Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,869
- 29,031
Kwanini msichukulie kama burudani tu kama mnahisi anawaambia uongoAseme ukweli sasa.....hadithi hadithi....utamu njooo UONGO KOLEAAAAA.....tutamuelewa![]()
Kwanini msichukulie kama burudani tu kama mnahisi anawaambia uongoAseme ukweli sasa.....hadithi hadithi....utamu njooo UONGO KOLEAAAAA.....tutamuelewa![]()
Wala hatuhitaji mtanabaisho wako sisi twaendelea burudikana story nzuri kama za mshana jr
Kwanini msichukulie kama burudani tu kama mnahisi anawaambia uongo
Kuna vitu huwa anajiongelea vimejaa nadharia zaidiMuongo tu huyo hana lolote.
Kuna siku alikuja na picha humuhumu JF akidanganya kuwa kaipiga yeye hapo njia ya kwenda Ikulu, kumbe ile picha ipo kwenye mitandao kwa miaka kadhaa, nikamuumbuwa uongo wake kwa kuileta source nyingine kabisa ya ile picha, basi toka siku hiyo kajenga chuki kwangu.
Huu anaoleta humu ni uongo tu hajuwi lolote huyo.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Ulishawahi kuwa mteja wake ukachanjwa hizo sehemu?Inabidi aseme hii ni "fictitious". Ubunifu tu na hakuna ukweli.
Hapo watu wanajuwa kuwa ni burudani tu. Lakini mwenzetu anatetea uongo utafikiri ukweli.
Anawahadaa wengi sana na nimejaribu kujiuliza kwanini? Nikapata jibu, aaah anawatayarisha wateja.
Hii ni kama alivyoanza MziziMkavu sasa anauza dawa kiulaini. Tena at least MziziMkavu anauza dawa za tiba mbadala lakini huyu mwenzetu sijuwi mpaka sasa kama hakuna watu wapenda ushirikina aliokwisha watia chanjo za makalio, sijuwi.

Kwa taarifa yako mimi sijifanyi na sijawahi kujifanya, naujua uchawi naufahamu vizuri sana ushirikinaPunguza fiksi kaka wewe ni mtu mzima!usitake kujifanya unajuuuua mambo ya uchawi&ushirikina nk......acha fiksi
Kupaaology hii Kali aisee.Saa 23:50 now nalala mkuu mshana JR ila nawazo nenda pale UDSM maana ni Chuo Mama omba Ufungue short course km wale wachina na conficious Yao anzisha hata vi Basic technician na Technician certificate in witchcraft and kupaaology in the midnight!!!
Ushirikina na mie wapi na wapi?Ulishawahi kuwa mteja wake ukachanjwa hizo sehemu?![]()
![]()
Matangazo biashara.....kwa mwendo huu utawapata wengi tu humu!fiksi tupu!Kwa taarifa yako mimi sijifanyi na sijawahi kujifanya, naujua uchawi naufahamu vizuri sana ushirikina
Kama unadhani hizi ni fix naomba uthibitishe hapa. ..weka ushahidi kama mimi nilivyotaja maeneo muda na wahusika
Jitengenezee uwezo wa kuaminika usiishie kusema hizi ni fix...ukishindwa hili utakuwa mpuuzi kama yule mpuuzi mwingine
Ya Japan hata sijui ndugu kuna haya ya kwenye huu uzi ndio yananitatiza vipi habari ya Pyongyang ?Habari ya japan?
Kwa taarifa yako mimi sijifanyi na sijawahi kujifanya, naujua uchawi naufahamu vizuri sana ushirikina
Kama unadhani hizi ni fix naomba uthibitishe hapa. ..weka ushahidi kama mimi nilivyotaja maeneo muda na wahusika
Jitengenezee uwezo wa kuaminika usiishie kusema hizi ni fix...ukishindwa hili utakuwa mpuuzi kama yule mpuuzi mwingine
Don't waste ua time mshana arguing with deshi deshiPole sana nina maisha bora kuliko wewe a hundred times, nina elimu kubwa kuliko wewe a thousand times
This is my very last reply to you
Napata kigugumiza kidogo, alikukaba kwa style gani huyo jogoo..!?BaaDa ya ya kufika gambosi aka gamboshi wengi muiitavyo, nilikutana na dunia nyingine kabisa! Ambayo iko ndani ya huu ulimwengu tunaoishi!, picha linaanza sehemu ya kulala, naambiwa fuatana na Huyo jogoo mwekundu! Atakapolala na wewe utalala hapohapo! Na kweli ikawa hivyo! Jogoo alikuwa na hirizi kubwa shingoni, njiani tukakutana na na mlevi mmoja akanitukana mno! Nikataka kumvagaa! Jogoo akanirukia akanikaba shingoni!.... Inaendelea!..............

Mapovu yooote hayo!hasira za nini?hizi fiksi tu!humu wote si watoto......kwa kifupi sisi watu wa pwani....tuliozoea bahari....hizo stori za kawaida saaana!ni kama stori za vibwengo....majini chunusi.....nk uwe mpole tu!
Hapana sio kalio ila ni kiungo kingine na dawa imefanyakaz kama nilivyotakaUshirikina na mie wapi na wapi?
Vipi wewe, bado hajakuchanja makalio?
Mshana jr nipe mimi hizo hela za kumlipia huyu nguchiro hela ya nauli na chakula na kulala guest inayonukia udongo mbichi nifanye mimi utafitiUkitaka kupata kichekesho hiki mtafute mlekulechoma! Another stupid idiot...!
Nidanganye ili iweje sasa! Acha upuuzi
Natumia jina halisi na hata picha pia
Nimeandika kila kitu kwa uwazi mno, nimetaja maeneo yanayotambulika kabisa
Nilikuwa na raia wa kigeni, (easy to spot ) muda unajulikana, kabla hujaandika up.upu kama huu ungeenda maeneo husika kupata ukweli sio mbali ni hapo Nyamisati ningekulipia hata nauli malazi na chakula ili ukajiridhishe
Silipwi sitafuti soko la chochote kupitia post zangu...
Nenda Nyamisati hata kesho kajiridhishe ndio uje hapa kutoa hukumu...kisha uje na ile ID yako iliyozoeleka
