyewe ndo nawaelewa sio wa kupikiwa wala kununua mgahawani.
KM ulikwepo vile😜Wazee wa kaskazin
Kiasi chochote tu kinachobebeka mie roho yangu itakuwa kwaatu. 🤪 💃💃Mwisho wa mwezi naja, nikuletee kiasi gani roho yako isuuzike
NdioHayo madonge umekunja mwenyewe?😳