Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

lowassa yupo nje kwa miaka mitatu sasa na leo serikali haina hela,tatizo sio el,gamba ni jk,el is water under the bridge,for me avuliwe au asivuliwe haina tofauti.
 
Amini usiamini gamba lowasa na chenge wametemwa katika chama cha Mapinduzi muda huu tnitawajuza zaidi yanayojiri

Wasalaam

Mmemkwa.

Memkwa

Tunaomba info zaidi,maana unatoa info nusu nusu sana. Habari hii imekosa muendelezo unaofaa kiasi kwamba inakosa kuaminika. Haya masuala ya Dodoma yanagusa maisha ya watu.

Mods:

Ikithibitika huyu jamaa alitudanganya kwenye habari inayosubiriwa sana, apewe LIFE BAN maana atakuwa amedhalilisha JAMVI.
 
Nyie watu mnaudhi sana unataka evidence tuambie basi nyumba ya london ya £400,000 hela ameitoa wapi? Vile vile tunaomba atuambie kwanini Nyerere alipatwa na mshtuko alipokuta mmfanyakazi wa serikali who happened to be EL alikuwa akimiliki nyumba ambayo alitaka apangishiwe balozi wa South Africa? Tunaomba maelezo ya ufisadi wa Wizara ya maji ambapo tenda ya kusambaza mabomba ya maji alitaka kampuni yake ipewe tenda.

Bado unataka madudu mengine? Maana yapo ya AICC? Wizara ya Ardhi? Waziri mkuu? na kwengineo
Kwa hiyo wakianza kueleza madudu kama hayo uliyoyaandika hapo juu utakubali kuwa Kikwete unayemtetea kila siku naye ni fisadi???
 
Naomba mods hizi thread zote sasa ni nne azitoe kwanza mpaka tupate uhakika maana watu wanajadili kitu kisichokuwa na uhakika.
 
hizo ni ndoto za mchana,hakuna kitu kama hicho tupo dodoma na jamaa wapo hapa wanasubiri nyama choma'mods naomba huyo jamaa aliyeleta huu uzushi ambaye ni mwita25 na id zake mbili mpigeni life ban
 
Wametemwa nini ujumbe wa NEC or uanachama? hebu leteni kitu kamili kama uanachama in maana majimbo yapo wazi tukaanze kampeni?
 
Aise! moyo wangu umepasuka kusikia hii kitu, vp sasa ni kweli make naona taarabu zinazidi hapa mwenye ukweli atupe tusifurahi bure.
 
hizo ni ndoto za mchana,hakuna kitu kama hicho tupo dodoma na jamaa wapo hapa wanasubiri nyama choma'mods naomba huyo jamaa aliyeleta huu uzushi ambaye ni mwita25 na id zake mbili mpigeni life ban

mh!haya bwana!
 
Kwa hiyo wakianza kueleza madudu kama hayo uliyoyaandika hapo juu utakubali kuwa Kikwete unayemtetea kila siku naye ni fisadi???

Kama unayo madudu ya Kikwete yaeleze mkuu. Mie simtetei mtu Fisadi hata siku moja but napenda vile vile napenda utoe evidence. mie nayafahamu ya Lowassa kwani yako katika kumbukumbu za magazeti tangu enzi za nyerere.
 
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

Big up double memkwa leta nyepesi nyepesi na ngumu ngumu za huko dom lazima leo kieleweke kwani EL na Chenga wamezoea kupola kupitia mgongo wa chichim sawa wabebane wenye na mbeleko za mafedha yao na sio ku corrupt nchi na kuipeleka kwenye civil war unnecessary!
 
ajabu INVISIBLE yupo hapa lakini hasemi neno na wala hafungi hii thread hadi imefika page ya 12,
inawezekana ni habari ya kweli, kama ni habari isiyoaminika ni kwanini mods waiache iendelee kuwatoa watu kwenye mijadala mingine?
 
Tupunguze porojo

mie siamini nakuwa kama tomaso wa bwana yesu

Hacheni mbwembwe zenu, mnatudanganya tu hakuna lolote. Kama hamna kazi kalimeni hacheni upuuzi wa kushitua watu.

Mkimaliza mipasho mlete habari. rudisha heshima ya JF.

Memkwa

Tunaomba info zaidi,maana unatoa info nusu nusu sana. Habari hii imekosa muendelezo unaofaa kiasi kwamba inakosa kuaminika. Haya masuala ya Dodoma yanagusa maisha ya watu.

Mods:

Ikithibitika huyu jamaa alitudanganya kwenye habari inayosubiriwa sana, apewe LIFE BAN maana atakuwa amedhalilisha JAMVI.

hizo ni ndoto za mchana,hakuna kitu kama hicho tupo dodoma na jamaa wapo hapa wanasubiri nyama choma'mods naomba huyo jamaa aliyeleta huu uzushi ambaye ni mwita25 na id zake mbili mpigeni life ban

... STOP.... STOP....!!

Unless someone is hit by Stroke or Heart attack.... you can celebrate ...otherwise ... STOP DREAMING!
 
mmemkwa10:27Today
Amini usiaminigamba lowasa nachengewametemwa katikachama chaMapinduzi muda huutnitawajuza zaidiyanayojiri
Wasalaam
Mmemkwa.
ByMwita25:
Breaking News,Radio MwangazaFM. Watuwameshikwa nataharuki sana hapaDodoma.
 
mod, ondoa hii kitu, JF sio kijiwe. mambo ya shimbo yalikuwa hiv hiv. hii habr haina source
 
Mmemkwa! Ambacho hukielewi ni kwmb hbr za hivi huweza kusababisha hasara icyo na ulazima! Na ndy kilichonipata, nimelazimika kununua vocha nimpigie nilie na mahusiano (kaka yng) ambae ni mmo1 kt ya walio kikaoni Dom, hizo hbr amezikanusha TENA KANAMBIA HT KTK HADIDU REJEA za shgl hawana hbr hizo za kuchojoa gamba lolote.
 
Back
Top Bottom