Naomba radhi sana bado nina familia[emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Ha ha ha, nimecheka sana hapa!
Kumbe kila mbabe ana mbabe wake eeh.
Hapo umethibitisha kabisa kwamba Rasta Nyoka siyo Mbabe Uchwara!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji115] [emoji115] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji88] [emoji102]-Jitu refu lamtishia mshana jr
-mshana jr aogopa kuendelea na story kuhofia kutumbuliwa na jitu refu rasta nyoka mtema mate
afu kaka tuna ahadi ya kuonana, tufanye iwe.Mtani imebidi nimalize hivyo ukitaka ya ziada tuonane uso kwa jino
Utarudi tena huko, nahitaji kuwa katika huo msafara...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]
Sawa. Nitakufahamisha.Ooh OK wiki niko free panga tu muda wa mchana
Acha zambi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sawa, nijipangeje...Poa haina shida maybe January
Ulikuwepo?Uongo mtupu.
Ulikuwepo?