


just joking naomba unitag ukiendeleza simuliz hiiKaa chini, kunywa Maji, vuta pumzi nyingi ndani, then Njoo utusimulie vzr hii episode.Mwaka 2008, December, nikiwa mfanyakazi wa kampuni Fulani kubwa kuliko zote hapa tz ya uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kwa sasa inaitwa acacia janja janja ya ukwepaji Kodi angalia bio yangu as a mine engineer,@(underground) mshikaji wangu mmoja mussa alinipeleka huko gambosi nilipata kesi Moja tata sana!, mwendo wa masaa 2 toka magu MZA, tulitumia Massa 12 kwa bodaboda , nafika gambosi naulizwa!" Umefiwa na ndugu yako!!?? " "uliza huo mkwaju mkubwa utakujibu kama nduguyo Yuko hapa!" Nilichoka! Huo mkwaju uko pembeni ya shule ya msingi gambosi, na ukwaju wake huwa hauliwi! Nilishinda kesi kwa mazingira tata sana! Inaendelea...............!
Ameshapumbazwa akili na jitu refu sasa hivi hajui alikuwa anahadithia nini na hata akikumbuka hawezi kujua aliishia wapi.Tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu.Endelea basi wajameni, mmh..
Nimetamani kusimulia hiki kisa muda sasa lakini waungwana walikuwa hawajatoa ruhusa bado
Nilipotea kwa vipindi viwili vyenye jumla ya siku 23, kati ya siku hizo ni siku chache sana nilikuwa nje ya Tanzania, nyingine zote nilikuwa hapa hapa ila kwenye dunia isiyoaminika na wengi, dunia ya ushirikina na uchawi katika uhalisia wake
Nitangulie kuomba radhi sitaandika kila kitu bali yale ya muhimu tu nitakayoona ni muhimu kuandika
Nilitoka Dar kwa dharura kuelekea sehemu ambako nitapata kile kinachonipeleka huko, safari yangu ikanipeleka mpaka Nyamisati, nikalala pale...
Siku ya pili asubuhi nikadamkia bandari bubu iitwayo gezani.... vituko vilianzia hapo
Ameshapumbazwa akili na jitu refu sasa hivi hajui alikuwa anahadithia nini na hata akikumbuka hawezi kujua aliishia wapi.Tuwe watulivu katika kipindi hiki kigumu.

Na mi uniiteMkuu mshana jr usisahau kuniita ukimwaga vitu humu.
Madam mshana katutelekeza, we endelea tu hii story mpaka pale mshana atakaporejeaMwaka 2008, December, nikiwa mfanyakazi wa kampuni Fulani kubwa kuliko zote hapa tz ya uchimbaji wa madini aina ya dhahabu, kwa sasa inaitwa acacia janja janja ya ukwepaji Kodi angalia bio yangu as a mine engineer,@(underground) mshikaji wangu mmoja mussa alinipeleka huko gambosi nilipata kesi Moja tata sana!, mwendo wa masaa 2 toka magu MZA, tulitumia Massa 12 kwa bodaboda , nafika gambosi naulizwa!" Umefiwa na ndugu yako!!?? " "uliza huo mkwaju mkubwa utakujibu kama nduguyo Yuko hapa!" Nilichoka! Huo mkwaju uko pembeni ya shule ya msingi gambosi, na ukwaju wake huwa hauliwi! Nilishinda kesi kwa mazingira tata sana! Inaendelea...............!