Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Dija kopa sasa na swaga zake,taratiiiiib na tumbo lake...
 
Naona JF ilipotea gafla!
Diamond naye ana tuzo 2
 
Manek projuza wa tandale kainyakua nayeye duh
 
me nkajua leo sa6 mwsho,mana ilileta intenal error!duh ad marasta wamerud ndo kdogo asaval
Hahaah..yaelekea kuna uchakachuzi ulikuwa unafanyika ndani ya server ya JF...mi nimeshangaa napata tu bonge ya error no.500!
 
Awa wajamaika wamalize bana ,me nshanza sinzia
 
Hahaah..yaelekea kuna uchakachuzi ulikuwa unafanyika ndani ya server ya JF...mi nimeshangaa napata tu bonge ya error no.500!

nkawaza wee,nkajua nshalimwa ban ya mgongo,duh umeme uliwakatikia fundi mitambo wa jf
 
Back
Top Bottom