Wakuu wote nimewaelewa nimeongea na mtaalamu mmoja wa kilimo kaniambia joto sio ishu inawezekana kulima ila nizingatie haya mawili shamba lisiwe kwenye bonde linalohifadhi maji coz yataviozesha na pia ardhi isiwe ya udongo wa mfinyazi coz yatabana vitunguu kule chini na vitakua vidogo,research bado inaendelea thans sana wana jf
 
Si mtaalamu lakini sikushauri ulime vitunguu kipindi hicho. Kitunguu kinanastawi sana pale unapokuweza kucontrol maji i.e kilimo cha umwagiliaji.

Mwezi March mvua za masika zinaanza na zinaendelea mpaka May, kutakuwa na inturruptions nyingi ya kiasi cha maji vitunguu vyako vitapata, na hiyo itaathiri mavuno yako.

Naongelea kitu ambacho kimenitokea na ushauri niliopewa na mtaalam kwenye kilimo cha vitunguu Wami.
 
hello,JF members hivi ninaweza kuanza kulima vitunguu kuanzia mwezi mach?
Inategemea unamaanisha eneo gani la Tanzania! Singida wanalima vitunguu vya msimu wa mvua na wanapiga bao sana tu.

Lakini kama alivyotoa angalizo mheshimiwa Riwa, kulima vitunguu majira ya masika maeneo yenye mvua nyingi huwa ni maumivu tu. Wachache sana wanaofanikiwa.

Itakubidi uhakikishe unatengeneza matuta yaliyonyenyuka juu ili kuhakikisha kwamba maji ya mvua hayatuami juu ya tuta na yatoke nje ya shamba.

Pia itakubidi ukinge kitalu chako dhidi ya mvua nzito ambazo huvunja vunja kabisa miche inayomea hasa majuma mawili ya mwanzo!

Hata ukifunika na nyasi kukinga mvua, ikija mvua nzito, nyasi hudondosha matone mazito ambayo huchimbua miche.
Pengine ufunike na Nailoni juu ya nyasi.

Ninajua ukimudu kuvitunza na kuvuka ukavuna utakutana na bei kali. Kama unaweza subiri pandikiza mwezi wa April uzitumie mvua hizo kupandia kisha malizia kwa kumwagilia.

Swali je utaweza kusalimisha miche kitaluni dhidi ya mvua nzito!? Je utaweza kuhakikisha maji hayatuami shambani?
 
Binafsi nalima kitunguu maeneo ya Kware Ruaha Mbuyuni hapa ni potential kw maana ya irrigation na ardhi ni nzur kw kitunguu.

Hili zao linahitaj ujikamilishe kifedha unapoanza kulima ni muhimu ukaitenga pesa yake pemben kbsa kw heka inayohudumiwa vzur kila kitu inagarim million 3 ukiweka na lak 5 ya miscellaneous inakua vzur incase kuna mlipuko wa magonjwa km n'gonyo ambao wana athar kubwa na hugarim dawa kila baada ya siku kadhaa.

Kware heka moja inakodishwa kw laki na nusu na pamp ya kumwagilia ni elf 50 jumla lak 2 mbegu huuzwa kw lita yale makopo yanayo nywewa mbege vilabuni ambapo kw kila lita ni elf 25 na heka moja inahitaj lita 10 ukiongeza mbili sio mbaya Kulima kw trekta ni sh elf 50 kw heka na ngombe ni 30 ila kw trekta ni nzur zaid cz inachimbua udongo vzur na hupunguza majan meng kuota halaf kuna kupengelenga hii ni kutengeneza majaruba kw ajili ya vitalu vya mbegu na yale ya kupandia shamban kw yale jaruba za mbegu hufanyaga sh 300 kw jaruba kw lita 10 unaweza pata jaruba 35 na zikizid bas kidgo sna halaf kw zile za shamban uwa wana charge kw heka ambapo kw heka wana pelenga laki na 20 hapo inabidi wasawazishe ardhi mana trekta linatifua sna ambapo kw heka wanafanya chini kbsa elf 10 ila wanaanzia elf 20.

Then kuna kupanda mbegu (Kuombeka) hapa ni sh 400 mpka 500 kw jaruba heka moja huwa na jaruba maxmum 400 halaf unapiga dawa ya kuzuia magugu weed stop na ile ya kuua majan yaliyo ota galgan au oxfan hizi ni elf 22 kw lita kw weed stop na unahitaj lita 4 kw heka kuna zile za kuua na kuzuia wadudu km DuDuba 13 kw ml 500 na unahitaj lita 1 kw heka na profercon elf 17 kw lita na unahitaj lita 2 kw heka na ile ya kuzuia ukungu.

Kwenye majan ya kitunguu Amezeb elf 8 kw gram 500 na unahitaj kilo 1 kw heka then kuna mbolea apply after 2 wks urea elf 60 sehem nyngne mpka 66 kw mfuko na heka huitaj mifuko 4 then baadae CAN hii ni kw kukuzia mfuko elf 50-55 weka tena 4 ila dawa zinaweza kua constant kutokana na uwepo wa magonjwa pia gharama constant ni ya kumwagilia ambapo eka moja huitaj diesel lita 10-15 kutegemea na umbali wa shamba toka mtoni pia gharama za kijana atayemwagilia ambapo hudai elf 10-15 kw heka na pia wapiga dawa hudai elf 15 kw heka close supervision ni muhim sna inacse bajet inabana.

Unaweza mwaga urea once then after 3-4 weeks ukapiga booster inaitwa super grow hii ni nzur sna kw kukikuza kitunguu jus elf 22 unapata lita nzima na inatosha kw heka nzima ukishapanda maji ni mara moja kw wiki kumwagilia na wakat wa kuvuna wanacharg 100-200 kw jaruba halaf kuna kukata majan ya kitunguu sh 2000 kw gunia.

Eka moja iliyohufymiwa vzur hutoa gunia 70-80 na kila gunia ni elf 80 uwa inapanda mpka lak na 10 kikiwa adim na pia huweza kusguka mara chache mpka elf 70-75 ila average ni 80 kw shamban Vitunguu vya Ruaha Mbuyuni vinalimwa kiustad tofaut na singida au dodoma ivyo bei yake iko juu na huweza kulipa mara 3 mpka 4 zaid kw faida ila uhudumie vzur shamba.

Karibuni
 
Kubota: Vipi kuhusu mbegu za maeneo ya Ruaha huko Iringa? Nina mpango wa kwenda kulima vitunguu huko
 
Nimejikita apo Mahenge na kilimo cha kitunguu.Tena last week tuu kuna mtu alikuwa anauza shamba maeneo ya ruaha mbyuni.Unaweza nipm tukabadilishana mawazo
Njowepo: Bado unalima vitunguu Mahenge mkuu? Nina mpango wa kujikita kwenye kilimo cha vitunguu, naomba unipe data!!
 
Njowepo: Bado unalima vitunguu Mahenge mkuu? Nina mpango wa kujikita kwenye kilimo cha vitunguu, naomba unipe data!!
Kazi za mabepari izi nimehamia Mtwara kwenye gas na wese.
Ila kama uko na interest naweza kukupa namba ya niliowaacha pale ukapiga mzigo
Uku sasa itakuwa mwendo wa korosho sijui na nini?
 
Kazi za mabepari izi nimehamia Mtwara kwenye gas na wese.
Ila kama uko na interest naweza kukupa namba ya niliowaacha pale ukapiga mzigo
Uku sasa itakuwa mwendo wa korosho sijui na nini?

Sawa mkuu kwa info. Ni PM hizo namba za simu za hao uliowaacha huko niwa-contact:smile-big:
 
Binafsi nalima kitunguu maeneo ya Kware Ruaha Mbuyuni hapa ni potential kw maana ya irrigation na ardhi ni nzur kw kitunguu. Hili zao linahitaj ujikamilishe kifedha unapoanza kulima ni muhimu ukaitenga pesa yake pemben kbsa kw heka inayohudumiwa vzur kila kitu inagarim million 3 ukiweka na lak 5 ya miscellaneous inakua vzur incase kuna mlipuko wa magonjwa km n'gonyo ambao wana athar kubwa na hugarim dawa kila baada ya siku kadhaa. Kware heka moja inakodishwa kw laki na nusu na pamp ya kumwagilia ni elf 50 jumla lak 2 mbegu huuzwa kw lita yale makopo yanayo nywewa mbege vilabuni ambapo kw kila lita ni elf 25 na heka moja inahitaj lita 10 ukiongeza mbili sio mbaya Kulima kw trekta ni sh elf 50 kw heka na ngombe ni 30 ila kw trekta ni nzur zaid cz inachimbua udongo vzur na hupunguza majan meng kuota halaf kuna kupengelenga hii ni kutengeneza majaruba kw ajili ya vitalu vya mbegu na yale ya kupandia shamban kw yale jaruba za mbegu hufanyaga sh 300 kw jaruba kw lita 10 unaweza pata jaruba 35 na zikizid bas kidgo sna halaf kw zile za shamban uwa wana charge kw heka ambapo kw heka wana pelenga laki na 20 hapo inabidi wasawazishe ardhi mana trekta linatifua sna ambapo kw heka wanafanya chini kbsa elf 10 ila wanaanzia elf 20.. Then kuna kupanda mbegu (Kuombeka) hapa ni sh 400 mpka 500 kw jaruba heka moja huwa na jaruba maxmum 400 halaf unapiga dawa ya kuzuia magugu weed stop na ile ya kuua majan yaliyo ota galgan au oxfan hizi ni elf 22 kw lita kw weed stop na unahitaj lita 4 kw heka kuna zile za kuua na kuzuia wadudu km DuDuba 13 kw ml 500 na unahitaj lita 1 kw heka na profercon elf 17 kw lita na unahitaj lita 2 kw heka na ile ya kuzuia ukungu kwenye majan ya kitunguu Amezeb elf 8 kw gram 500 na unahitaj kilo 1 kw heka then kuna mbolea apply after 2 wks urea elf 60 sehem nyngne mpka 66 kw mfuko na heka huitaj mifuko 4 then baadae CAN hii ni kw kukuzia mfuko elf 50-55 weka tena 4 ila dawa zinaweza kua constant kutokana na uwepo wa magonjwa pia gharama constant ni ya kumwagilia ambapo eka moja huitaj diesel lita 10-15 kutegemea na umbali wa shamba toka mtoni pia gharama za kijana atayemwagilia ambapo hudai elf 10-15 kw heka na pia wapiga dawa hudai elf 15 kw heka close supervision ni muhim sna inacse bajet inabana unaweza mwaga urea once then after 3-4 weeks ukapiga booster inaitwa super grow hii ni nzur sna kw kukikuza kitunguu jus elf 22 unapata lita nzima na inatosha kw heka nzima ukishapanda maji ni mara moja kw wiki kumwagilia na wakat wa kuvuna wanacharg 100-200 kw jaruba halaf kuna kukata majan ya kitunguu sh 2000 kw gunia. Eka moja iliyohufymiwa vzur hutoa gunia 70-80 na kila gunia ni elf 80 uwa inapanda mpka lak na 10 kikiwa adim na pia huweza kusguka mara chache mpka elf 70-75 ila average ni 80 kw shamban Vitunguu vya Ruaha Mbuyuni vinalimwa kiustad tofaut na singida au dodoma ivyo bei yake iko juu na huweza kulipa mara 3 mpka 4 zaid kw faida ila uhudumie vzur shamba.. Karibuni

Mossad007 information yako nimeifurahia sana na iko detailed. Nataka nije huko in a month's time naomba unipe contact zako kwa PM ili tuwasiliane zaidi.
 
Kubota: Vipi kuhusu mbegu za maeneo ya Ruaha huko Iringa? Nina mpango wa kwenda kulima vitunguu huko

Madiba kwa vile unaenda kulima huko huko Ruaha, ukifika huko ulizia wakulima wa mbegu mashuhuri. Nakuhakikishia utapata mbegu nzuri maana huko unakwenda jikoni kwenyewe.

Fanya utafiti ili ujihakikishie kuwa atakayekuuzia ni mkulima wa mbegu mwenye jina na usijali hata kama anauza mbegu zake kwa bei kubwa kulinganisha na wengine, hiyo itakuwa ni shauri ya ubora, maana ubora unagharama zake. Nihivyo tu mkuu.
 
Binafsi nalima kitunguu maeneo ya Kware Ruaha Mbuyuni hapa ni potential kw maana ya irrigation na ardhi ni nzur kw kitunguu. Hili zao linahitaj ujikamilishe kifedha unapoanza kulima ni muhimu ukaitenga pesa yake pemben kbsa kw heka inayohudumiwa vzur kila kitu inagarim million 3 ukiweka na lak 5 ya miscellaneous inakua vzur incase kuna mlipuko wa magonjwa km n'gonyo ambao wana athar kubwa na hugarim dawa kila baada ya siku kadhaa. Kware heka moja inakodishwa kw laki na nusu na pamp ya kumwagilia ni elf 50 jumla lak 2 mbegu huuzwa kw lita yale makopo yanayo nywewa mbege vilabuni ambapo kw kila lita ni elf 25 na heka moja inahitaj lita 10 ukiongeza mbili sio mbaya Kulima kw trekta ni sh elf 50 kw heka na ngombe ni 30 ila kw trekta ni nzur zaid cz inachimbua udongo vzur na hupunguza majan meng kuota halaf kuna kupengelenga hii ni kutengeneza majaruba kw ajili ya vitalu vya mbegu na yale ya kupandia shamban kw yale jaruba za mbegu hufanyaga sh 300 kw jaruba kw lita 10 unaweza pata jaruba 35 na zikizid bas kidgo sna halaf kw zile za shamban uwa wana charge kw heka ambapo kw heka wana pelenga laki na 20 hapo inabidi wasawazishe ardhi mana trekta linatifua sna ambapo kw heka wanafanya chini kbsa elf 10 ila wanaanzia elf 20.. Then kuna kupanda mbegu (Kuombeka) hapa ni sh 400 mpka 500 kw jaruba heka moja huwa na jaruba maxmum 400 halaf unapiga dawa ya kuzuia magugu weed stop na ile ya kuua majan yaliyo ota galgan au oxfan hizi ni elf 22 kw lita kw weed stop na unahitaj lita 4 kw heka kuna zile za kuua na kuzuia wadudu km DuDuba 13 kw ml 500 na unahitaj lita 1 kw heka na profercon elf 17 kw lita na unahitaj lita 2 kw heka na ile ya kuzuia ukungu kwenye majan ya kitunguu Amezeb elf 8 kw gram 500 na unahitaj kilo 1 kw heka then kuna mbolea apply after 2 wks urea elf 60 sehem nyngne mpka 66 kw mfuko na heka huitaj mifuko 4 then baadae CAN hii ni kw kukuzia mfuko elf 50-55 weka tena 4 ila dawa zinaweza kua constant kutokana na uwepo wa magonjwa pia gharama constant ni ya kumwagilia ambapo eka moja huitaj diesel lita 10-15 kutegemea na umbali wa shamba toka mtoni pia gharama za kijana atayemwagilia ambapo hudai elf 10-15 kw heka na pia wapiga dawa hudai elf 15 kw heka close supervision ni muhim sna inacse bajet inabana unaweza mwaga urea once then after 3-4 weeks ukapiga booster inaitwa super grow hii ni nzur sna kw kukikuza kitunguu jus elf 22 unapata lita nzima na inatosha kw heka nzima ukishapanda maji ni mara moja kw wiki kumwagilia na wakat wa kuvuna wanacharg 100-200 kw jaruba halaf kuna kukata majan ya kitunguu sh 2000 kw gunia. Eka moja iliyohufymiwa vzur hutoa gunia 70-80 na kila gunia ni elf 80 uwa inapanda mpka lak na 10 kikiwa adim na pia huweza kusguka mara chache mpka elf 70-75 ila average ni 80 kw shamban Vitunguu vya Ruaha Mbuyuni vinalimwa kiustad tofaut na singida au dodoma ivyo bei yake iko juu na huweza kulipa mara 3 mpka 4 zaid kw faida ila uhudumie vzur shamba.. Karibuni

Mkuu mossad007 heshima sana kwako kufuatia uchambuzi wako uliotukuka wa mchakato mzima wa kulima vitunguu.

Hivi kumbe wenzetu tayari mnafaidi matumizi ya herbicides kwenye vitunguu, sikujua kama haya madawa ya kuua magugu ya kwenye vitunguu yanapatikana tanzania, upatikanaji wake ni rahisi? Je wenzetu huko nyinyi hamtifuliagi vitunguu?

Maana hili la kutifulia vitunguu linatutia gharama sana sisi wakulima huko tunakolimia. Naomba uzoefu wako kwa hapo mkubwa.
 
Madiba kwa vile unaenda kulima huko huko Ruaha, ukifika huko ulizia wakulima wa mbegu mashuhuri. Nakuhakikishia utapata mbegu nzuri maana huko unakwenda jikoni kwenyewe. Fanya utafiti ili ujihakikishie kuwa atakayekuuzia ni mkulima wa mbegu mwenye jina na usijali hata kama anauza mbegu zake kwa bei kubwa kulinganisha na wengine, hiyo itakuwa ni shauri ya ubora, maana ubora unagharama zake. Nihivyo tu mkuu.

Nimekupata Kubota, ntafanya utafiti huo!!
 
Mkuu mossad007 heshima sana kwako kufuatia uchambuzi wako uliotukuka wa mchakato mzima wa kulima vitunguu. Hivi kumbe wenzetu tayari mnafaidi matumizi ya herbicides kwenye vitunguu, sikujua kama haya madawa ya kuua magugu ya kwenye vitunguu yanapatikana tanzania, upatikanaji wake ni rahisi? Je wenzetu huko nyinyi hamtifuliagi vitunguu? Maana hili la kutifulia vitunguu linatutia gharama sana sisi wakulima huko tunakolimia. Naomba uzoefu wako kwa hapo mkubwa.
Nashkuru Mkuu kubota heshma yako sana. Aisee uliposema mnatifulia kitunguu nimeogopa sna manake iyo gharama yake naona km unaweza kulima heka nyngne tano za mahindi.

Dawa hizi ni msaada mkubwa sna mfano weed stop unapiga mara tu baada ya kupanda hii huzuia nyas yoyote ambayo haijaota isiote tena hii ni maalum tu kw sehem ambayo haijaota nyas ukipiga cc km 60 mpka 80 ivi umemaliza kaz jan halioti mpka unavuna kitunguu lakin kuna majan yanaweza yakawa yalishaanza kuota kipind unapiga weed stop so hapa ndo unapiga Galgan au Oxfan haya magugu yape wiki moja tu yote yamekauka mfano wa kuungua so kw heka moja utatumia elf 60 kudhibiti magugu kw msim mzima mpka unavuna.

kwan ww unalima wap mkuu?
 
Nashkuru Mkuu kubota heshma yako sana. Aisee uliposema mnatifulia kitunguu nimeogopa sna manake iyo gharama yake naona km unaweza kulima heka nyngne tano za mahindi.

Dawa hizi ni msaada mkubwa sna mfano weed stop unapiga mara tu baada ya kupanda hii huzuia nyas yoyote ambayo haijaota isiote tena hii ni maalum tu kw sehem ambayo haijaota nyas ukipiga cc km 60 mpka 80 ivi umemaliza kaz jan halioti mpka unavuna kitunguu lakin kuna majan yanaweza yakawa yalishaanza kuota kipind unapiga weed stop so hapa ndo unapiga Galgan au Oxfan haya magugu yape wiki moja tu yote yamekauka mfano wa kuungua so kw heka moja utatumia elf 60 kudhibiti magugu kw msim mzima mpka unavuna.. kwan ww unalima wap mkuu?

Mkuu mossad007 asante sana ndugu yangu, kwa kweli umenipasha kitu muhimu sana, hakuna kitu huwa inanitafuna pesa kama palizi na kutifulia, sisi huku wanaita kupiga godi. Ninatajiandaa panapomajaliwa siku moja nije kwenye ziara ya mafunzo huko nijionee mwenyewe.

Ninalimia vitunguu maeneo ya Kilosa. Naomba niulize nyie wenzetu huko nanyi mnapandikiza vitunguu ndani ya maji kama wanavyofanya huku. Wakulima huku wengi wamezoea kupandikiza vitunguu kama mpunga na maji wakiwemo kwenye majaruba kisha huyakausha maji baada tu ya kupandikiza, utaratibu huu binafsi naona unamadhara sana kwa udongo na afya ya mimea.

Kwa mfano mtu anaemwagilia kwa kutumia pump, siku yakupandikiza anawasha pump na kuingiza maji wakati wote hadi mwisho wa kupandikiza. Watu wanaingia gharama kubwa sana. Huko mnapandikizaje wenzetu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom