Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Yaani nilikua najaribu one two,one two waapiiiii......hivi mmeona nguo aliyovaa mtoto wa Khadija Kopa?mmhhh wapi bht utoe neno....mi chichemi
 
Kwa hawa waliochaguliwa kutoa hizi tuzo leo wengi wao SIJAWAELEWA kabisaaaaaaaaa
 
Yaani nilikua najaribu one two,one two waapiiiii......hivi mmeona nguo aliyovaa mtoto wa Khadija Kopa?mmhhh wapi bht utoe neno....mi chichemi
Wajemeni unaona sasa hata sijajua mwanae ndo yupi...
Kavaaje Yummy ?
 
Hv ITV c inaonekana ht kwa antena ya kawaida au!!???
 
Naona Diamond tena kapata video bora. Tuzo ya 3 kwa leo!
 
Dayamonda jameni, Tuzo ya3 iyo,awachelewi kumwita frimaso..
 
Mungu Mkubwa sana kweli Diamond.....maskiniiii amenitia uchungu maneno yake
 
Diamond amshukuru sana Wema. Ha haa au mara Wema kaenda kumtunza tena Diamond.
Magazeti ya udaku hayakosi habari sijui kesho itakuwaje..!!
 
Wajemeni unaona sasa hata sijajua mwanae ndo yupi...
Kavaaje Yummy ?

Watoto wa kike wawili mmoja amevaa nguo ya Queen D ndefuuuu hahahahaaaaaa halafu ana nyama za kutoshaaa mmmhhhh
 
Ngoja nianze kumpenda almasi,teh oh bby D,me penda ur lips babes, u luk gouud darln.. Suti yako ya ukweeh hny
 
Back
Top Bottom