Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

2816535a1b78cbae1bcbc4ae0c2a7389.jpg

Pale FaizaFoxy alipokutana na Mshana Jr
 
BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............

Jamani na wewe uliyekabwa na jogoo bado hujaachiliwa tu? Njoo basi utumalizie stori, Mshana kakuachia nafasi...
 
Pole sana nina maisha bora kuliko wewe a hundred times, nina elimu kubwa kuliko wewe a thousand times
This is my very last reply to you

Ungekuwa na elimu hata ya kuunga unga tu ungeelewa tofauti ya "uptodate" na "update" pia ungeelewa tofauti ya ukweli na uongo.
 
Inabidi aseme hii ni "fictitious". Ubunifu tu na hakuna ukweli.

Hapo watu wanajuwa kuwa ni burudani tu. Lakini mwenzetu anatetea uongo utafikiri ukweli.

Anawahadaa wengi sana na nimejaribu kujiuliza kwanini? Nikapata jibu, aaah anawatayarisha wateja.

Hii ni kama alivyoanza MziziMkavu sasa anauza dawa kiulaini. Tena at least MziziMkavu anauza dawa za tiba mbadala lakini huyu mwenzetu sijuwi mpaka sasa kama hakuna watu wapenda ushirikina aliokwisha watia chanjo za makalio, sijuwi.
Ha ha ha ha...
 
Dear haters fanyeni haya kuthibitisha uongo wangu kwenye hii post
-nendeni Nyamisati, simbaulanga kilwani na gezani
-nendeni kilindoni mafia niliandika jina langu hili ninalotumia hapa pale IBIZA
-Kauluzeni habari nilizoandika hapa huko kote nilikotaja
-nimezungumzia uchawi wa hivyo visiwa
-nimezungumzia magendo ya huko, kwanini msiende kuuliza?
-kuna Boat kubwa tatu moja ya fiber zinazofanya safari kati ya mafia na Nyamisati si mkaulize hizi habari
Mnashupaa hapa kulazimisha sukari iwe chumvi mtaweza kweli?
Naweka dau la nauli ya laki moja mmoja wenu aende
Nipe niende kwa niaba hiyo laki ntaleta mrejesho
 
= fun

Kwa sentensi hiyo hutumii neno "funny".

Halafu unajisifu eti msomi.

If such are the priests God bless the congregation.

About your challenges I give you credit

But one thing my dear old little angel faiza mshana has mis spelled in that case I don't think if is good idea to show that thing in public
 
Naam mkuu,mbona umekatisha,,,Binafsi nilishawahi kupotea wakanitafuta nikarudi baada ya maombi mazito na wao kufunga...nataka nilinganishe kama hii inafanana na hiyo.
Wewe ni Nzalendo yule yule uliyetembea Tanzania nzima ? Basi kwa maneno hayo hapo juu naanza kukuelewa kuna dots naunganisha hapa
 
Dear haters fanyeni haya kuthibitisha uongo wangu kwenye hii post
-nendeni Nyamisati, simbaulanga kilwani na gezani
-nendeni kilindoni mafia niliandika jina langu hili ninalotumia hapa pale IBIZA
-Kauluzeni habari nilizoandika hapa huko kote nilikotaja
-nimezungumzia uchawi wa hivyo visiwa
-nimezungumzia magendo ya huko, kwanini msiende kuuliza?
-kuna Boat kubwa tatu moja ya fiber zinazofanya safari kati ya mafia na Nyamisati si mkaulize hizi habari
Mnashupaa hapa kulazimisha sukari iwe chumvi mtaweza kweli?
Naweka dau la nauli ya laki moja mmoja wenu aende
Kaaaaz kweli kweli....njia ya muongo fupi!tukaulize habari za hilo jitu refu ambalo wewe tu ndo ulikua unaliona? usitokwe na mapovu!wengine humu tunauzoefu Wa Maji bahari.....hizo habari si mpya kwetu!sema ukweli ulisimuliwa ukaamua utie chumvi.....kana kwamba ni jambo limekutokea wewe.......ohooo...nimepewa masharti nisiseme....mara mengine sitasema!acha fiksi!!!
 
Pole sana nina maisha bora kuliko wewe a hundred times, nina elimu kubwa kuliko wewe a thousand times
This is my very last reply to you
Huna lolote lile!fiksi tu!acha uongo wewe MTU mzima!kwa mbwembwe hizi utawapata wajinga wengi!mapovu ya nini?nilishakwambia....ungeanza hivi.....hadith × 2......tungeitikia HADITH NJOO UONGO NJOO UTAMU KOLEAAAA!
 
Back
Top Bottom