Miaka miwili iliyopita nilikuwa penzini na bidada mmoja na ukweli n kwamba kipindi kile sikuwa vzr kiuchumi
Sasa huyu bidada alinidharahu na kuniona kuwa Mimi sio type yake
Aliwahi kunitamkia kuwa yupo na Mimi ila Kuna idadi kubwa ya wanaume wanamfuata kumtongoza , hii kauri ilinifanya...
Pepo la umbea/udaku (mafaili buku)
Pepo la kukataa ndoa
Pepo la kujichua
Pepo la uchawa
Pepo la upigaji
Pepo la uzushi
Pepo la ushoga
Ongezea yaliyosahaulika
NB: pepo la ushirikina, uchawi na ulozi limedhoofika sana baada ya wadau wake kutubu na kuokoka
Siijawahi kuona tajiri akiangushwa na mapepo kanisani ila masikini na wenye viator vya kati sasa 😂 😂 😂
Automatically ukiwa masikini
unamapepo 😂
Vipi mdau umeshawahi ona tajiri anaangushwa na mapepo?
Hii hali sasa imekuwa too much.
Serikali ingilieni kati toka mwezi wa pili mwaka huu wanafunzi wa shule ya sekondari JENISTER MHAGAMA wa kidato cha kwanza na kidato cha tatu wamekuwa wakianguka mapepo...
Leo watoto zaidi ya 100 wameanguka na hali zao ni mbaya wengine hawaoni wala kuongea...
Nalikuwa kijana sasa ni mtu mzima sijawahi ona mzungu kaangushwa na mapepo ama tajiri akiombewa mapepo yamtoke!
Walokole kwa aina zenu FPCT,TAG,UFUFUO,MUNGU WA BENDERA,MASANJA MKANDAMIZAJI CHURCH,GEODAVY CHURCH,MWAMPOSA CHURCH mtusaidie.
Hao wenye mapepo ni ngumu sana kuwaona romani katoliki...
Leo Safina, tumeshuhudia nguvu ya Mungu ikidhihirika kupitia mtumishi wake Paul Makonda Kwa jina la Yesu Kristo, pepo wameondoka na watu wengi wamepata uhuru wa kweli. Kama maandiko yanavyosema, ‘nanyi mtajua kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru’ (Yohana 8:32). Hakika Mungu yupo pamoja nasi.”
MBUNGWA: NGOMA YA MASHETANI NA WENYE MAPEPO. KULA CHUMA HICHO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Narudisha miaka yangu nyuma kidogo. Kumbukumbu zinanichukua na kunipeleka kwa kasi kisha zinapunguza mwendo kwa kasi, polepole naanza kuyaona matukio ya mwaka mpaka mwaka kuanzia miaka ya 1995 mpaka...
Wakuu Kuna hili swala Nimekuwa nikilisikia mara kwa mara na watu wanasema ukemee hilo swala la kuota unafanya mapenzi sababu unafanya mapenzi na wàchawi
Ila Mimi sikua nakemea sababu sioni kama ni sahihi Kila mtu anatafsiri yake ya ndoto
Mfano redioni siku hizi hata station kubwa hapa bongo...
Ni sababu ya mapambo mengi ambayo mwilini mwao kuanzia kwenye nywele kichwani mpaka kwenye kucha za miguu.
MAPAMBO YOTE HAYO YANAFUNGUA MLANGO WA KUMILIKIWA NA MAPEPO/MAJINI/KUZIMU.
Kwa sababu Mungu hapendezewi nayo na hayatokani na Mungu bali yanatokana na kuzimu/roho ya uasi./mapepo/majini...
Ndoa ni agano takatifu linalomuunganisha mwanaume na mwanamke mbele za Mungu. Hata hivyo, ndoa nyingi zimevunjika au zimejaa migogoro mikubwa isiyoelezeka, kiasi cha kuwafanya wengine wafikirie kukataa ndoa.
Matatizo ya ndoa wakati mwingine chanzo chake ni cha kiroho. Biblia inatufundisha kuwa...
Kusinzia ni jambo la kawaida kwa mwanadamu aliyechoka. Lakini kusinzia wakati wa ibada, hasa wakati Neno la Mungu linafundishwa, sio jambo la kawaida kiroho. Ni dalili ya mashambulizi ya kipepo, yanayolenga kuzima roho yako usipokee Neno la uzima.
Ukweli huo unathibitiswa na Marko 1:23...
Salaam, Shalom!
Aina ya ukichaa ninayoiongelea Leo, ni tofauti, SI Ile inayotibika hospitalini,
Aina hii ya ukichaa ni Ile ambayo madaktari hupima Kila kitu na kuona kipo sawa, wasione ugonjwa wowote, lakini mgonjwa Hali ni Tete.
NINI HUTOKEA KATIKA AINA HII YA UKICHAA.
Pepo au jini...
Nashauri watu walio karibu na Gwajima wamshauri amuone Sheikh Mwaipopo amsaidie dawa ya kuondoa mapepo.
Sheikh huyu anauza mafuta ambayo yanasaidia kuondoa mashaitwani. Nina imani yanaweza msaidia Gwajima kwa tatizo hilo
Mnafanya mambo ya upumbavu. Kwa damu ya Yesu × 500, kwa jina la Yesu x 400, toka toka toka x600. Kwa damu ya mwana kondoo x500 ....n.k.
Huo ni upumbavu na hao wanaojazana humu nao ....... Yesu wala mitume hawakufanya ujuha huo. Ninyi ni wanamazingaombwe tu. BIBLIA ILISHAWEKA WAZI NINYI...
Yesu Kristo - Mbabe wa mapepo, majini, wachawi na roho wabaya wote
"Na pepo waliokuwa waovu walipomwona, walianguka mbele yake, wakapiga kelele wakisema, Wewe u Mwana wa Mungu!" Luka 4:41
Katika ulimwengu wa kiroho, kuna vita visivyoonekana vinavyopiganwa kila siku kati ya nuru na giza...
Hadith Inayohusiana na "Uchawi"Hadith inayojulikana zaidi kuhusu suala hili iko katika Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim, ambazo ni vyanzo vya kuaminika zaidi vya Hadith katika Uislamu wa Kisunni.
Hadith hii inasimulia tukio ambapo Nabii Muhammad alidaiwa kurogwa (kufanyiwa uchawi) na mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.