tRNA
Member
- Jan 10, 2023
- 88
- 290
Una elimu kuhusu majini? Yapo majini Yana piga bangi na kitimoto kama kawaida tu
hakuna kitu kama hichi acha porojo mkuu lete fact na sio story
Una elimu kuhusu majini? Yapo majini Yana piga bangi na kitimoto kama kawaida tu
Majini majanja sana. Yanaweza kudanganya watu yanaogopa mfupa wa nguruwe na bangi, wakati hayohayo wakati wa Yesu yaliomba yakimnilie kwa kwenye manguruwe kule kwa wagerasi.bangi na majini/mapepo wapi na wapi palipo na moshi wa bangi hakuna pepo wala jini au mchawi anaweza kusogea
Ubongo upo kwaajili ya kufikiri, ku-collect na ku-process taarifa na hatimae kufanya maamuzi nini kifanyike na hapo ndio movement za mwili huanza... Sasa kama kila unachokipenda, maamuzi na kufikikiri kupo based na mapepo na majini au Mungu Huu ubungo ni wa kazi gani?Majini (mapepo) ua roho wachafu ni mengi kwa idadi hayahesabiki. Yote yako hapa duniani.
Sasa tofautisha mtu kupagawa na majini (possessed) na mtu kutawaliwa na majini (Controlled). Watu wanaopagawa na majini ni asilimia kama moja tu asilimia 99 ya watu wanatawaliwa na majini.
Hawa huwezi kuona wanafurukuta au wanaanguka hovyo na kutoa povu.
Kila aliyewahi kwenda kwa mganga anamapepo.
Kila addiction (pombe, madawa, bange) kuna majini yake.
Kila dhambi kuna majini yake nyuma yakishawishi uendelee.
Ushabiki hasa wa mpira na movie unamajini yake special kuhakikisha hushikiki. Bora utoroke kanisani ukaangalie match. Sio akili yako ni majini.
Sio kila unayemtamani ni akili au wazo lako, sio kila hamasa ya kuangalia porno ni akili yako, nyumq yake kuna ushawishi mkali wa mapepo.
Sasa ufanye nini?
Uwe mkweli kwa Mungu, ukili udhaifu uombe ulinzi wa damu ya Yesu na malaika wenye nguvu kuliko majini. Ruhusu roho mtakatifu na neno ndio lishawishi akili yako sio majini.
Ni hayo tu.
Barikiwa
1: Wale walikuwa watu wa kawaida tu. Wana wa Mungu ni uzao wa seth, na wana wa wanadamu uzao wa kaini na wale waliokuwa wameasi Mungu. Hata sasa watu wa dini wakishirikiana na wanasiasa na watu wa duniani wasiomheshimu Mungu mstari unaowatofautisha ukifutika matokeo yake ni uovu mkubwa, na dunia itajifuta yenyewe bila kiyama. Hiki ndicho ninaweza kukitetea.Muinjilisti naendelea kujifunza, hebu nivumilie. Hivi wale wana wamungu waliozaa na wanawake wa kibinadamu kwenye Mwanzo 6 walikuwa ni wakina nani ?
Pale kwenye mnara wa Babeli nini kilipelekea hadi watu wakagawanywa na kufukuzwa na kuzuiwa kujenga mnara ?
Kule Sodoma, kwanini watu walitaka kuwabaka wale Malaika, nini kiliwapelekea wale watu wafanya jambo kama lile. Ruthu alikaa nao miaka mingi lakini hawakuwahi kutaka kumbaka. Chanzo kilikuwa nini ?
do you indulge yourself in such oddities?Welcome to the Study of Demology. It's as deep and endless like a rabbit hole.
Maamuzi unafanya wewe ni kweli.Ubongo upo kwaajili ya kufikiri, ku-collect na ku-process taarifa na hatimae kufanya maamuzi nini kifanyike na hapo ndio movement za mwili huanza... Sasa kama kila unachokipenda, maamuzi na kufikikiri kupo based na mapepo na majini au Mungu Huu ubungo ni wa kazi gani?
Coz hai-make sense kuamua niamue mimi then useme cjui jini kaniingia kwenye Ubongo wangu ndo kanifanya nifanye ujinga how?
Decisions ni game of chances, kuna muda unakuwa correct na muda mwengine unakuwa wrong depends na situations, moods na bahati yako kwa hiyo siku
Everything is air, graces and oddities, it just depends on your perspective. I'm here conversing with zealots to get a gist of theirs.do you indulge yourself in such oddities?
Majini majanja sana. Yanaweza kudanganya watu yanaogopa mfupa wa nguruwe na bangi, wakati hayohayo wakati wa Yesu yaliomba yakimnilie kwa kwenye manguruwe kule kwa wagerasi.
Hakuna kiumbe kinachopenda kitimoto au kitu chochote kinachoathili akili za mwanadamu ikiwemo bangi na chochote kinacholeta uraibu kama majini.
Huwa ni maongomapngo na vigeugeu na masanii flani hivi. Wengi hawaelewi utendaji kazi wao ndio maana yanawasumbua.
Mkuu kuna watu wanapenda sana kula nyama ya kuku wa kienyeji. Je, ulaji huo nao ni uraibu? Na kama ni uraibu nao umesababishwa na majini?Majini majanja sana. Yanaweza kudanganya watu yanaogopa mfupa wa nguruwe na bangi, wakati hayohayo wakati wa Yesu yaliomba yakimnilie kwa kwenye manguruwe kule kwa wagerasi.
Hakuna kiumbe kinachopenda kitimoto au kitu chochote kinachoathili akili za mwanadamu ikiwemo bangi na chochote kinacholeta uraibu kama majini.
Huwa ni maongomapngo na vigeugeu na masanii flani hivi. Wengi hawaelewi utendaji kazi wao ndio maana yanawasumbua.
your use of this word suggests that it is very likely you're non-religiouszealots
No hombre, No! In the proverbial sense everybody is religious and has a god even when they don't realise it. My religion is materialism and my god is money, this was a vogue of my bygone days.your use of this word suggests that it is very likely you're non-religious
nice chat,No hombre, No! In the proverbial sense everybody is religious and has a god even when they don't realise it. My religion is materialism and my god is money, this was a vogue of my bygone days.
No son, we ain't doing this. Not today!nice chat,
let me leave you to your trolling
Kama hana elimu hio endelea kuamini hivyo ukidhani majini yote yanafanana au yanatoka koo mojahakuna kitu kama hichi acha porojo mkuu lete fact na sio story
Mkuu kuna watu wanapenda sana kula nyama ya kuku wa kienyeji. Je, ulaji huo nao ni uraibu? Na kama ni uraibu nao umesababishwa na majini?
Kupenda kula na ulafi.Mkuu kuna watu wanapenda sana kula nyama ya kuku wa kienyeji. Je, ulaji huo nao ni uraibu? Na kama ni uraibu nao umesababishwa na majini?
Nawezahawezi kukujibu hili
Majini = Mashetani = mapepo = roho wachafuKama hana elimu hio endelea kuamini hivyo ukidhani majini yote yanafanana au yanatoka koo moja
Hata kama unayo ukija kwangu kama utayasaliti nikiyafukuza kama kuna nguruwe pembeni yatakomba yaingie huko.ulikuwepo wakat majini yanaomba yaingie kwa nguruwe au umesoma kwenye vitabu ulivyo vikuta tayari vimeandikwa na wewe ukakaririshwa?