Kilimanjaro Music Awards 2012

Kilimanjaro Music Awards 2012

Wimbo wa Zouk mshindi anatangazwa na dina na masako eheeeeeeeee ally kiba dushelele
 
huyu bib anayeimba na kina Patricia Hilary anaitwaje?

Mashallah sauti hiyo....
 
mbwembwe zimezid na mwishowe ndo zitaharibu kila kitu
 
Jamani tàrabu za zamani zilikuwa zimetulia kwele kweli, JAMANI MAPENZI YANANIKATIZA ÉE,
 
Mziki wa asili mshindi ni??? Angela na shelukindo ndio wanatangaza mshindi ni AT
 
vifuu tundu oyeeeeeee!!!
AT oyeeeeeeee
Ole wenu msopitwa kama kasuku....
 
Wimbo bora wa taarabu mshindi ni??? Patricia hillary amtangaza Mashauzi muachie isha
 
Wana JF ni nini hii mbona aibu sana?

Kha! Haya mambo yao ya tuzo yanaboa sana, haujachangamka. Hivi hamjifunzi za VMA, na zingine za Marekani! Naenda kulala kha!
 
Back
Top Bottom