Milioni moja?
Inategemea unalimia wapi?
Inategemea umwagiliaji kwa pampu au mifereji au mvua
Uzoefu wangu huku Kilosa huu:
Mbegu lita 7 kwa ekari @ 25,000/= jumla 175,000/=
Kuandaa kitalu 20,000/=
Kusia mbegu 10,000/=
kutunza kitalu 30,000/=
kukodi shamba 100,000/=
kufyeka shamba 48,000/=
kukatua udongo 64,000/=
kulainisha udongo 48,000/=
kutengeneza majaruba 25,000/=
kupandikiza 160,000/=
dawa ya kuua magugu 40,000/=
palizi mara mbili 100,000/=
Mbolea mifuko mitatu 210,000/=
Mtu wa kuweka mbolea mara mbili 10,000/=
madawa kuua wadudu na magonjwa 50,000/=
mpiga dawa wiki kumi 50,000/=
kung'oa 50,000/=
kukata vitunguu gunia mia 200,000/=
usafiri 100,000/=
chanja kukodi 100,0000
umwagiliaji petrol 2500 x lita 5 x wiki 10 = 125,000/=
mtu wa kumwagilia 5000 x wiki 10 = 50,000
JUMLA KUU = 1,855,000/=

Kwa wastani ni mil 2

This is very detailed.

Thank you kubota.
 
Gharama nilizoingia wakati nalima

ActivityElaborationsCalculationsAcre 1Acre 2Acre 3
Kukodi 250000*1250000500000750000
Kutifua 100000*1100000200000300000
Arrow 70000*170000140000210000
Kutengeneza majaruba 600*10060000120000180000
Kupanda 500*10050000100000150000
Mbolea 70000*2140000280000420000
Mbegu 30000*7210000420000630000
DawaMajani (Megasate)20000*360000120000180000
Wadudu (Profecron)20000*360000120000180000
Kumwagilia 200000*1200000400000600000
Palizi (Kupiga Godi) 700*10070000140000210000
Palizi ya Pili 700*10070000140000210000
Mlinzi 700000*1700000700000700000
Kung'olea 600*10060000120000180000
Kukata Majani 700*10070000140000210000
My travel costs 100000*5500000500000500000
Emergency 500000700000900000
Total 317000048400006510000
 
Naomba kujulishwa Mrejesho Nyuma, feed bac Kwa mtu aiyewahi kulima vitunguu mkuranga maeneo Ya Mkuranga Cc Malila
 
Last edited by a moderator:
Naomba kujulishwa Mrejesho Nyuma, feed bac Kwa mtu aiyewahi kulima vitunguu mkuranga maeneo Ya Mkuranga Cc Malila

Kweli niliwahi kuviona vitunguu pale Shungubweni, Hocet sec school, red indian, ila sikuchukua taarifa muhimu za mavuno yao. Nitafuatilia mkuu.
 
Naomba kufahamu namna ya kuandaa shamba la KITUNGUU ,pamoja na mbolea,madawa na wakati gani wa kuvitumia na au a gani ya mbegu!!(kilimo cha umwagiliaji)
Nategemea kupata ushauri toka kwenu!!

Asante
 
Naomba kufahamu namna ya kuandaa shamba la KITUNGUU ,pamoja na mbolea,madawa na wakati gani wa kuvitumia na au a gani ya mbegu!!(kilimo cha umwagiliaji)
Nategemea kupata ushauri toka kwenu!!

Asante
Preta, tafadhali njoo huku utoe ushauri!
 
Last edited by a moderator:
Bei za kukodi zikoje huko?

cheusimangala

Seconded.

Kijiji kinaitwa msosa to be precise. ni tarafa ya mahenge i think Wilaya ya Kilolo. Au ukiwa unatokea Dar kwenda Iringa opposite aljazeera hotel on your left. Kuna mifereji kabisa ya umwagiliaji. Nilikuwa huko last month, it's terrific, we nenda utapata mashamba ya kukodi and it pays.

Good luck.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom