calendar master
Member
- Aug 20, 2026
- 19
- 31
Calendarology ni elimu itufamishayo kwa usahihi personality zetu, vipawa vyetu na our life destination.
Kupitia calendar codes (tarehe, siku, mwezi na mwaka) ni rahisi kujua personality yako, vipawa vyako na life destination yako.
AINA ZA CALENDAR
Kuna aina 3 za calendar, ambazo ni:
1.right calendar
2.left calendar
3.mini calendar
1.Right calendar
Ni calendar type inayoundwa na watu wenye haiba ya upole, ukimya, vipawa maalum na magenius.
By nature, hawa ni watu wazuri zaidi kwa kazi za kutumia maarifa
Mifano ya watu wa calendar hii
Leo messi, zidane, , billgate, ronaldinyo, Michael Jackson, Marc zuckerberg, na nk
Right calender hudum katika mahusiano na right calender mwenzie au mini calendar
Mifano:
1.Leo mess na Antonella wote ni right calender
2.Beyonce (mini) na jay z(right)
2.Left calendar
Ni calendar type inayoundwa na watu wenye haiba ya ucheshi, social na wapambanaji.
By nature ni wazuri zaidi kwa kazi za matumizi ya nguvu+ akili.
Mifano ya watu wa calendar hii
Cr7, Michael Jordan, narendra modi, Angela marckel na nk..
Left calender hudum katika mahusiano na left mwenzie/mini
Mifano:
1.Ronaldo na Georgina(wote left)
2.Kim jong un(mini) na ri- sol-jo(left)
3. Mini calendar
Ni calendar type inayoundwa na watu waliocombine sifa nusu za right na left calender.
Watu wall calendar hii safa yao kuu ni hekima na busara, pia ni magod father by nature.
By nature wanafaa zaidi kwa kazi ya uongozi.
Mifano ya watu wa calendar hii
Pep Quardiola, Putin, xijinping, Beyonce, Barack Obama, na nk
Watu wa calendar hii hua na mahusiano mazuri na watu wa calendar type zote.
Jinsi ya kusoma calender yako
1.Calendar code 3-4 shufa za calender yako ya kuzaliwa huwakilisha right calender, mfano: jay z calendar birth yake ni tarehe4.mwezi12.mwaka1969, Siku jumatano(4)
Kwa mujibu wa calendar, calendar codes 3-4 shufa huwakilisha right calender person.
2.Calendar codes3-4 witiri huwakilisha left calender
3Calender codes 2 shufa na 2 witiri huwakilisha mini calendar
Faida za kujua calender yako
1.kujua marafiki/wapenzi sahih
2.kujua life destination yako
3.kujua personality yako
4.kujua kazi sahih na wafanya kazi sahih
5. Kujua DNA zetu na nk..
6. Kujua Siku zako bora
7.kutatua changamoto zinazokukabili
Karibu kwa maswali na ufafanuzi.