umekutana na mimi mtaalamu tatizo lako kwisha niambie upo mkoa gan nikushushie technical know howNaomba mtu anayejua eneo zuri kwa kilimo cha vitunguu swaumu anifahamishe
Wandugu nimeamua kuingia kwenye kilimo,ninawaza kuanza na kitunguu saumu,..naomba mnijuze wapi panafaa kulima?gharama ya kutunza hekari 1,muda mpaka kukomaa, . Pili nafikia pia maharage ya kijivu(ya mbeya) detail zake pia,, asanteni.
Juzi kati nimesikia tunaviagiza toka nchi za mbali. Kwani bado tunalima huku kwetu?
Mbona huku Mang'ola bado hawatulipi bei hiyo?
Mbona huku Mang'ola bado hawatulipi bei hiyo?