Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Roma umesahau ya mwisho kwamba yule mzee akaamua wambebe yule punda na walivyofika kijiji kingine watu wakaanza kusema kha huyu mzee vp? Baada ya kupanda punda wao wanambeba!!
 
Majigambo ya Mpoki nayapenda sana.

eti wanawake wa Sinza wanaringa wakati maji yanatoka mara moja kwa wiki???

Nimecheka sana.
 
Roma umesahau ya mwisho kwamba yule mzee akaamua wambebe yule punda na walivyofika kijiji kingine watu wakaanza kusema kha huyu mzee vp? Baada ya kupanda punda wao wanambeba!!

umenichekesha cna kijana.
 
Back
Top Bottom