Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Hivi hips hizo ni nachoro??
Kigauni kizuri, sijui ana unyayo mwekundu pia?
Nachuroo kabisaa kigauni kimemkaa mwake....
Unyayo mwekundu as in red bottom za viatu??? ...lol
 
Hata gangster atalegeza macho ukimpa pamba za sikio
 
Mkuu Black Bat, iyo link nimeifungua wanadai the content is not currently online due reasons beyond their control. Haya mambo ya online live/electroniki sie bado sana.

Pole ndugu
 
Nani kafiwa baba kamwachia baskeli haina hata pampu?
 
yap ni kibatik flan iv. Heh uyu mtoa tuzo wa hip hop ana mbwebwe,cjuw ndo swaga! Doh! Af roma kachukua..
Mmmh huyo sijui nini nini Frank...

Roma oyeeee...
 
Gazeti la Daily News,haliuzwi Tandale kwa Mtogole,hahah mpoki bana
 
gazeti la dailynews haliuzwi tandale kwa mtogole... mpokiiiiiii
 
Back
Top Bottom