Kipi chakula chako pendwa?

Kipi chakula chako pendwa?

Wala shida sio unga kawaida unga hua mweupe lakin kuna namna ya kuandaa na kufanya chapat iwe lainii ichambuke na iwe na rangii ya kuvutiaa

Njee ya mada wewe ni Ke or Me?
Haya muweke bato hapa LIVE kukomenti mtuonyeshe hatua kwa hatua jinsi kupika chapati halafu
Sisi tutakula kwa macho na kupiga kura
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom