Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

jamani ilipofika saa saba nilipitiwa na usingizi
Nipeni news kama Ally Kiba kapata tuzoo yoyote nifurahi
 
acha kulaa mapema ulikosa uhondo ila mkubwa kaambulia nae Daimond kabeba tatu

hahah saa saba ni mapema tena nilijitahidi sana kuvumilia mpaka saa saba ,,
Kaambulia ngapi jamani...? maana dushelele inawabamba wengi.
 
Back
Top Bottom