Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Amyner, wema kaachwa,na yule wa kwenye tsht kamuacha,so he is very single..cmon di'beb

Try ur luck mwaya, ila angalia asije kukuumbua on stage. Lol. Hatabiriki yule jamaa!
 
Mnyama Hatari kama wewe umepitwaje kuwaona watoto wa Khadija wajamenii......naomba watoe picha kwenye magazeti kesho ndio ujioneee....naona lazma ukapose mmoja.

Wala sikuona ubaya wowote. Ila kama ni kutoa dosari tu for the sake of kutoa dosari basi hakuna ambaye yuko salama hapo.
 
wana minyama ao na vile vidress! Duuh kama una miuchu lazima roho idundie chini ya kiuno kwa mbele
 
Yummy Yummy...hahahhhaaa
Utaacha akaanze ku google mwenzio...
 
Wala sikuona ubaya wowote. Ila kama ni kutoa dosari tu for the sake of kutoa dosari basi hakuna ambaye yuko salama hapo.
Ila Yummy kawasifia nadhani...si ndo maana anasema ukiwaona lazima ukapose mmoja kesho...
 
Mwenzangu bora hajatoka kapa! Maana imagine umejipigilia pamba unaishia kupiga makofi tu afu umetokea kwenye categories kibao!
Afu kili ya mwaka huu naona full kupigia promo ndugu kwenye steji. Kama mtu hajaleta dadake basi mwanae..

Hahahaaaaa uwiiiii Amyner, mwenzangu si umemsikia Khadija ametia wengine wanapanda na marafiki zao na nyie wanangu njooni.....vikatoka vifaa vya nguvuuuuuuuuuu,ulividekshia?
 
lol huna hata tai ya kipepeo,au sut ya mkia wa kondoo aagh tafuta ucngz uko!
Dr remmy r.i.p kapewa!
Hee..nashangaa marehem anapewa tuzo!! Haalafu we naona una utani wa ngumi!
 
Try ur luck mwaya, ila angalia asije kukuumbua on stage. Lol. Hatabiriki yule jamaa!

with no strings attachd,..ctaki ata pete yake me anipe atm zake2 na pin lol
 
Wala sita google kwani niliwaona na sikuona ubaya wowote.

I know ...me was just kidding
Hao wamenipita sikuwaona...

Hivi vipaza sauti jamani mbona wangusisha midomoni kavu kavu? Aaah
 
wana minyama ao na vile vidress! Duuh kama una miuchu lazima roho idundie chini ya kiuno kwa mbele

Uwiiiiii mbavu zanguuuuu naona Mnyama kaja juu,angeona mimi nasema kesho posa ingepelekwa
 
Hee..nashangaa marehem anapewa tuzo!! Haalafu we naona una utani wa ngumi!

teh yani kama mtu hana tai kipepeo basi ana suti ya mdogo wake.. Ila leo wamepamba kwa zilipendwa imekua ya kistaarab kdogo
 
Hahahaaaaa uwiiiii Amyner, mwenzangu si umemsikia Khadija ametia wengine wanapanda na marafiki zao na nyie wanangu njooni.....vikatoka vifaa vya nguvuuuuuuuuuu,ulividekshia?

Nimedekshia vitu balaa.. Biashara matangazo ohooo! Ukipata mwanya tumia ipasavyo.. khadija kopa hajapoteza muda..
 
Back
Top Bottom