Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
17,669
27,107
PART 1.

Salaam, Shalom!!

INTRODUCTION.

(Hesabu 23: 19)
Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute.
Iwapo amesema, hatalitenda?
Iwapo amenena, hatalifikiliza?

(Isaya 34:16)
Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa mwenzake, Kwa maana kinywa changu kimeamuru, na Roho yake imewakusanya.

Defntn: Mapepo ni Malaika wa Giza walioasi pamoja na shetani, ni wale waliotupwa duniani baada ya uasi wa aliyekuwa Malaika huyo.

Zamani walizaa na wanawake WANADAMU na walizaliwa wanefili, majitu ambayo yalikuwa na miili mikubwa tofauti kabisa na miili yetu WANADAMU.

Baada ya gharika kuwaangamiza majitu, sasa mbinu imebadilika, shetani sasa Hasa hatumii sana form hiyo, saizi mapepo yanazaliwa bila kuwa na miili mikubwa kama zamani, ingawa wenye miili mikubwa Yale majitu ni machache.

Mapepo hivi sasa yanakuwa kama sisi kabisa, na hata ukiomba na kukemea hakiwezi kuangushwa tena kama watu wenye mapepo waangukavyo wakikemewa Kwa Jina la YESU. Wao hawawezi Kutoka sababu Wana miili kabisa ya WANADAMU kama sisi,

Fuatana nami uweze kuwatambua.

MADA: MAPEPO KATIKA FORM/ MWONEKANO WA WANADAMU.

1. MISSION ZAO DUNIANI.

Wapo wanaokuja katika mission za muda mfupi duniani, na wakiisha kukamilisha, wanarudi zao kuzimu.

Mfano. Nalimwona Shetani amekuja duniani katika mwonekano wa kijana mtanashati, alikuwa akitembea katika mtaa wetu katika Nchi yetu ya Zambia, alikuwa akielekea kufanya shughuli maalum iliyompasa aikamilishe akiwa na mwili wa mwanadamu Kisha arejee Kuzimu.

Pia wapo ambao hukaa Kwa muda mrefu, anazaliwa kabisa, ananyonya maziwa, anakua kama watu wengine, anakaa katika familia na Huwa wapo kutimiza mission zao duniani.

Tumesoma nao mashuleni, wengine ni ndugu zetu, wengine ni majirani, wengine ni manesi na madaktari mahospitalini , wengine wamewaoa Hawa mapepo nk nk

Mapepo Hawa wanaokaa Kwa muda mrefu duniani, wengine hufika Hadi katika umri wa uzee, anaigiza kufa, na mtamzika, lakini baadaye anaweza kurudi tena duniani na Kuzaliwa tena, na akiamua anaweza kuja katika JINSIA nyingine. Kama mwanzo alikuja akiwa Mwanaume, anaweza kurudi akiwa mwanamke na Kuzaliwa kwenye familia nyingine kulingana na mission ilomleta duniani.

2. MALENGO YAO.

Lengo kuu la shetani, na mapepo Hawa ni kumkaribia mwanadamu Kwa ukaribu na kuhakikisha anatenda dhambi muda wote Ili afe katika Dhambi na kumpeleka kuzimu, hiyo ndiyo furaha yake.

3. KARAKANA YA KUZIMU.

Nami nikaona mapepo wengi kuzimu wameulaza mwili wa mwanamke mmoja ambaye alikuwa ni Waziri katika Nchi yetu, mwanamke huyo alikuwa ni Pepo katika form ya mwanadamu, mwili wake ulikuwa umeanza kuoza hivyo ilimlazimu kushuka kuzimu Ili apewe viungo vipya Ili arudi kuendelea na mission yake duniani.

Mapepo yale, yalikuwa yakitoa viungo katika mwili wa mwanamke huyo na kuweka vipya, mbavu zilitolewa na kuwekwa zingine maana za awali zilikuwa zimeanza kuoza na Kutoa harufu,zisingebadilishwa WANADAMU wangemgundua, matumbo na Figo pia vilibadilishwa nk nk.
Baada ya operation kukamilika, mwanamke huyo alirudi tena duniani kuendelea mission yake.

4. UCHUMBA NA NDOA.

Kijana wa kike au wa kiume afikiapo umri wa Kuoa, Mungu huleta mtu wake sahihi Ili wakutane na kuoana, lakini hapo hapo, shetani huwatuma Hawa mapepo katika mwonekano wa mwanadamu Ili kuja kumchanga ya na kumfanya achague mapepo Badala ya mchumba au mke au mume special Kutoka Kwa MUNGU.

Wengi wamejikuta wameoa na Kuolewa na mapepo sababu ya tamaa, kufanya Tendo la NDOA kabla ya Kuoa ukidhani unatest, hii ni mbinu ambayo imefanya wengi Kuoa wake mapepo, au Kuolewa na waume mapepo katika mwonekano wa mwanadamu ambao Si WANADAMU Kwa uhalisia wao.

Na hii ndiyo sababu idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume.

Hii ndiyo sababu kuu ya wanawake wengi WANADAMU mabikira waliojitunza, wanafikia Hadi miaka 40 au zaidi bila Kuolewa sababu waume wao wameoa mapepo katika mwonekano wa mwanadamu.

NDOA ni special Kwa mwanadamu mume na mwanadamu mke, na Si mwanadamu na Pepo, hivyo NDOA za aina hii ni BATILI, zinavunjwa. Huvunjwa Ili mwanadamu huyo arudi kwenye maombi aoe mke au aolewe na ubavu wake Kutoka Mbinguni.

5. UWEZO, NGUVU, MAARIFA YA HAWA PEPO KATIKA FORM YA MWANADAMU.

Wana akili sana na Maarifa ya juu sana, aweza kuwa mtoto mdogo lakini ana akili zaidi ya professor wa chuo kikuu, sababu, miaka mingi iliyopota anaweza akawa akiishi na kusoma Hadi viwango vya juu, amalizapo mission yake na kufa, akaja zaliwa tena na kuwa mtoto, hivyo, ataigiza tu, lakini akili na Maarifa hayaelezeki sababu Hawa ni Malaika waasi wanaotumikia Giza.

Nami nikamwona Pepo mmoja amelala chumbani juu ya kitanda, alinyanyua mikono na miguu na kushika na kugusa dari ambayo ilikuwa juu sana ambayo mwanadamu wa kawaida asingeweza gusa.

Nami nikaona mapepo wengine mtoni wakichezea maji, walikuwa wanaume wawili walivalia suit, lakini walikuwa wakirusha maji na kucheka Kwa sauti kubwa, sauti zao zilisababisha wingu kubwa na zito kutanda na walisababisha kusikika sauti mbalimbali msituni.

Mapepo Hawa ndio wanaosaidia nchi kubwa kufanya magunduzi mengi ya kisayansi na teknolojia, na mitindo mbalimbali.

Wamefikia uwezo wa kusaidia WANADAMU kutengeneza majanga na magonjwa mbalimbali, Vimbunga, Tufani, tsunami, Matetemeko, silaha mbalimbali wanaosaidia kutengeneza. Hawa ndio Gogu na magogu kama walivyotafsiriwa katika kitabu Cha unabii Cha Daniel na Ufunuo.

6. MAPEPO KATIKA NYUMBA ZA IBADA.

Wapo maaskofu, Wachungaji, wainjilisti Walio mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, wapo wafanyabiashara,wanamichezo, maskini Kwa matajiri kulingana na mission inayowaleta, wapo kuhakikisha SHERIA na Amri za Mungu zinapindishwa, wapo kupingana na watumishi wa Mungu wa Kweli Ili kulivuruga Kanisa.

Wengine ni waumini watakuja na pesa nyingi sana kanisani, Wachungaji wasio na macho ya kiroho, watawakaribisha na kuwapa uongozi, KAZI Yao ni kulivuruga Kanisa Kwa UZINZI na Kila aina ya uchafu Ili Yesu atukanwe wafurahi na kuzuia waamini wapya wasije Kanisani.

BWANA alinionyesha kiongozi mkuu aitwaye Papa Francis kuwa nae ni MMOJA wa Pepo katika form ya WANADAMU, yupo kukamilisha utume wake kuhakikisha UOVU unaingia Kanisani na kuwapeleka maelfu kuzimu.

7. SIASA.

Viongozi wengi wa kisiasa ni Pepo katika form ya WANADAMU, wapo kutimiza mission za shetani duniani, wapo kuhakikisha zinapita SHERIA na KUIMARISHA ufalme wa shetani kuongeza UOVU zaidi Kwa watu.

BWANA alinionyesha, Obama na familia yote wakiwemo watoto ni mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, ni wengi sana.

8. WAIGIZAJI FILAMU.

Shetani na mapepo wakiwa kuzimu kavu, hushirikiana na mapepo Walio katika form ya kibinadamu waliopo duniani kutengeneza na kuigiza FILAMU, movies na tamthilia mbalimbali.

Nia ya kutengeza FILAMU hizo ni kunuia na kuhamisha Roho za MAUTI Kwa watazamaji, Ili kuwaingiza watazamaji katika mitego Yao na kutegewa vifo katika form mbalimbali Ili mwisho waende kuzimu.

Tamthilia ya TELEMUNDOR, EMPIRER, Ni baadhi ya tamthilia ambazo waigizaji na watengenezaji ni mapepo katika form ya WANADAMU, au Uzao wa Nyoka.

Pia waigizaji wafuatao ni mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, Hawa ni wa Nigeriar 1. Papience Ozzonko, 2. Inni Eddo. 3. Jeniviever Naj 4. Tonto Dickeyi.

9. MUZIKI.

Wanamuziki wengi duniani wenye mvuto na kupendwa sana na watu katika mziki wa kidunia ni Mapepo katika form ya WANADAMU. Wanatupa Roho ya KIFO Kwa mashabiki Ili Roho zao ziende kuzimu.

BWANA akanionyesha bendi ya IMMAGINARY DRAGONN, Waimbaji wa muziki wa Rock, wote ni mapepo katika form ya WANADAMU. Nia Yao ni kuwatumia wasikilizaji na waangaliaji Roho za kifo Ili waende kuzimu Kwa namna mbalimbali.

9. MAJARIDA.

BWANA akanionyesha MAJARIDA mbalimbali yenye picha za watu ambao ni mapepo katika form ya WANADAMU wakiwa katika mapozi mbalimbali, wameweka na contacts zao Ili kuwavuta watu Hasa vijana Kuolewa nao ilhali Si WANADAMU.

10. PORN SITES.

BWANA akanionyesha waigizaji wa picha za utupu wengi wakiwa ni mapepo katika form ya WANADAMU, kuzini nao kupitia macho au physical ni kucconnect na Roho ya MAUTI Ili ufe mapema na kwenda kuzimu.

MAKAHABA katika kumbi na makasino mbalimbali wengi ni mapepo katika form ya WANADAMU.

11. MAPEPO KTK FACEBOOK.

BWANA akanionyesha Pepo aliyetengenezwa Kwa mawe katika mwili wa kiroho wa Pepo ana Facebook account na alikuwa na Facebook account ambayo alikuwa akiwasiliana na msichana aliyekuwa akitafuta mchumba katika mtandao.

Pepo yule alitamka maneno, na maneno Yale yalijitype kwenye account yake na kuwasiliana na msichana kama vile ni mtu wa kawaida ilhali ni Pepo katika form ya WANADAMU.

Pepo mwingine alikuwa mifupa mitupu, naye akiwasiliana na watu mbalimbali, na ukikubali urafiki nae, angekutumia picha zake mbalimbali za ngono Ili kukushambulia kiroho.

HITIMISHO.

1. Epuka na ikimbie zinaa na uasherati.

2. Muulize Mungu akupe mke au mume sahihi aliye Ubavu wako kuepuka Kuoa Mapepo katika form ya WANADAMU.

3. Usiangalie Tamthilia na muziki wa kidunia.

4. Usiangalie picha za ngono.

5. Epuka kutafuta wachumba mitandaoni sababu wengi ni mapepo katika form ya WANADAMU, Mke MWEMA HUTOKA Kwa Mungu. Soma

( Isaya 34:16)
Tafuteni katika kitabu Cha BWANA Mkasome, HAPANA katika hao wote atayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa mwenzake, Kwa maana kinywa changu kimeamuru, na Roho yake imewakusanya.

Ikiwa Bado hujaokoka Sema Sala ifuatayo Kwa Imani.

EE YESU, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI, NIWEZESHE NIISHI MAISHA MATAKATIFU. AMEN

Source: Promover Tv, Ushuhuda wa Rachel & Zipporrah Mushalla. Part 5., U- Tube video.

Mungu awabariki.🙏

ITAENDELEA.........
Inaendelea,...........
PART 2.

WAJUE WATU NUSU MTU NUSU PEPO& WATU WALIO WANA WA MUNGU.

Kama kinavyojieleza KICHWA Cha habari,

Mwanadamu yeyote mwenye Pumzi ya Mungu, ana pande mbili pekee, either Mungu au Shetani.

Wote wanaojinadi kuwa hawaamini Mungu ,Wala shetani au uchawi, ni either wao ni wachawi, mapepo au mazuzu. Kama hauko upande wa Mungu,uko Kwa shetani direct au indirect.

1. NUSU MTU NUSU PEPO NI AKINA NANI?

Hapa Kuna makundi mawili au zaidi. Nitaeleza mawili.

Group A: Wapagani.

Hawa ni wale wasiomwamini Mungu Wala kufuatilia dini yoyote, wanaishi tu wajuavyo wenyewe, hawaabudu popote nk

Kundi hili, ni wa shetani indirect, Inawezekana hawajawahi kwenda Kwa mganga au kufanya ushirikina popote, lakini Kwa kuwa Hawamwamini Mungu na kumwabudu, wanawekwa katika kundi Hilo, Kwakuwa wafapo, hawaingii Mbinguni.

Group B: Wachawi, Waganga washirikina.

Hawa ni kundi la pili, Hawa ni Mali ya shetani Kwa ridhaa Yao direct Kwa kujua kabisa. Ikiwa mtu anafanya ushirikina au Ibada ya Mizimu Kwa kutojua, anawekwa group A; la wapagani.

Hawa ni watumishi wa shetani, hufanya majukumu mbalimbali ya shetani kuwatumikisha Hawa kundi namba moja.

Hukaa kikao na shetani au mapepo na kujadiliana na kufanya mambo mbalimbali.

Wanaitwa nusu mtu nusu Pepo sababu wanamtumikia Shetani Kwa kujua na kutojua.

Hawa group A na group B, Majina Yao yameandikwa kuzimu. Ikitokea wameokoka, Jina lililoko kuzimu hufutwa na kuandikwa Mbinguni.

2. WANA WA MUNGU/ WALIOOKOKA, RAIA WA MBINGUNI.

Hawa ni Nusu mtu, nusu Roho mtakatifu, Hawa ni uzao wa aliye juu, wanajulikana kama Wana wa Mungu aliye hai, wamenunuliwa Kwa Damu ya mwanakondoo,

Hawa, ni wale waliotoka kundi la Nusu mtu nusu Pepo wa makundi A na B, na kuamua kugeukia na kumrudia Mungu.

Baada ya uasi pale Edeni, wote walikuwa chini ya shetani Kwa kujua na kutojua, maana SHERIA haikutoa nafasi Kwa wengi kuwa upande wa Mungu, Bali Wachache sana waliobahatika.

Baada ya kuja Kwa Yesu duniani, pazia lilifunguka, wote wanaweza kuja kwake wakiamini.

Kumwamini Yesu na Kuzaliwa mara ya pili katika Roho, kunamfanya aliyeokoka kuwa na hadhi ya juu sana kuliko shetani na malaika.

Mungu anathamini sana Hawa waliookoka, na anawatunza, kuwalinda na kuwapigania, ametuma Malaika wengi kuwalinda waliookoka sababu hao ni raia wa Mbinguni, ni wengi sana, ila idadi Yao imefichwa ili shetani asije namna ya kuwapapangia mashambulizi.

SWALI;

1. JE, NUSU PEPO, NUSU MTU WANAWEZA KUOKOKA NA KUWA RAIA WA MBINGUNI?

JIBU: NDIO.

2. JE, WANA WA MUNGU WANAWEZA KUFUTWA MAJINA YAO MBINGUNI NA KUTUPWA JEHANUM?

JIBU:NDIO.

3. JE: MAPEPO KATIKA FORM YA KIBINADAMU WANAWEZA KUOKOKA?

Jibu: HAPANA, sababu nafasi ya kutubu ni Kwa WANADAMU pekee.

ITAENDELEA.......INAENDELEA..........

PART 3.

JINSI YA KUWATAMBUA, MAPEPO KATIKA FORM YA KIBINADAMU NA NUSU MTU NUSU PEPO KUNDI B.

INTRODUCTION.
Ili kuwatambua maadui Hawa wa Wana wa Mungu, sharti kwanza uokoke, upewe mamlaka, ujazwe Roho mtakatifu, upate macho ya Rohoni yaonayo sana.

Haimaanishi kuwa ambao hawajaokoka hawana macho ya Roho, HAPANA, mwanadamu aliyeumbwa na Mungu Kwa mwili huu wa udongo, ni mtu anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI, hivyo Roho yake inaweza kuona kupitia ndoto ingawa ni Kwa kiwango Cha chini sana.

Ikumbukwe pia kuwa, mchawi au mganga ,au mshirikina, ambaye ni nusu mtu nusu Pepo, akibobea katika kumtumikia shetani, anaweza kupanda viwango na kupotelea huko na kufanya KAZI kama Pepo kabisa, asilimia za ubinadamu wake hupungua sana ilhali Alipewa rank ya juu zaidi ya kipepo, na mara nyingi anaweza kuwa na nguvu kubwa zaidi ya mchawi wa kawaida au mganga.

Pia PART 1, Tuliwaongelea mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, hawana Pumzi ya uhai Kutoka Kwa MUNGU, Bali Kutoka Kwa shetani Kutoka kuzimu.

MADA: UTAWATAMBUAJE, MAPEPO KATIKA FORM YA KIBINADAMU NA NUSU MTU NUSU PEPO KUNDI B?

ZIFUATAZO ni dalili.

1. KUKOSA AMANI, KUSIMAMA VINYWELEO NA HISIA KALI, UNAPOKUTANA NAE KWA MARA YA KWANZA.

Ukikutana na jini, Pepo katika form ya WANADAMU au mchawi na mganga aliye katika level za juu za UOVU ,aliyebadilika ubinadamu, lazima utakosa Amani mkikutana,

Utasikia tu uzito, ukiingia nyumbani mwake, utahisi ni nyumba nzito, hutopata Amani,

Ikiwa ni Mwanaume, unaweza mpenda akiwa mbali, ila akikuta a nawe, utajikuta tu unatamani muachane na usijue sababu,

Hivyo tayari ni VIASHIRIA kuwa huyo Si mtu wa kawaida.

ANGALIZO, Si wote utakaokutana nao na kuhusu nilivyoandika ni mapepo, la, unahitaji kuomba zaidi Ili upate uthibitisho 100%.

2. MWONEKANO WAO.

Hawapendi kutizama usoni, hupenda kuficha macho usimwone, ni kama Wana Aibu Fulani.

Mboni zao za macho hazireflect picha, maana Si watu, ukimwamngalia macho hucheza juu, chini Kwa ghafula, Kwa ufupi, ukimwona utahisi kitu Cha tofauti kwake.

Atembeapo, hawezi kuliface jua, ni mazombie Yale, hupishana,au hupenda kulipa jua kidogo,

Wana mambo mengi, hawatabiriki, hawakai sehemu Moja muda mrefu, hupenda kupotea na kwenda kusikijulikana kuanzia Jionj na usiku, gizani wako comfortable zaidi.

Ni wenye hasira, hawapendi kusikia kuhusu Yesu, hupendelea na hufurahia habari na story za MAUAJI, uchawi, yaani UOVU Kwa ujumla.

ANGALIZO. Unahitaji maombi Ili ufunuliwe na kupata UKWELI 100% Ili usije kuanza kutilia mashaka watu bila sababu na kuonekana chizi.

3. KAZI.

Kamwe hakosi KAZI, wanahama sana KAZI, Kwa ufupi hawatulii, Hubadili KAZI watakavyo.
ANGALIZO: Si wote wahamao KAZI sana ni mapepo, unahitaji kuomba ufafanuzi Kwa Roho mtakatifu ili kujua UKWELI Kwa 100%

4. NDOA.
Ikiwa ulikosea ukamwoa, atahakikisha anajua Imani Yako juu ya MUNGU Kwa Kila njia,

Polepole atahakikisha Ibada nyumbani haufanyiki, huendi Kanisani, atakupekeka uamini Giza, atahakikisha uchumi unashuka, unafulisika na kuharibukiwa ikiwa ni mwanamke.
ANGALIZO: watu hao Si lazima wawe na sifa zote nilizotaja, WANAWEZA ficha zingine usizione kulingana na mission, hivyo unahitaji nacho ya Roho mtakatifu Ili uwe na HAKIKA 100%.

5. UCHUMI.

Akija kuharibu, huja na pesa nyingi sana, wasichana waliookoka wapenda pesa hunaswa kirahisi, ana Kila kitu majumba nk nk, ila mbeleni, ni mauti.

NB: Si Kila wenye pesa mingi ni mapepo, HAPANA, unamhitaji Roho mtakatifu upate HAKIKA 100 %.

Cc: Mwamba028, bolivia
Mwamba028, GoldDhahabu

Inaendelea...

6. SIASA & UONGOZI.

Hawasemi Kweli,ni waongo,Hawana chembe ya huruma Kwa maskini. Hufurahia kuona maskini wakitaabika, ni waigizaji waziri.

Wengi hujihusisha na biashara haramu zote uzijuazo, wako tayari kupata pesa Kwa njia yoyote, hufanya biashara haramu kuuza WANADAMU, silaha, dawa za kulevya, nk nk.

Wako nyuma ya vitendo vyote viovu, mfano USHOGA,utoaji mimba, kubadili jinsia nk nk

7. SHULENI/ KATIKA VYUO.
Wako vizuri katika ushasishi mob kufanya jambo Fulani baya, ni wasaliti,

Atakushawishi ufanye UOVU Fulani, Kisha atakusukumia humo na kukuacha, Yeye hadhuriki. Miaka nenda Rudi utamwona katika vitendo viovu, lakini Yeye havimdhuru.

8. SAFARINI.

Aliingia kwenye chombo Cha usafiri, anaweza kusababisha Ajali Kwa macho yake kumvuruga dereva, Kisha itokeapo Ajali, Yeye hadhuriki.

9. NYUMBA ZA IBADA.

Huingiza nagomvi, madarakani, Roho ya UZINZI katika makanisa ya watu wa Mungu.

Ataigiza kuwa ni mtu mzuri, ataaminika, atatumia nguvu ya pesa Kwa Kutoa misaada na kuwashika waumini kiuchumi wakwame, huhakikisha anaibua madarakani Kwa wananaombi.

9. KIFO.

Hawa wanavadiliki badilika, anaweza kuwa mtoto, akapotea Kwa njia tata, na kuibukia sehemu ingine asojulikana kuendelea mission, aweza igiza ni ombaomba, au akajibadili kuwa mnyama Ili kutimiza mission mbalimbali.
 
BWANA alinionyesha kiongozi mkuu aitwaye Papa Francis kuwa nae ni MMOJA wa Pepo katika form ya WANADAMU, yupo kukamilisha utume wake kuhakikisha UOVU unaingia Kanisani na kuwapeleka maelfu kukuzimu.
Wafuasi wa kanisa pekee la mitume njooni mnaitwa huku na nabii na mtume Rabbon.

IMG-20231231-WA0214.jpg
 
Kiimani ;
Malaika hawana jinsia ya kike wala kiume, hawazaliani ni Mungu kawaumba wapo jinsi walivyo, wao ni malaika.
Majini wana jinsia , ndio hao unasema ni mapepo na wanazaliana na wanaugua na wanakufa japo jini anaweza kuishi hadi miaka 2000 kama sikosei , wanaweza kuzini na mtu bila huyo kujitambua au kumzini bila huyo kuweza kujihami
, majini na malaika ni viumbe tofauti ,

baadhi ya wanaojiita manabii hutumia majini kuponya wagonjwa na vilema na kufanya miujiza mbalimbali kama kwa mazingaombwe. Pia wapo watu ambao huwatumia majini hao katika mambo yao kama vile kutafuta mali, watoto n.k.

Jini linaweza kumuingia mtu hata kwa njia ya hewa.

Majini wana tabia kama binadamu tu, wivu, dhuluma, uongo n.k

Malaika wameumbwa kwa nuru, kiimani katika dini zote hata movies, malaika anapotokea kunakuwa na mwanga mkali sana unaong'aa hauna mfano.
default

Angel & Mary.

kusema majini ni malaika walioasi unakua unakimbia na gari speed 180 halafu ghafla unatoka nje ya barabara na kuingia vichakani.

Utasikia mtu ana jini mahaba na kuota ndoto anafanya ngono, ndio hayo majini, hadi kufanya ngono na mtu ina maana yana jinsia za kike na kiume.

Lakini toka lini ukasikia malaika wanazaliana, au malaika mtoto.

Kwenye biblia tunaweza kuona malaika wameelezewa katika jinsia ya kiume na majina ya kiume, sidhani kama kuna malaika wengine waliotajwa kwa majina zaidi ya hao wawili ambao ni Mikaeli na Gabrieli kama sijasahau.
Unaweza kuwa na doubt kwa nini ni wa kiume wakati nimesema hawana jinsia?
Ni kwa sababu katika kipindi hiko mwanamke alikuwa hachukuliwi uzito au niseme tu kulikuwa ni mifumo dume, ndio maana katika sensa zao walihesabiwa wanaume tu.(Soma kitabu cha Musa Hesabu endapo alifanya sensa ya kitaifa na waliohesabiwa ni wanaume tu.)

Hivyo malaika kutokea katika umbile la kiume na muonekano wa kiume ni kama kuleta uzito wa ujumbe waliokuwa wanaupeleka kwa watu hao wa kipindi hiko kwa sababu walikuwa ni wabishi na walidharau wanawake na hawakuwasikiliza. Hivyo kutokea katika umbile la kiume ni kama dominant form.

Malaika hawana any specific human form, sana sana wakitokea hata leo itakuwa katika umbile na muonekano wa kiume au kike. Hivyo hadi hapo ulipo unakuta ulishakutana na malaika mara kadhaa na hukufahamu.
 
Asante Kwa mchango mzuri.

Hawa wanaoongelewa kwenye mada Si majini au mapepo katika mwili wa kiroho HAPANA.

Hawa ni watu kabisa, wamezaliwa kabisa, tunaishi nao, tunasali nao, ni wanafunzi wenzetu , kazini wapo nk nk

Wana miili ya WANADAMU kabisa ila Si WANADAMU.

Ni Pepo Walio katika form au mwili kabisa wa mwanadamu.

Baadhi Wametajwa humo kwenye ushuhuda huo.

Amen
 
Salaam, Shalom!!

INTRODUCTION.

(Hesabu 23: 19)
Mungu Si mtu aseme uongo, Wala Si mwanadamu ajute.
Iwapo amesema, hatalitenda?
Iwapo amenena, hatalifikiliza?

(Isaya 34:16)
Tafuteni katika kitabu Cha BWANA,Mkasome, HAPANA katika hao wote atakayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa mwenzake, Kwa maana kinywa changu kimeamuru, na Roho yake imewakusanya.

Defntn: Mapepo ni Malaika wa Giza walioasi pamoja na shetani, ni wale waliotupwa duniani baada ya uasi wa aliyekuwa Malaika huyo.

Zamani walizaa na wanawake WANADAMU na walizaliwa wanefili, majitu ambayo yalikuwa na miili mikubwa tofauti kabisa na miili yetu WANADAMU.

Baada ya gharika kuwaangamiza majitu, sasa mbinu imebadilika, shetani sasa Hasa hatumii sana form hiyo, saizi mapepo yanazaliwa bila kuwa na miili mikubwa kama zamani, ingawa wenye miili mikubwa Yale majitu ni machache.

Mapepo hivi sasa yanakuwa kama sisi kabisa, na hata ukiomba na kukemea hakiwezi kuangushwa tena kama watu wenye mapepo waangukavyo wakikemewa Kwa Jina la YESU. Wao hawawezi Kutoka sababu Wana miili kabisa ya WANADAMU kama sisi,

Fuatana nami uweze kuwatambua.

MADA: MAPEPO KATIKA FORM/ MWONEKANO WA WANADAMU.

1. MISSION ZAO DUNIANI.

Wapo wanaokuja katika mission za muda mfupi duniani, na wakiisha kukamilisha, wanarudi zao kuzimu.

Mfano. Nalimwona Shetani amekuja duniani katika mwonekano wa kijana mtanashati, alikuwa akitembea katika mtaa wetu katika Nchi yetu ya Zambia, alikuwa akielekea kufanya shughuli maalum iliyompasa aikamilishe akiwa na mwili wa mwanadamu Kisha arejee Kuzimu.

Pia wapo ambao hukaa Kwa muda mrefu, anazaliwa kabisa, ananyonya maziwa, anakua kama watu wengine, anakaa katika familia na Huwa wapo kutimiza mission zao duniani.

Tumesoma nao mashuleni, wengine ni ndugu zetu, wengine ni majirani, wengine ni manesi na madaktari mahospitalini , wengine wamewaoa Hawa mapepo nk nk

Mapepo Hawa wanaokaa Kwa muda mrefu duniani, wengine hufika Hadi katika umri wa uzee, anaigiza kufa, na mtamzika, lakini baadaye anaweza kurudi tena duniani na Kuzaliwa tena, na akiamua anaweza kuja katika JINSIA nyingine. Kama mwanzo alikuja akiwa Mwanaume, anaweza kurudi akiwa mwanamke na Kuzaliwa kwenye familia nyingine kulingana na mission ilomleta duniani.

2. MALENGO YAO.

Lengo kuu la shetani, na mapepo Hawa ni kumkaribia mwanadamu Kwa ukaribu na kuhakikisha anatenda dhambi muda wote Ili afe katika Dhambi na kumpeleka kuzimu, hiyo ndiyo furaha yake.

3. KARAKANA YA KUZIMU.

Nami nikaona mapepo wengi kuzimu wameulaza mwili wa mwanamke mmoja ambaye alikuwa ni Waziri katika Nchi yetu, mwanamke huyo alikuwa ni Pepo katika form ya mwanadamu, mwili wake ulikuwa umeanza kuoza hivyo ilimlazimu kushuka kuzimu Ili apewe viungo vipya Ili arudi kuendelea na mission yake duniani.

Mapepo yale, yalikuwa yakitoa viungo katika mwili wa mwanamke huyo na kuweka vipya, mbavu zikitolewa na kuwekwa zingine, matumbo nk nk.
Baada ya operation kukamilika, mwanamke huyo alirudi tena duniani kuendelea mission yake.

4. UCHUMBA NA NDOA.

Kijana wa kike au wa kiume afikiapo umri wa Kuoa, Mungu huleta mtu wake sahihi Ili wakutane na kuoana, lakini hapo hapo, shetani huwatuma Hawa mapepo katika mwonekano wa mwanadamu Ili kuja kumchanga ya na kumfanya achague mapepo Badala ya mchumba au mke au mume special Kutoka Kwa MUNGU.

Wengi wamejikuta wameoa na Kuolewa na mapepo sababu ya tamaa, kufanya Tendo la NDOA kabla ya Kuoa ukidhani unatest, hii ni mbinu ambayo imefanya wengi Kuoa wake mapepo, au Kuolewa na waume mapepo katika mwonekano wa mwanadamu ambao Si WANADAMU Kwa uhalisia wao.

Na hii ndiyo sababu idadi ya wanawake duniani ni kubwa kuliko wanaume.

Hii ndiyo sababu kuu ya wanawake wengi WANADAMU mabikira waliojitunza, wanafikia Hadi miaka 40 au zaidi bila Kuolewa sababu waume wao wameoa mapepo katika mwonekano wa mwanadamu.

NDOA ni special Kwa mwanadamu mume na mwanadamu mke, na Si mwanadamu na Pepo, hivyo NDOA za aina hii ni BATILI, zinavunjwa. Huvunjwa Ili mwanadamu huyo arudi kwenye maombi aoe mke au aolewe na ubavu wake Kutoka Mbinguni.

5. UWEZO, NGUVU, MAARIFA YA HAWA PEPO KATIKA FORM YA MWANADAMU.

Wana akili sana na Maarifa ya juu sana, aweza kuwa mtoto mdogo lakini ana akili zaidi ya professor wa chuo kikuu, sababu, miaka mingi iliyopota anaweza akawa akiishi na kusoma Hadi viwango vya juu, amalizapo mission yake na kufa, akaja zaliwa tena na kuwa mtoto, hivyo, ataigiza tu, lakini akili na Maarifa hayaelezeki sababu Hawa ni Malaika waasi wanaotumikia Giza.

Nami nikamwona Pepo mmoja amelala chumbani juu ya kitanda, alinyanyua mikono na miguu na kushika na kugusa dari ambayo ilikuwa juu sana ambayo mwanadamu wa kawaida asingeweza gusa.

Nami nikaona mapepo wengine mtoni wakichezea maji, walikuwa wanaume wawili walivalia suit, lakini walikuwa wakirusha maji na kucheka Kwa sauti kubwa, sauti zao zilisababisha wingu kubwa na zito kutanda na walisababisha kusikika sauti mbalimbali msituni.

Mapepo Hawa ndio wanaosaidia nchi kubwa kufanya magunduzi mengi ya kisayansi na teknolojia, na mitindo mbalimbali.

Wamefikia uwezo wa kusaidia WANADAMU kutengeneza majanga na magonjwa mbalimbali, Vimbunga, Tufani, tsunami, Matetemeko, silaha mbalimbali wanaosaidia kutengeneza. Hawa ndio Gogu na magogu kama walivyotafsiriwa katika kitabu Cha unabii Cha Daniel na Ufunuo.

6. MAPEPO KATIKA NYUMBA ZA IBADA.

Wapo maaskofu, Wachungaji, wainjilisti Walio mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, wapo wafanyabiashara,wanamichezo, maskini Kwa matajiri kulingana na mission inayowaleta, wapo kuhakikisha SHERIA na Amri za Mungu zinapindishwa, wapo kupingana na watumishi wa Mungu wa Kweli Ili kulivuruga Kanisa.

Wengine ni waumini watakuja na pesa nyingi sana kanisani, Wachungaji wasio na macho ya kiroho, watawakaribisha na kuwapa uongozi, KAZI Yao ni kulivuruga Kanisa Kwa UZINZI na Kila aina ya uchafu Ili Yesu atukanwe wafurahi na kuzuia waamini wapya wasije Kanisani.

BWANA alinionyesha kiongozi mkuu aitwaye Papa Francis kuwa nae ni MMOJA wa Pepo katika form ya WANADAMU, yupo kukamilisha utume wake kuhakikisha UOVU unaingia Kanisani na kuwapeleka maelfu kuzimu.

7. SIASA.

Viongozi wengi wa kisiasa ni Pepo katika form ya WANADAMU, wapo kutimiza mission za shetani duniani, wapo kuhakikisha zinapita SHERIA na KUIMARISHA ufalme wa shetani kuongeza UOVU zaidi Kwa watu.

BWANA alinionyesha, Obama na familia yote wakiwemo watoto ni mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, ni wengi sana.

8. WAIGIZAJI FILAMU.

Shetani na mapepo wakiwa kuzimu kavu, hushirikiana na mapepo Walio katika form ya kibinadamu waliopo duniani kutengeneza na kuigiza FILAMU, movies na tamthilia mbalimbali.

Nia ya kutengeza FILAMU hizo ni kunuia na kuhamisha Roho za MAUTI Kwa watazamaji, Ili kuwaingiza watazamaji katika mitego Yao na kutegewa vifo katika form mbalimbali Ili mwisho waende kuzimu.

Tamthilia ya TELEMUNDOR, EMPIRER, Ni baadhi ya tamthilia ambazo waigizaji na watengenezaji ni mapepo katika form ya WANADAMU, au Uzao wa Nyoka.

Pia waigizaji wafuatao ni mapepo katika mwonekano wa mwanadamu, Hawa ni wa Nigeriar 1. Papience Ozzonko, 2. Inni Eddo. 3. Jeniviever Naj 4. Tonto Dickeyi.

9. MUZIKI.

Wanamuziki wengi duniani wenye mvuto na kupendwa sana na watu katika mziki wa kidunia ni Mapepo katika form ya WANADAMU. Wanatupa Roho ya KIFO Kwa mashabiki Ili Roho zao ziende kuzimu.

BWANA akanionyesha bendi ya IMMAGINARY DRAGONN, Waimbaji wa muziki wa Rock, wote ni mapepo katika form ya WANADAMU. Nia Yao ni kuwatumia wasikilizaji na waangaliaji Roho za kifo Ili waende kuzimu Kwa namna mbalimbali.

9. MAJARIDA.

BWANA akanionyesha MAJARIDA mbalimbali yenye picha za watu ambao ni mapepo katika form ya WANADAMU wakiwa katika mapozi mbalimbali, wameweka na contacts zao Ili kuwavuta watu Hasa vijana Kuolewa nao ilhali Si WANADAMU.

10. PORN SITES.

BWANA akanionyesha waigizaji wa picha za utupu wengi wakiwa ni mapepo katika form ya WANADAMU, kuzini nao kupitia macho au physical ni kucconnect na Roho ya MAUTI Ili ufe mapema na kwenda kuzimu.

MAKAHABA katika kumbi na makasino mbalimbali wengi ni mapepo katika form ya WANADAMU.

11. MAPEPO KTK FACEBOOK.

BWANA akanionyesha Pepo aliyetengenezwa Kwa mawe katika mwili wa kiroho wa Pepo ana Facebook account na alikuwa na Facebook account ambayo alikuwa akiwasiliana na msichana aliyekuwa akitafuta mchumba katika mtandao.

Pepo yule alitamka maneno, na maneno Yale yalijitype kwenye account yake na kuwasiliana na msichana kama vile ni mtu wa kawaida ilhali ni Pepo katika form ya WANADAMU.

Pepo mwingine alikuwa mifupa mitupu, naye akiwasiliana na watu mbalimbali, na ukikubali urafiki nae, angekutumia picha zake mbalimbali za ngono Ili kukushambulia kiroho.

HITIMISHO.

1. Epuka na ikimbie zinaa na uasherati.

2. Muulize Mungu akupe mke au mume sahihi aliye Ubavu wako kuepuka Kuoa Mapepo katika form ya WANADAMU.

3. Usiangalie Tamthilia na muziki wa kidunia.

4. Usiangalie picha za ngono.

5. Epuka kutafuta wachumba mitandaoni sababu wengi ni mapepo katika form ya WANADAMU, Mke MWEMA HUTOKA Kwa Mungu. Soma

( Isaya 34:16)
Tafuteni katika kitabu Cha BWANA Mkasome, HAPANA katika hao wote atayekosa kuwapo, HAPANA mmoja atakayemkosa mwenzake, Kwa maana kinywa changu kimeamuru, na Roho yake imewakusanya.

Ikiwa Bado hujaokoka Sema Sala ifuatayo Kwa Imani.

EE YESU, NINAKUKIRI WEWE KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YANGU, NINATUBU DHAMBI ZANGU ZOTE, NINAOMBA UNISAMEHE, ULIFUTE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA HUKUMU, ULIANDIKE JINA LANGU KATIKA KITABU CHA UZIMA, NIPE UWEZO WA KUSHINDA DHAMBI, NIWEZESHE NIISHI MAISHA MATAKATIFU. AMEN

Source: Promover Tv, Ushuhuda wa Rachel & Zipporrah Mushalla. Part 5., U- Tube video.

Mungu awabariki.

ITAENDELEA.........
1. Video uko sahihi kabisa 100% kuna tamthilia inaitwa "Lucifer" niliiangalia na nilijiridhisha imeigizwa na Mapepo kabisa maana nilikuwa nasumbuliwa sana na ndoto za za kishetani zisizoisha usiku kucha hata nikiwa nimefunga. Siku nilipochoma CD moto ndipo zilipokomea hapo jumla.

2. Pornography videos zilinitesa sana kupiga punyeto na nilijitahidi kuacha kwa nguvu zangu kibinadamu ila nilichemka, niliingia rasmi kwenye maombi ya kufunga ndipo hapo niliona nguvu za Mungu zilivyo kubwa zaidi kuliko Shetani. Nilifunga wiki 1 tu kwa imani na tangu 2013 niliacha kabisa punyeto hadi leo hii 2024.

Mungu akubariki sana Mtumishi wake uzidi kueneza injili yake vyema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
UBARIKIWE 🙏

Mungu amekusamehe na hatazikimbuka dhambi zako milele sababu ulitubu.

Amen
 
Back
Top Bottom