Kama kuna kitu nikuone hopeless nikuamini kila kitu kuwa kinapatikana shuleni. Na ushapumshamba wako mwingine nikuona formal education kama ndiyo elimu pekee duniani ukasahau kuna informal education ambayo ni elimu isiyohitaji kukariri mambo bali kuelewa na kwa greater thinkers huwa kipimo kizuri cha mtu mwenye akili kubwa.
Ebu elewa kuna watu wanauwezo mkubwa sana wa kufikiri/akili na hawajaupata kwa njia ya kufundishwa darasani.
jogi ukinisoma para ya pili nilisema kwamba nilipotea kwa takriban siku 23 hivi na kati ya hizo ni siku chache sana ndio nilikuwa nje ya Tanzaniamshana jr ulipotea kwa takriban siku kumi na tano na ushee, story yako inaelekeza kuwa Nyamisati hukukaa zaidi ya siku nne!!!
Huko visiwani ulikoenda kuzuru ndio hata hukulala! Yaani huko visiwani ndiko lilikuwa lengo la safari yako!!!
Je ulienda kumtafuta Rasta Nyoka? Au ulichokuwa unakitafuta ukaahirisha baada ya kukutana na Rasta Nyoka?
Tuambie hizo siku zaidi ya kumi ulikuwa wapi? na unafanya nini!!!
Usisababishe bibi kizee akapata cha kusema (mfunge mdomo FaizaFoxy)
Hawa vidudumtu wawili wamebaki kuwa kichekesho cha karne! Nimewapa changamoto ya kuthibitisha uongo wangu, nimeweka na dau tena naongeza laki nyingine...! Wamebaki kurukaruka kama bisi kikakaangoniMshana unajua mijitu mirefu unajulikana kama Kabeba huko usukumani??? Acha huyo raster nyoko cha mtoto..! Huyo mdudu akitoa ushuzi uzinduki bila kupelekwa ukara(kisiwa wilayano ukerewe)
ni aina fulani ya burudani yenye kutia kinyaa mtu anaposhindwa kuthibitisha madai yake na kubaki kupayuka payuka kushinda hata hayawanihuyo dogo anao shida areef achana naye we tupe mavitu, na wala hajalazimishwa kufungua uzi na kusoma, kiherehere tu kimemjaa.Mimi sikuchukii
Wewe ni mwanaizaya. Period!Povu lanini kijana? Vocabulary yako ni too shallow.
Nitarejea Nyamisati nitaenda kote nilikoenda tena, na nitaleta habari zaidi, atskayesema ni uongo asiishie tu kutuhumu alete ukwelihuyo dogo anao shida areef achana naye we tupe mavitu, na wala hajalazimishwa kufungua uzi na kusoma, kiherehere tu kimemjaa.
DUNIA NI YA AJABU!! KAMA MTU HAAMINI HII HABARI AENDE KWENYE HABARI INGINE, KWANINI KUKOMAA "UONGO UONGO" WAKATI HABARI ZIKO NYINGI JF, ACHENI WENGINE WAFURAHIE HABARI HIZI, KILA MTU ANA UHURU WA KUCHAGUA AMA AKUBALI AMA AKATAE HII HABARI, SIO KUBISHANA NI KWELI AU UONGO,,,MIMI SIJAFIKA MYAMISATI LAKINI ANAEBISHA AENDE AJE ATUAMBIE YA KWAKE.Ukitaka kupata kichekesho hiki mtafute mlekulechoma! Another stupid idiot...!
Nidanganye ili iweje sasa! Acha upuuzi
Natumia jina halisi na hata picha pia
Nimeandika kila kitu kwa uwazi mno, nimetaja maeneo yanayotambulika kabisa
Nilikuwa na raia wa kigeni, (easy to spot ) muda unajulikana, kabla hujaandika up.upu kama huu ungeenda maeneo husika kupata ukweli sio mbali ni hapo Nyamisati ningekulipia hata nauli malazi na chakula ili ukajiridhishe
Silipwi sitafuti soko la chochote kupitia post zangu...
Nenda Nyamisati hata kesho kajiridhishe ndio uje hapa kutoa hukumu...kisha uje na ile ID yako iliyozoeleka
Huu ndio aina ya usafiri wa Nyamisati kwenda MafiaNilirejea Nyamisati kutoka pale gezani bandari bubu jioni ya siku hiyo, nikiwa na mipango ya kwenda Mafia lakini kufika pale nikakuta boat jahazi imeshajaa hivyo nikapewa matumaini ya kuondoka mchana wa kesho yake kulingana na mahitaji ya abiria kuwa wengi
Mshana Jr kapige juju haka ka FaizaFoxy!Hadithi za kuona watu wanatembea kwenye matope hawadidimii ni uongo tu.
Atawadanganya mliosomea ujinga shuleni.
Mshana Jr kapige juju haka ka FaizaFoxy!
DUNIA NI YA AJABU!! KAMA MTU HAAMINI HII HABARI AENDE KWENYE HABARI INGINE, KWANINI KUKOMAA "UONGO UONGO" WAKATI HABARI ZIKO NYINGI JF, ACHENI WENGINE WAFURAHIE HABARI HIZI, KILA MTU ANA UHURU WA KUCHAGUA AMA AKUBALI AMA AKATAE HII HABARI, SIO KUBISHANA NI KWELI AU UONGO,,,MIMI SIJAFIKA MYAMISATI LAKINI ANAEBISHA AENDE AJE ATUAMBIE YA KWAKE.
Nitarejea Nyamisati nitaenda kote nilikoenda tena, na nitaleta habari zaidi, atskayesema ni uongo asiishie tu kutuhumu alete ukweli
Kaka mshana jr unge update kutokea kwenye post hii mtiririko ungekuwa mzuri zaidi.Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado.
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake.
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika.
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale.
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo.