Huyu Sinta ni nini labda????mmmhhh leo naona nitauliza maswali mengi sanaaaaa
sinta anatangaza kituo gani cha radio /tv?
Kheeee Djouf kumbe yupo dunia hii?
sinta anatangaza kituo gani cha radio /tv?
Kheeee Djouf kumbe yupo dunia hii?
Heheeee 'labda' imenikumbusha 'kwa mfano'...Huyu Sinta ni nini labda????mmmhhh leo naona nitauliza maswali mengi sanaaaaa
Hizi miwani za jua naona cku hz ni fasheni
Ni mzuri kwa kweli.
She is pretty na hiyo baby face...Ni mzuri kwa kweli.
yani nimejikuta nakosa mawazo..hee mkubwa fela na koti la walinz