Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Ila Diamond kawa muuza sura jamani, chezeiya suti ya kijani nyie, full mng'aro ng'aro.
 
Hizi suti za vi-bano na tai za butterfly nadhan ukumbi mzima! Hee diamond in green
 
Kuna yule mzungu kaimba wimbo wa jay dee siri yangu yani kidogo apate mshtuko wa moyo-brain concussion mana alivokua anastruggle na pumzi duuh!
 
wasanii wasiokwenda na muda ni tatizo kweli kweli.
 
Kapata sauti konjasheni.


Cheki kitu Sinta lol

Kuna yule mzungu kaimba wimbo wa jay dee siri yangu yani kidogo apate mshtuko wa moyo-brain concussion mana alivokua anastruggle na pumzi duuh!
 
Rapper bora wa mwaka(Band),abdala mrisho na sinta mama ps wamtangaza mshindi ni kitokololo kuku


Yupo Juu sana mifupa yake kinywani kokoto kokoto
 
Huyu Sinta ni nini labda????mmmhhh leo naona nitauliza maswali mengi sanaaaaa
 
Sinta amevi-brate,teh anatembea step bystep asije kuanguka,af kama mabega cjuw ndo mikono imezid miguu..bigap kitokololo
 
sinta anatangaza kituo gani cha radio /tv?

Kheeee Djouf kumbe yupo dunia hii?
 
Back
Top Bottom