Kilimanjaro Music Awards 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilimanjaro Music Awards 2012

Discussion in 'Entertainment' started by tindikalikali, Apr 14, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2012 NOMINEES;

  WIMBO BORA WA MWAKA
  1. Hakunaga / Suma Lee
  2. Dushelele / Ally Kibba
  3.Moyo Wangu / Diamond
  4.Mathematics / Roma
  5. Nilipe nisepe / Belle 9
  6. Riz one / Izzo B

  MTUMBU1ZAJI BORA WA KIUME
  1. Diamond
  2. Allykiba
  3. Dully sykes
  4. Bob Jr
  5. Mzee Yusuph

  MTUMBUIZAJI BORA WA KIKE
  1.Khadija Kopa
  2. Isha Mashauzi
  3. Queen Darleen
  4. Dayna
  5. Shaa

  MUIMBAJI BORA WA KIUME
  1. Alikiba
  2. Barnaba
  3. Diamond
  4. Belle 9
  5. Mzee Yusuph

  MUIMBAJI BORA WA KIKE
  1. Lina
  2. Lady Jay Dee
  3. Khadija Kopa
  4. Dayna
  5. Isha Mashauzi

  WIMBO BORA WA R&B
  1. Nilipe Nisepe / Belle 9
  2. Usiniache / Hemed
  3. Maumivu / Ben Pol
  4. Number one fun / Ben Pol
  5. Napata raha / Jux

  WIMBO BORA WA HIP HOP
  1. Famous
  2. King Zilla
  3. Mathematics
  4. Riz one
  5. Kilimanjaro

  MSANII BORA WA HIPHOP
  1. Godzilla
  2. Roma
  3. Izzo b
  4. Joh Makini
  5. Fid Q

  WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
  1. Kigeugeu
  2. Chokoza
  3. Mulika mwizi
  4. Coming home
  5. 4sho 4 shizzle

  MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA
  1. Maco Chali
  2. Pancho Latino
  3. Bob jr
  4. Maneck
  5. Man walter

  VIDEO BORA YA MUZIKI YA MWAKA
  1. Moyo wangu
  2. Hakunaga
  3. Wangu / Jay dee na Blue
  4. Ndoa ndoana / Kassim feat blue
  5. Bongo fleva / Dully sykes

  WIMBO BORA WA AFRO POP
  1. Hakunaga / suma lee
  2. Bongo fleva / Dully sykes
  3. Moyo wangu / Diamond
  4. Mawazo / Diamond
  5. Nai nai / Ommy dimpoz

  MSANII BORA ANAECHIPUKIA
  1. Ommy dimpoz
  2. Darasa
  3. Recho
  4. Abdul kiba
  5. Beatrice aka nabisha

  WIMBO BORA WA ZOUK RHUMBA
  1. Daima milele / Barnaba
  2. Dushelele / Alikiba
  3. Nivute kwako / Dayna
  4. Wangu / Jay Dee feat Blue
  5. Kizungu zungu / Recho

  MTUNZI BORA WA MWAKA
  1. Diamond
  2. Alikiba
  3. Mzee yusuph
  4. Barnaba
  5. Belle 9

  WIMBO BORA WA KUHSIRIKIANA
  1. Famous / Jay Mo feat P Funk
  2. King zilla / God zilla feat Marco chali
  3. Wangu / Jay Dee feat Blue
  4. Kama ni gangstar / Chege feat Temba na Ferouz
  5. Nai nai / Ommy dimpoz feat Alikiba

  WIMBO BORA WA REGGAE
  1.Mazingira / Malfred feat Lutan Fyah
  2. Arusha gold / Warriors from East
  3. Give it up to me / Delyla princess
  4. Nia yao / 20%
  5. Ni wewe/ Nakaaya

  WIMBO BORA WA RAGGA / DANCEHALL
  1. Good look / AY feat Miss Trinity
  2. Maneno maneno / Queen Darleen
  3. Ganja man / Dabo
  4. Kudadeki / Malfred
  5. Poyoyo / Malfred

  WIMBO BORA WA TAARAB
  1. Full stop / Khadija Kopa
  2. Mamaa mashauzi / Isha Mashauzi
  3. Hakun mkamilifu / Jahazi
  4. Nani kama Mama / Isha Mashauzi
  5. Nilijua mtasema / Jahazi

  WIMBO BORA WA KISWAHILI (BENDI)
  1. Dunia Daraja / African stars
  2. Hukum ya Mnafik / Mashujaa band
  3. Falsafa ya Mapenzi / Extra bongo
  4.Usia wa babu / Mapacha Watatu
  5. Mtenda /Extra Bongo

  RAPA BORA WA MWAKA (BAND)
  1. Kalidjo Kitokololo
  2.Khalid Chokoraa
  3. Fagason
  4. Msafiri Diof
  5. Totoo ze Bingwa

  Najua tutakuwa pamoja mpaka mwisho wa hizi tuzo....tukumbushane hasa muziki ulikotoka...je umezidi kuimarika au ndiyo unaporomoka? Utabiri wako unakaribishwa pia...
   
 2. b

  brian360 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  At wat tym inaanza and wch channel inaonyesha
   
 3. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Channel gan wanaonesha?
   
 4. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  startv wapenzi wamie itakua mida ya saa tatu coz nw ni habarii
   
 5. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Sasa matangazo warushe itv mwezi mzima afu waje wawape mchongo star tv?
  Anyways, Ngoja tusubirie..
   
 6. b

  brian360 JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 222
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  clouds vp?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Mbona nasikia ITV wanaonyesha? Me kama dully sykes tu sizikubali hizo KMA.
   
 8. M

  Mukhsin Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ITV watakua hewani muda si mrefu.....twahitaji LIVE YA UKWELI sio maluelue....plsssss
   
 9. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,290
  Likes Received: 3,440
  Trophy Points: 280
  wakuu tujuzane hapa kinachoendelea kwenye kili awards
   
 10. The Dude

  The Dude JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 981
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Tunaskizia bado
   
 11. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  itv pia bt hata startv jaman mweh
   
 12. Arusha Mambo

  Arusha Mambo Senior Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 174
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Visit www.arushamambo.com usikilize LIVE:

  Tuzo za Kili Awards from Dar - Es Salaam Tanzania,
  Click ''Sikiliza Arusha Mambo FM...'' Redio ikifunguka Kindly press LIKE on tunein Page
  Arusha Mambo.
   
 13. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  goja nimalizie ka tot kangu ka jack daniels hapa nijiunge nao namuona mpoki wa ze comed anauza sura
   
 14. p

  pazzy Senior Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 194
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ITV pia wanaonyesha live.
   
 15. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Yaani! Eti Pantsula inatokea Mocambique ni kiasi cha ku google tu.
   
 16. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Faida na wa nje(outside tz),big up Arusha Mambo kwa link,mie nakamua live bila chenga hapa thru ITV.
   
 17. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,290
  Likes Received: 3,440
  Trophy Points: 280
  hehe mpoki....
   
 18. B

  Benno JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ITV wapo live now
   
 19. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Millard Ayo ndio MC.
   
 20. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ehhhhhhh Remtula na mwanamboka wamtangaza raggae mshindi ni Arusha Gold
   
Loading...