Kile kipindi ambacho nilipotea

Kile kipindi ambacho nilipotea

mshana jr
JF-Expert Member, Male, from Msata

mshana jr was last seen:

A moment ago
  • About
    Gender:
    Male
    Birthday:
    June 1
    Location:
    Msata
    Occupation:
    Mortuary attendant

 
Kaaaaz kweli kweli....njia ya muongo fupi!tukaulize habari za hilo jitu refu ambalo wewe tu ndo ulikua unaliona? usitokwe na mapovu!wengine humu tunauzoefu Wa Maji bahari.....hizo habari si mpya kwetu!sema ukweli ulisimuliwa ukaamua utie chumvi.....kana kwamba ni jambo limekutokea wewe.......ohooo...nimepewa masharti nisiseme....mara mengine sitasema!acha fiksi!!!
Ndugu solution hiyo hapo acha mipasho ya kichangu umeambiwa kama huamini pesa hiyo hapo unaogopa nini? Kuchumbiwa?
 
Mkuu unabishana na huyo graduate wa chekechea? Unapoteza mda wako!!
Hajitambuagi huyo bibi mwache alivyo..
e8b677a72d05b7f70ac3a43ee8ea8bd7.jpg
 
Back
Top Bottom