Imefahamika,Faizafoxy ni mbibi anayesumbuliwa na roho mbay,ugumba,menopause, wivu wa kijinga,ukosefu wa busara wa kiwango cha PhD, kujipendekeza kukosoa kila kitu as if ni mwanafunzi wa IQ ndoooogo kabisa tena ya kiwango cha darasa la kwanza C. Sio siri tena ni mwanamke aliyeishi kuroga na kuambulia kupata mikosi ambayo ndo hii inayoendelea kumjawa. Ivi kichaa akichukua nguo zako akikimbia nazo utamkimbiza uchi????
Ukimkimbiza uchi basi ww ndo watasema kichaa. Kama ww ni mpenzi na mfuatiliaji wa threads za mshana Jr regardless km ni story za kwel au za uongo ila tu zinafundisha yanayojiri kila pembe ya mkoa au nchi basi hauna budi kujibizana na mwanamke mwenye akili za kushikiwa,