Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

bora nimesoma nikiwa nyumban maana najua njia nazokatiza naporudi kutoka mihangaikoni.
 
Mapovu yooote hayo!hasira za nini?hizi fiksi tu!humu wote si watoto......kwa kifupi sisi watu wa pwani....tuliozoea bahari....hizo stori za kawaida saaana!ni kama stori za vibwengo....majini chunusi.....nk uwe mpole tu!
We sasa una nongwa umejibiwa kistaarabu hufanyi uliloshauriwa ila kuleta ujuaji kwenye nyuzi za wenzio,mi nimemuamini sasa shida iko wapi?
 
Nnajuwa kuwa wengi kama wewe wanapenda ujinga kwa kuwa tu shule mlienda kusomea ujinga.
Kama kuna kitu nikuone hopeless nikuamini kila kitu kuwa kinapatikana shuleni. Na ushapumshamba wako mwingine nikuona formal education kama ndiyo elimu pekee duniani ukasahau kuna informal education ambayo ni elimu isiyohitaji kukariri mambo bali kuelewa na kwa greater thinkers huwa kipimo kizuri cha mtu mwenye akili kubwa.

Ebu elewa kuna watu wanauwezo mkubwa sana wa kufikiri/akili na hawajaupata kwa njia ya kufundishwa darasani.
 
mshana jr ulipotea kwa takriban siku kumi na tano na ushee, story yako inaelekeza kuwa Nyamisati hukukaa zaidi ya siku nne!!!
Huko visiwani ulikoenda kuzuru ndio hata hukulala! Yaani huko visiwani ndiko lilikuwa lengo la safari yako!!!

Je ulienda kumtafuta Rasta Nyoka? Au ulichokuwa unakitafuta ukaahirisha baada ya kukutana na Rasta Nyoka?

Tuambie hizo siku zaidi ya kumi ulikuwa wapi? na unafanya nini!!!

Usisababishe bibi kizee akapata cha kusema (mfunge mdomo FaizaFoxy)
 
Kwa taarifa yako mimi sijifanyi na sijawahi kujifanya, naujua uchawi naufahamu vizuri sana ushirikina
Kama unadhani hizi ni fix naomba uthibitishe hapa. ..weka ushahidi kama mimi nilivyotaja maeneo muda na wahusika
Jitengenezee uwezo wa kuaminika usiishie kusema hizi ni fix...ukishindwa hili utakuwa mpuuzi kama yule mpuuzi mwingine
Mshana unajua mijitu mirefu unajulikana kama Kabeba huko usukumani??? Acha huyo raster nyoko cha mtoto..! Huyo mdudu akitoa ushuzi uzinduki bila kupelekwa ukara(kisiwa wilayano ukerewe)
 
Back
Top Bottom