jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 616
- 1,124
Wakuu habari za muda huu.
Mimi ni mkazi wa Kahama, Shinyanga, napenda sana nifanye kilimo cha vitunguu maji hasa ktk mikoa ya Singida na Manyara
Tafadhari sana kwa mkazi wa Singida na Manyara naomba unipe support ya elimu kuhusu kilimo hiki na maeneo yanayofanya kilimo hiki maana kuna siku nliwahi pita njia ya kwenda Hydomu kutoka Katesh niliona wakulima wakifanya kilimo hicho.
Pia Singida huwa naona vitunguu vingi vikipangwa barabarani haswa nkiwa nasafiri
Naombeni elimu nijue maana nahitaji nifanye hicho kilimo.
Karibuni sana wapendwa.