bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
Dogo kachapa kazi wacha afurahie jasho lake...Mungu Mkubwa sana kweli Diamond.....maskiniiii amenitia uchungu maneno yake
Dogo kachapa kazi wacha afurahie jasho lake...Mungu Mkubwa sana kweli Diamond.....maskiniiii amenitia uchungu maneno yake
Nimefurahi Manek anamkubali R.I.P Producer Roy Bukuku the guy was extremely good. Namkubali hasa kwenye wimbo wa Suma Lee wa Chungwa
Dogo kachapa kazi wacha afurahie jasho lake...
Mmmh...Ngoja nianze kumpenda almasi,teh oh bby D,me penda ur lips babes, u luk gouud darln.. Suti yako ya ukweeh hny
Sanaaaaaaa....ila inaniuma sana Ali Kiba jamani kamoja tuuuuu matokeo yake anaenda kupata Suma Lee
Watoto wa kike wawili mmoja amevaa nguo ya Queen D ndefuuuu hahahahaaaaaa halafu ana nyama za kutoshaaa mmmhhhh
Ngoja nianze kumpenda almasi,teh oh bby D,me penda ur lips babes, u luk gouud darln.. Suti yako ya ukweeh hny
Mmmh...
Mi natamani bele 9 apate tuzo maskini.
Heheee not richabo hapo...Hivi hiyo HAKUNAGA mbona mimi nimegomaaaa....nisaidieni jamani uwiiiiii
Inamaana hunion mpaka uende kwa diamond? Diamond mwenyewe kwanza keshabebwa na wema!!wats up with mmmh me diamond nshamtx,napenda lips zake,akajib you too!
Mmmmmh!
Inamaana hunion mpaka uende kwa diamond? Diamond mwenyewe kwanza keshabebwa na wema!!
Nimegoma kuamini Ali Kiba kapata moja tu???angalau angepata na wimbo bora wa mwaka jamani au Afro pop!!!!mi umia sana