Blue Band wanazalisha mafuta ya kula ya Canola

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,917
Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na Canola.

Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa wakulima wao na nyingine huagiza nje ya nchi.

blueband_pure_canola_1l-removebg-preview-800x800.jpg
 
Hivi mbegu za Canola siwezi pata kwenye masoko yetu hapa Tz mpaka kuagiza kenya? Nataka niijaribu kulima zao hili japo si kibiashara kwanza
 
Hivi mbegu za Canola siwezi pata kwenye masoko yetu hapa Tz mpaka kuagiza kenya? Nataka niijaribu kulima zao hili japo si kibiashara kwanza
google canola in kenya. ila hakuna majibu ya moja kwa moja. contact one acre fund
 
Hakuna kampuni ya blue band, Kuna kampuni ya Unilever UK HQ, Kenya EA Hq wanaotengeneza na kusambaza margarine brand ya Blue band, Becel, Bona , zeuweee sema kwa soko ya EA maarufu ni blueband, sasa wana products mpya inaitwa Blueband Canola na Blueband avocado

Kampuni ya Blueband ya Kenya ambauo ina product yao maarufu ya Margarine ya kupaka kwa mikate kwa sasa wana zalisha pia mafuta ya kula yatokanayo na CanoCala.

Wamekuwa wanapata Canola kutoka kwa wakulima wao na nyingine huagiza nje ya nchi.

View attachment 2388954
 
Hakuna kampuni ya blue band, Kuna kampuni ya Unilever UK HQ, Kenya EA Hq wanaotengeneza na kusambaza margarine brand ya Blue band, Becel, Bona , zeuweee sema kwa soko ya EA maarufu ni blueband, sasa wana products mpya inaitwa Blueband Canola na Blueband avocado
Umeeleza vizuri mkuu, bila shaka una ukaribu flani na Unilever.
 
Ni kweli kabisa nilikuwa boss hapo kwa miaka kadhaaa kanda ya kusini na baadae ilinipeleka mamtoni nikaachia ngazi , nilikuwa knye sunlight na Omo.

Umeeleza vizuri mkuu, bila shaka una ukaribu flani na Unilever.
 
Back
Top Bottom