Kilimo cha Canola (Rapeseed) kinaweza kutupunguzia uhaba wa mafuta ya kula

Nimeamini kukosa information kunatunyima mengi sana aisee na mimi nimehamasika ila tatizo ni kuitoa hiyo brown ili mafuta yawe meupe
Information zipo. Muda mwingi una-google kupata umbea wa utelezi na uzushi. Wewe ni sample ya mass kubwa katika aina ya informations wanazoperuzi
 
View attachment 2184447
Nimeangalia na kusona sehemu ya maandiko kuhusu mmea aina ya Canola au Rapeseed, ambao unaweza kuzalisha mafuta ya Kula zaidi ya Alizeti.

Wenzetu Kenya wenye mashamba makubwa wameanza kulima, licha ya kuwapatia faida lakini kimekuwa ni kama kilimo cha muda kusaidia kurutubisha ardhi au kubadilisha mazao wakati wa kulima Ngano.

View attachment 2184452

Imeelezwa kuna aina mbili kuu za mafuta yanayopatikana kutoka na mmea huu wa Rapeseed. Ipo inayotoa mafuta kwa ajili ya kupikia na mafuta ya tasnia ya kemikali za magari.



Kwa upande wa Kenya inaelezwa kuwa bei ya jumla ya mbegu za Rapeseed (canola) kwa mwaka huu 2022, inakadiriwa kuwa Kati ya US$ 5.2 na US$ 9 kwa kilogram au Kati ya US$ 2.36 na US$ 4.08 kwa pound(lb). Bei hii kwa Kenya ni sawa na Shilingi ya Kenya (KES) 566.45 kwa kilogram kwa Mombasa and Nairobi.

View attachment 2184442

Marketing

Rapeseed is primarily produced for birdseed and oil for industrial purposes such as lubricants, hydraulic fluids and plastics. Oil from rapeseed is often referred to as high-erucic-acid rapeseed (HEAR) oil and is especially useful where high heat stability is required. One of the primary markets for HEAR oils is erucamide. Erucamide has been used for decades by plastic film manufacturers for use in bread wrappers and garbage bags and is preferred over cheaper alternatives for its production properties. Oil from HEAR can also be used in biodiesel production. The market for industrial rapeseed is fairly mature. However, with increased emphasis on renewable resources and biodegradability, there is a possibility of an increased interest in raw materials such as high erucic oil rapeseed. Given the limited market at the moment, howevrer, it is recommended that rapeseed for the industrial oil market be grown under contract.

On-farm biodiesel production is possible from rapeseed or canola. Economists at the University of Tennessee found that production from canola was financially feasible, whereas production from rapeseed was not due to a lack of market for the byproduct seed meal. Oregon State University researchers found financial losses to produce biodiesel from canola/ rapeseed.

Meal from HEAR varieties usually has high levels of glucosinolates, making it unsuitable as an animal feed.
 
Kama hauko ukanda unao limwa Ngano usihangaike na mbegu, utaishia kupata maua bila mbegu, Canola zinafanya vizuri ukanda za mwinuko, Mikoa kama Arusha, Baadhi ya sehemu za mkoa wa Manyara hada Hanangi, Kilimanjaro West Kilimanjaro ambako kule zinalimwa muda kitambo, Iringa, Njombe na Mbeya.

Sasa uko Tanga , Dar, Dodoma, Mwanza, Shinyanga, Singida unakomaaa na Canola utalia.
 
Mafuta haya yamepigwa ban nchi nyingi .

Hayafai KWA afya , Yana kiwango Kubwa cha Erucic acid pia yanadumaza ukuaji europe walipiga ban mafuta haya 1956
 
Kama hauko ukanda unao limwa Ngano usihangaike na mbegu, utaishia kupata maua bila mbegu, Canola zinafanya vizuri ukanda za mwinuko, Mikoa kama Arusha, Baadhi ya sehemu za mkoa wa Manyara hada Hanangi, Kilimanjaro West Kilimanjaro ambako kule zinalimwa muda kitambo, Iringa, Njombe na Mbeya.

Sasa uko Tanga , Dar, Dodoma, Mwanza, Shinyanga, Singida unakomaaa na Canola utalia.
Arusha kwenyewe ni baadhi ya Maeneo sio Arusha nzima, Kilimanajro ni kule West Kilimanjaro ndo unaweza lima. Haipendi joto hata kidogo ndo maana inalimwa maeneo ya miinuko kutoka usawa wa bahari, Maeneo kama Mbeya sehemu kubwa unaweza lima, au kule Iringa.
 
Back
Top Bottom